LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Uandishi wa kukosoa na uandishi wa chuki unafahamika Mh.Bw. Mkubwa!

Nikupe pole kwa yaliyokukuta! Lakini bado haitoi wala kupungza maana kwamba una chuki.

Kulipa chuki kwa chuki kutakujaza chuki zaidi. Unachotakiwa kufanya ni kujitofautisha nao!

Mimi ni muslim! Lakini wapo miongoni mwa waislam wenzangu wamenipatia majina si mazuri kisa tumetofautiana uelewa kwenye baadhi ya mambo ya dini na mfano nafanya mawlid ya Mtume.

Nimepewa majina mabaya tofauti tofauti. Mimi nifanyaje? Niwatusi? Au niwachukie? Hapana siwezi kufanya hivyo! Maadamu wewe ni kiumbe wa Mungu mimi nitakupenda tu!

Pengine kwa vile kwa kuonyesha nidhamu/ubinadamu kwa viumbe vyake ndiyo inaweza ikawa sababu ya yeye mimi kunipenda. Kabla ya dini ubinadamu. Mtume anasema waoneeni huruma waliyo chini nanyi mtaonewa huruma na aliye juu!
Mzee unaijua chuki??
Kama umenielewa vibaya kwa sababu ya uandishi wangu, Samahani sana kwa kukukwaza, kwa sababu siwez andika kitu kwa namna ambayo itafanya kila mmoja aelewa kwa namna ambayo mm nataka yeye aelewe, na kama hujazoea kukutana na watu wanao criticise mambo ambayo ww unayaona kama hayafai kuwa criticised(maybe there too precious to you) bac nikushauri tuu ukamae kiakili, sio kila mtu atakubaliana na ideologies zako maishani, sio kila mtu atakubaliana na unachosema.
Mm nimepata criticism nyingi sana kuhusiana na maswala ya dini tena kwa hao ndugu zangu, lakini sijawahi kusema wanaotoa hizo criticism kwamba wana chuki, kwasababu kwangu criticism ni chachu ya kuendelea kutafuta ukweli na kuzidi kujifunza na sio kuanza kusema flani ana chuki.

Na mambo mengine niliokuwa napost hapa nimeyatoa kweny twitter(X) accounts zinazomilikiwa na waarabu waislamu, kwaio kama mm nina chuki na hao waislamu wenzenu waarabu nao wana chuki na nyie.
Mfano mmoja wa hizo account ni hii hapa, ingia mwenyew ujionee👇👇👇


View: https://twitter.com/Imamofpeace/status/1713065061705523645?t=8h1gqOWOCs5veM8P80BELA&s=19

Ningekuwa nachukua information kweny twitter(X) accounts za wakristo hapo sawa, lakini nachukua information from accounts za vyombo vya habari(BBC, Spectator index), account za Indians(Hindus), account za waarabu waislamu, alaf mnaniita nina chuki, au kwasababu nimetafsiri tuu yaliandikwa kweny hizo habari?

Mm najua kwamba uislamu hau support haya mambo, hau support vita wala kuua watu, na vilevile najua kwamba Western countries kama USA wanawalipa baadhi ya waislamu wasiojielewa (hata nchi zao haziwataki) kufanya uhalifu wa kuua watu, kujilipua na mabomu na kubaka watoto ili kuuchafua uislamu, na it is known kwamba Western media ina edit information, na vilevile ina walisha reporters wake scripts ili watoe information zinazo uchafua uislamu.
Ila cha kushangaza sinaona hata mmoja wenu akilizungumzia hili swala, nilichoona tuu mna support uuaji na dini inakataza.
 
hawa wanastahili kila kipigo wanachokipata. watu hamuwajui walivyo wakatili. miaka ya sabini, baada ya kupigwa sana na wayahudi, walikimbilia ukimbizini, wakawekwa kwenye makambi Lebanon, walebanon ambao majority walikuwa ni wakristo waliwakaribisha kwa moyo safi, walipokaa na kushiba, walichinja walebanoni wengi sana na kuibadilisha lebanon kuwa ya kiislam hadi leo. nenda angalia historia ya vita vya lebanon halafu angalia nani walikuwa wanasababisha na nani walichinja hadi wakristo wa lebanon wote walikimbia nchi, na wao walikuwa wageni. wanavuna walichopanda.
Unafahamu kuhusu Crusades, mkuu?

