nshakujua weye, si njukuu wake nzee mbarawa hapa michenzaniUshan'fahamu? Mr Makame Shahada Faki
Naam Shehe. Karibu Chukwani tuke Kitimotonshakujua weye, si njukuu wake nzee mbarawa hapa michenzani
waleta masikhara sasaNaam Shehe. Karibu Chukwani tuke Kitimoto
Hapa Chukwani pembezoni kwa Baraza la Wawakilishi EXECUTIVE LOUNGE sema tunalia Kwa ndani sio publicwaleta masikhara sasa
Mzee unaijua chuki??Uandishi wa kukosoa na uandishi wa chuki unafahamika Mh.Bw. Mkubwa!
Nikupe pole kwa yaliyokukuta! Lakini bado haitoi wala kupungza maana kwamba una chuki.
Kulipa chuki kwa chuki kutakujaza chuki zaidi. Unachotakiwa kufanya ni kujitofautisha nao!
Mimi ni muslim! Lakini wapo miongoni mwa waislam wenzangu wamenipatia majina si mazuri kisa tumetofautiana uelewa kwenye baadhi ya mambo ya dini na mfano nafanya mawlid ya Mtume.
Nimepewa majina mabaya tofauti tofauti. Mimi nifanyaje? Niwatusi? Au niwachukie? Hapana siwezi kufanya hivyo! Maadamu wewe ni kiumbe wa Mungu mimi nitakupenda tu!
Pengine kwa vile kwa kuonyesha nidhamu/ubinadamu kwa viumbe vyake ndiyo inaweza ikawa sababu ya yeye mimi kunipenda. Kabla ya dini ubinadamu. Mtume anasema waoneeni huruma waliyo chini nanyi mtaonewa huruma na aliye juu!
Unafahamu kuhusu Crusades, mkuu?hawa wanastahili kila kipigo wanachokipata. watu hamuwajui walivyo wakatili. miaka ya sabini, baada ya kupigwa sana na wayahudi, walikimbilia ukimbizini, wakawekwa kwenye makambi Lebanon, walebanon ambao majority walikuwa ni wakristo waliwakaribisha kwa moyo safi, walipokaa na kushiba, walichinja walebanoni wengi sana na kuibadilisha lebanon kuwa ya kiislam hadi leo. nenda angalia historia ya vita vya lebanon halafu angalia nani walikuwa wanasababisha na nani walichinja hadi wakristo wa lebanon wote walikimbia nchi, na wao walikuwa wageni. wanavuna walichopanda.
Mkuu angalia war result.Labda kuna habari uliikosa nikupatie pia!
Israel walivamia nchi ya Lebanon na waliitwanga vya kutosha. Mataifa tofauti pamoja na nchi za kiarabu kupitia baraza la usalama umoja wa mataifa walimtaka Israel asitishe vita nchini Lebanon. Kilochotokea Marekani alimkingia kifua kwa sababu ilikuwa ni faida kwa Israel. Kwani ilikuwa ni faida Israel angeliweza kuongeza mipaka.
Ila baada ya jeshi la Hizbullah kuingia vitani mchezo ulibadilika. Na hii Hizbullah kuingia vitani ni baada ya jeshi la nchi ya Lebanon kushindwa.
Kilichoendelea hakikua Israel kuipiga Lebanon bali ikawa piga nikupige. Matokeo yake mashambulizi yakawa yanatumwa mpaka Israel. Baada ya matokeo ya namna hiyo Marekani ndiyo akawa anaharakisha kwenye baraza la UN ufikie mpango wa amani baina ya Israel na Lebanon.
Kwa misingi hiyo huwezi kusema Hizbullah alipigwa! Ukienda Lebanon Hizbullah anapewa taswira ya mkombozi wa nchi. Lililoshindwa ni jeshi la nchi ya Lebanon.
Chanzo si tumeshakubaliana ni Mayahudi kuchukua ardhi zaidi ya ike waliyopewa na UN? Sasa utasemaje wanatesana wakati mchokozi ameshafahamika?Palestina na Israeli wote wanatesana, mkuu. Hakuna amani ya kweli pale Mashariki ya Kati.
Imagine unaenda kulala jioni, asubuhi yake unaambiwa watu wote wa familia yako wameuawa -- na hii ni hofu ya pande zote mbili.
Suluhu hapa pekee ni kukaa meza moja ya mazungumzo na kukabiliana na changamoto na kuzitatua once and for all.
