LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Na Wapalestina (Wafilisti) wao wasemeje, mkuu?

Wamekuwepo hapo hata karne ya 12 BC. Hiki ni takriban kipindi cha matukio yaliyoandikwa kwenye kitabu cha Waamuzi, muda mrefu kabla hata ya Mfalme Daudi mwenyewe.
 
Na Wapalestina (Wafilisti) wao wasemeje, mkuu?

Wamekuwepo hapo hata karne ya 12 BC. Hiki ni takriban kipindi cha matukio yaliyoandikwa kwenye kitabu cha Waamuzi, muda mrefu kabla hata ya Mfalme Daudi mwenyewe.
 

Attachments

  • Screenshot_20231014-194641_WhatsApp.jpg
    57.4 KB · Views: 1
Kuna jamaa anajiita humu jamvini Hamas sijuhi Hammaz nahisi ni mgonjwa anayehitaji hospital kubwa like..... siyo dawa tu
 
Ww ni mpumbavu hili sio jukwaa la dini na mada haina uhusiano wowote na dini lakini ww kila saa kuwashwa washwa tu kuongelea waisilam, huna akili.
 
Kwenye hizo

Kwenye hizo picha upande wa Kulia hizo niwaya eti zote au macho yngu mabovu
 
Hammas sijuhi Hammaz unachotetea hapa ni pumba, mashariki ya kati pale hakuna kundi lenu au nchi yoyote ya kuingia vitani na Israel na hilo hata wewe unalitambua ila ni ujinga tu ndo unatuletea hapa.

Hizbollah ni wachumba tu, hao Hammas msaada wa makombora ni kutoka Iran, leo unatuletea hapa ujinga hapa, kwahiyo Iran makombora yake anatengeneza na pipe za maji za msaada si ndio?

Pipe hizo zilitumika kutengeneza, vile vya kuwasha moto na sio makombora yenu, siku ile mmeua na kuchinja watoto mlisifu jeshi lenu sana na makomandoo wenu, leo unasemaje??
 
Kwa hii vide naweza kusemea kuwa inawezekana hamas wameusika kwani Karla Vita kuna kutega mabomu ya ardhini sasa raia naona walivyo ambiwa waondoke wametumia njia ambozo inawezekana ilikua nimetego ya hamas Kwa Askari WA Israel so hiyo unaweza kutokea
 
Ww ni mpumbavu hili sio jukwaa la dini na mada haina uhusiano wowote na dini lakini ww kila saa kuwashwa washwa tu kuongelea waisilam, huna akili.
Kaa kimya.
Acha kiherehere.
Hujui tulichokuwa tunakiongelea.
Mazungumzo yetu yameishia hapo.

HASTA LA VISTA🖐
 
Tunza kumbukumbu ya hii post yako uje nayo baadaye
 
Unashangalia historia kuandikwa wakati watu wanazidi kufa
 
Umekuwa ndumilakuwili siku hizi, au basi fita ni fita muraa
 
Lakini mbona huyo ni mdoli kweli mkuu. Hapo ukiweka hizo chuki unazozisema pembeni, mi naona watu wanakimbia na mdoli
 
Uandishi wa kukosoa na uandishi wa chuki unafahamika Mh.Bw. Mkubwa!

Nikupe pole kwa yaliyokukuta! Lakini bado haitoi wala kupungza maana kwamba una chuki.

Kulipa chuki kwa chuki kutakujaza chuki zaidi. Unachotakiwa kufanya ni kujitofautisha nao!

Mimi ni muslim! Lakini wapo miongoni mwa waislam wenzangu wamenipatia majina si mazuri kisa tumetofautiana uelewa kwenye baadhi ya mambo ya dini na mfano nafanya mawlid ya Mtume.

Nimepewa majina mabaya tofauti tofauti. Mimi nifanyaje? Niwatusi? Au niwachukie? Hapana siwezi kufanya hivyo! Maadamu wewe ni kiumbe wa Mungu mimi nitakupenda tu!

Pengine kwa vile kwa kuonyesha nidhamu/ubinadamu kwa viumbe vyake ndiyo inaweza ikawa sababu ya yeye mimi kunipenda. Kabla ya dini ubinadamu. Mtume anasema waoneeni huruma waliyo chini nanyi mtaonewa huruma na aliye juu!
 
Na Wapalestina (Wafilisti) wao wasemeje, mkuu?

Wamekuwepo hapo hata karne ya 12 BC. Hiki ni takriban kipindi cha matukio yaliyoandikwa kwenye kitabu cha Waamuzi, muda mrefu kabla hata ya Mfalme Daudi mwenyewe.
hawa wanastahili kila kipigo wanachokipata. watu hamuwajui walivyo wakatili. miaka ya sabini, baada ya kupigwa sana na wayahudi, walikimbilia ukimbizini, wakawekwa kwenye makambi Lebanon, walebanon ambao majority walikuwa ni wakristo waliwakaribisha kwa moyo safi, walipokaa na kushiba, walichinja walebanoni wengi sana na kuibadilisha lebanon kuwa ya kiislam hadi leo. nenda angalia historia ya vita vya lebanon halafu angalia nani walikuwa wanasababisha na nani walichinja hadi wakristo wa lebanon wote walikimbia nchi, na wao walikuwa wageni. wanavuna walichopanda.
 
#BREAKING: “Today, Iran conveyed a message to Israel through the United Nations, according to which if the IDF operation in Gaza continues, it will be forced to intervene, according to a diplomatic source privy to the detail”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…