Una habari kwamba Roman Catholic Church iliendesha harakati za mauji ya Wakristo katika kipindi cha Dark Ages (karne ya 5 - 14 AD) na kwamba ina hatia ya vifo vya mamilioni ya watu -- wengi kuliko jumla ya wale waliokufa kwenye vita vya 1 na 2 vya dunia?

Please, read your history.

Kwa hiyo na wao Wakatoliki wauawe popote pale walipo duniani, au kanuni hii inahusika kwa Wapalestina tu?
 
Inaonekana U.S.A. imekusanya raia wengi kutoka mataifa yote duniani, na wana uhuru wa kuandamana,
Hii jamii ya waarabu inaiponda sana Marekani lakini mbona bado ndoto zao ni kwenda huko huko kutafuta maisha? Kwa nini wasiende kutafuta maisha Irani Russia au China?
Sijaona maandamano ya waarabu Moscow kwa Putin.
 
Labda kuna habari uliikosa nikupatie pia!

Israel walivamia nchi ya Lebanon na waliitwanga vya kutosha. Mataifa tofauti pamoja na nchi za kiarabu kupitia baraza la usalama umoja wa mataifa walimtaka Israel asitishe vita nchini Lebanon. Kilochotokea Marekani alimkingia kifua kwa sababu ilikuwa ni faida kwa Israel. Kwani ilikuwa ni faida Israel angeliweza kuongeza mipaka.

Ila baada ya jeshi la Hizbullah kuingia vitani mchezo ulibadilika. Na hii Hizbullah kuingia vitani ni baada ya jeshi la nchi ya Lebanon kushindwa.

Kilichoendelea hakikua Israel kuipiga Lebanon bali ikawa piga nikupige. Matokeo yake mashambulizi yakawa yanatumwa mpaka Israel. Baada ya matokeo ya namna hiyo Marekani ndiyo akawa anaharakisha kwenye baraza la UN ufikie mpango wa amani baina ya Israel na Lebanon.

Kwa misingi hiyo huwezi kusema Hizbullah alipigwa! Ukienda Lebanon Hizbullah anapewa taswira ya mkombozi wa nchi. Lililoshindwa ni jeshi la nchi ya Lebanon.
Mkuu angalia war result.
Kuna baadhi ya vyombo vya Habari vya uharabuni walisema hezbullah walipoteza Fighter zaidi ya 5000.
Na Israel hawakufika hata 200.
Sasa utasemaje hezbullah ni wapiganaji??
Sinario yako ni kama ya Kongo ambapo Rwandan tutsi force na Ugandan hima force pamoja na Banyamulenge walivamia Congo kwa lengo la kumuondoa Senior kabila waliteka kama congo yote.

Walipo karibia Kinshasa wakakitana na Angola na Zimbabwe, wakapigana na vita kuamia eastern DRC , walipigana kwa miaka 4 na meizi 10.
Result ya war watu million 4 mpk 5 walikufa na wanawake 500k kubakwa. Lkn walishidwa kumpindua kabila huku Uganda ilipoteza wanajeshi zaidi ya 2000
Na rwanda zaidi ya 1000.
Vita viliisha baada ya UN na USA kuforce womanizer vita.
KUMBUKA USA WALIKUWA WANASAIDIA RWANDA NA UGANDA

Afu wakongo waseme tulipiga rwanda na Uganda kwa msaada ya Angola na Zimbabwe.
Huku Atrocities ilitokea kubwa sana.
Sasa watakuwa wamepata nini?
 
Palestina na Israeli wote wanatesana, mkuu. Hakuna amani ya kweli pale Mashariki ya Kati.

Imagine unaenda kulala jioni, asubuhi yake unaambiwa watu wote wa familia yako wameuawa -- na hii ni hofu ya pande zote mbili.

Suluhu hapa pekee ni kukaa meza moja ya mazungumzo na kukabiliana na changamoto na kuzitatua once and for all.

Mwaka 1993 ulikuwa wa kihistoria kwa Palestina na Israeli ambapo kwa mara ya kwanza viongozi mahasimu hawa, Yitzhak Rabin (PM wa Israeli) na PLO chairman Yasser Arafat, walipeana mikono mbele ya umma wa dunia na rais wa Marekani Bill Clinton wakionesha nia yao ya dhati kufufua njia ya amani ya kutatua mgogoro husika baada ya kipindi kirefu cha kuviziana na kutishiana kuuana.