Mwaka 1993 ulikuwa wa kihistoria kwa Palestina na Israeli ambapo kwa mara ya kwanza viongozi mahasimu hawa, Yitzhak Rabin (PM wa Israeli) na PLO chairman Yasser Arafat, walipeana mikono mbele ya umma wa dunia na rais wa Marekani Bill Clinton wakionesha nia yao ya dhati kufufua njia ya amani ya kutatua mgogoro husika baada ya kipindi kirefu cha kuviziana na kutishiana kuuana.
Unfortunately, Rabin akauawa si muda mrefu kwa sababu ya uchochezi wa Waisraeli waliomwona kana kwamba ni msaliti wa harakati za Uzayuni.
Unaweza kuona mwenyewe jinsi suala la Israeli na Palestina lilivyo tata na zito.
Vita vya mwaka 2006,Matokeo yake mashambulizi yakawa yanatumwa mpaka Israel.
Ndoto za alinacha hizo bi FaizaMwisho wa ubabe wa USA na NATO ndiyo umefikia.
Kimya kingi kina mshindo, wao wanajidai kutamba sana hapo kama mandonga, watu wanawasikiliza na kuwatazama tu.
Vita vya 2006 vya Lebanon mimi nazungumzia matokea ya vita.Aliye kwambia kushinda vita ni kuharibu na majengo na kuuwa watu hovyo ni nani?
Kushinda vita ni kutimiza lengo lililo kupeleka vitani ukishindwa kutimiza lengo lililo kupeleka vitani kwenye tafsiri ya vita ni kuwa umeshindwa vita haijalishi umeuwa watu wangapi au umefanya uharibifu kiasi gani.
Hata watching wenyewe wanaangaika wanataka kuuza vitu vyao USA.Inaonekana U.S.A. imekusanya raia wengi kutoka mataifa yote duniani, na wana uhuru wa kuandamana,
Hii jamii ya waarabu inaiponda sana Marekani lakini mbona bado ndoto zao ni kwenda huko huko kutafuta maisha? Kwa nini wasiende kutafuta maisha Irani Russia au China?
Sijaona maandamano ya waarabu Moscow kwa Putin.
Mkuu hio video ya juu sio Israel air strike maana kama ingekuwa ni air strike hilo gari trailer ingearibika.Hizi video tuwe nazo makini, kuna video moja nimeona inasema hivo kwamba Israeli Air strike ndo imelipua magari ya watu gaza wanaohama, cha kushangaza "Aurora Intel" wakaieka hio video in 30fps na hawakuona air strike/projectile yeyote ilitoka juu, sisemi kwamba hamas ndo wana plant hayo mabomu kweny barabara ili kuzuia watu kuondoka, ili wawatumie kama human shields, ninachosema tuu tuwe makini na hizi video.
VIDEO YENYEW HII HAPA👇👇👇
View: https://twitter.com/TheMossadIL/status/1713224556758880269?t=3gtPV6UhDEC_Nl-lSegWVg&s=19
Na hizo picha za video in 30fps before the bomb went off ni hizi hapa👇👇👇
THERE WAS NO PROJECTILE
View attachment 2782253
View attachment 2782254
View attachment 2782256
View attachment 2782257
Mkuu, ukiwauliza Wayahudi wao watakwambia hawakurudi Palestina kwa kupenda wala kwa lengo la kuwatesa wenyeji wao, bali lilikuwepo shinikizo kubwa la mauaji ya jamii zao hasa huko Ulaya na Urusi, huku dunia nzima ikiwaangalia tu bila kuwapa msaada wowote wa maana.Chanzo si tumeshakubaliana ni Mayahudi kuchukua ardhi zaidi ya ike waliyopewa na UN? Sasa utasemaje wanatesana wakati mchokozi ameshafahamika?
^Mbinu:^ Mkuu, unajua kwenye vita, kanuni huwa ni ileile ya msituni -- mwenye nguvu zaidi ndiye anapona.Njia na mbinu anazotumia Myahudi katika uporaji wa ardhi ya ziada ya ile aliyopewa na umoja wa mataifa, unazijua?!
Sasa nani amelize ubabe wa USA Hamas au Hisbullah?? au Iran acha mahaba tumia akili bibi🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mwisho wa ubabe wa USA na NATO ndiyo umefikia.
Kimya kingi kina mshindo, wao wanajidai kutamba sana hapo kama mandonga, watu wanawasikiliza na kuwatazama tu.