Unfortunately, Rabin akauawa si muda mrefu kwa sababu ya uchochezi wa Waisraeli waliomwona kana kwamba ni msaliti wa harakati za Uzayuni.

Unaweza kuona mwenyewe jinsi suala la Israeli na Palestina lilivyo tata na zito.
Chanzo si tumeshakubaliana ni Mayahudi kuchukua ardhi zaidi ya ike waliyopewa na UN? Sasa utasemaje wanatesana wakati mchokozi ameshafahamika?

Njia na mbinu anazotumia Myahudi katika uporaji wa ardhi ya ziada ya ile aliyopewa na umoja wa mataifa, unazijua?!
 
Matokeo yake mashambulizi yakawa yanatumwa mpaka Israel.
Vita vya mwaka 2006,
Ambapo hata Israel hawakua na Iron dome do maana hata Hamas kwa kipindi kile walikuwa wanahattack sana na hualibifu ulikuwa ni mkubwa Israel ndo maana mwaka 2011 wakaja na Iron dome.

Wiki iliyopita makombola zaidi ya 300 yalirishwa kutoka Lebanon 🇱🇧 kwani yalitua mangapi kwenye ardhi ya Israel????
 
Mwisho wa ubabe wa USA na NATO ndiyo umefikia.


Kimya kingi kina mshindo, wao wanajidai kutamba sana hapo kama mandonga, watu wanawasikiliza na kuwatazama tu.
Ndoto za alinacha hizo bi Faiza
Hebu kwanza kula chuma hicho hapo chini👇👇👇👇

World
Live TV


US sending second carrier strike group, fighter jets to region as Israel prepares to expand Gaza operations​

By Oren Liebermann, Natasha Bertrand and Brad Lendon, CNN
3 minute read
Updated 11:22 PM EDT, Sat October 14, 2023






Aircraft carrier USS Dwight D. Eisenhower deploys from Naval Station Norfolk, Oct. 14, 2023

Aircraft carrier USS Dwight D. Eisenhower deploys from Naval Station Norfolk, Oct. 14, 2023
Petty Officer 2nd Class Anderson W. Branch/Commander, U.S. 2nd Fleet

Washington/SeoulCNN —
The Pentagon has ordered a second carrier strike group to the eastern Mediterranean Sea and is sending Air Force fighter jets to the region as Israel prepares to expand its Gaza operations, US Defense Secretary Lloyd Austin said in a statement Saturday.
The US warships are not intended to join the fighting in Gaza or take part in Israel’s operations, but the presence of two of the Navy’s most powerful vessels is designed to send a message of deterrence to Iran and Iranian proxies in the region, such as Hezbollah in Lebanon.
The movements are “part of our effort to deter hostile actions against Israel or any efforts toward widening this war following Hamas’s attack on Israel,” Austin said in the statement.
The first carrier strike group, led by the USS Gerald R. Ford, arrived off the coast of Israel last week
 
Aliye kwambia kushinda vita ni kuharibu na majengo na kuuwa watu hovyo ni nani?

Kushinda vita ni kutimiza lengo lililo kupeleka vitani ukishindwa kutimiza lengo lililo kupeleka vitani kwenye tafsiri ya vita ni kuwa umeshindwa vita haijalishi umeuwa watu wangapi au umefanya uharibifu kiasi gani.
Vita vya 2006 vya Lebanon mimi nazungumzia matokea ya vita.
Vile vita hakuna aliyeshinda hata moja.
Jaribu kufuatilia comments zangu hapo.
Nilichokuwa naelezea ni matokea ya vita vile.

ACHA KUCOMMECT KWA MIHEMUKO MKUU.
HILI ni jukwaa tuu tubapeana Habari.
 
Inaonekana U.S.A. imekusanya raia wengi kutoka mataifa yote duniani, na wana uhuru wa kuandamana,
Hii jamii ya waarabu inaiponda sana Marekani lakini mbona bado ndoto zao ni kwenda huko huko kutafuta maisha? Kwa nini wasiende kutafuta maisha Irani Russia au China?
Sijaona maandamano ya waarabu Moscow kwa Putin.
Hata watching wenyewe wanaangaika wanataka kuuza vitu vyao USA.
 
Hizi video tuwe nazo makini, kuna video moja nimeona inasema hivo kwamba Israeli Air strike ndo imelipua magari ya watu gaza wanaohama, cha kushangaza "Aurora Intel" wakaieka hio video in 30fps na hawakuona air strike/projectile yeyote ilitoka juu, sisemi kwamba hamas ndo wana plant hayo mabomu kweny barabara ili kuzuia watu kuondoka, ili wawatumie kama human shields, ninachosema tuu tuwe makini na hizi video.
VIDEO YENYEW HII HAPA👇👇👇

View: https://twitter.com/TheMossadIL/status/1713224556758880269?t=3gtPV6UhDEC_Nl-lSegWVg&s=19

Na hizo picha za video in 30fps before the bomb went off ni hizi hapa👇👇👇
THERE WAS NO PROJECTILE
View attachment 2782253
View attachment 2782254
View attachment 2782256
View attachment 2782257

Mkuu hio video ya juu sio Israel air strike maana kama ingekuwa ni air strike hilo gari trailer ingearibika.
kuvunjwa vunjwa sasa hilo trailer la gari ni bado lipo Zima kabisa.
Hao watu wameuwawa na bunduki.
Hio ni fake news
 
Chanzo si tumeshakubaliana ni Mayahudi kuchukua ardhi zaidi ya ike waliyopewa na UN? Sasa utasemaje wanatesana wakati mchokozi ameshafahamika?
Mkuu, ukiwauliza Wayahudi wao watakwambia hawakurudi Palestina kwa kupenda wala kwa lengo la kuwatesa wenyeji wao, bali lilikuwepo shinikizo kubwa la mauaji ya jamii zao hasa huko Ulaya na Urusi, huku dunia nzima ikiwaangalia tu bila kuwapa msaada wowote wa maana.

Mbaya zaidi, mataifa kama Marekani, Uingereza, South America na mengineyo yalikataa kuwapokea wakimbizi Wayahudi hao.

Salama yao waliona ilikuwa kurudi nchi ya Palestina, pengine kabisa wakiwa na ndoto za kuishi kwa amani milele.
Njia na mbinu anazotumia Myahudi katika uporaji wa ardhi ya ziada ya ile aliyopewa na umoja wa mataifa, unazijua?!
^Mbinu:^ Mkuu, unajua kwenye vita, kanuni huwa ni ileile ya msituni -- mwenye nguvu zaidi ndiye anapona.

Kwa Wayahudi pia, mbinu yao wanaona inahalalishwa na matokeo ya mwisho wanayolenga.

Nukta yangu ni ipi? Ni kwamba haisaidii sana kumtafuta mchawi kwa sasa. Kama hakuweza kupatikana kwa zaidi ya miaka 75 ya mgogoro huu, tusitegemee mapya.

Wayahudi wanasema wamekuwepo hapo Mashariki ya Kati tangu utawala wa Mfalme Daudi.

Wapalestina pia wanadai eneo hilo vizazi vyao vimekuwa vikilimiki huenda hata katika kipindi cha Ibrahimu.

Ufumbuzi wa kudumu wa amani hususan kwa njia ya pande mbili hasimu kukaa meza moja ya mazungumzo ndiyo namna pekee ya kuhakikisha utulivu na usalama wa kizazi chetu ambacho ni wazi kimesimama kwenye ukingo wa kujiangamiza chenyewe.

The future of existence of our beautiful Planet Earth, the abundance of life in it and its rich historical and material resources are in our hands.

We can choose to play dumb and obliterate all in a blink of an eye, or be reasonable and grateful enough to learn to live with others in harmony regardless of our differences.

And so, as the entrusted custodians of this world, what will we do? Time will tell.

As we desperately wait to see what direction the hypocritical politicians and warmongers would take, let all good people and well-wishers do something about it.
 
Mwisho wa ubabe wa USA na NATO ndiyo umefikia.


Kimya kingi kina mshindo, wao wanajidai kutamba sana hapo kama mandonga, watu wanawasikiliza na kuwatazama tu.
Sasa nani amelize ubabe wa USA Hamas au Hisbullah?? au Iran acha mahaba tumia akili bibi🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Yaani hapo Hamas atatwangwa, Hisbullah atatwangwa, Iran atatwangwa na hakuna atakaye kohoa🤣🤣🤣🤣🤣🤣

USA bado ana nguvu kubwa sana hapa ulimwenguni, ila ukiwa mpenzi wa Parstoday Kiswahili aaah lazima uone Iran na Hisbullah pekee ndio wana nguvu na akili duniani🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom