LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Kwa upande mwingine laana ya kumkataa Yesu inawagharimu Israeli

YESU alipokuwa duniani, watu walivutiwa sana na mambo aliyofundisha na kushangazwa na miujiza aliyofanya. Kwa sababu hiyo, wengi “walimwamini” na kumkubali kuwa ndiye Masihi aliyetabiriwa, au Kristo. Waliuliza: “Kristo atakapofika, je, atafanya ishara zaidi ya zile ambazo mtu huyu amefanya?”—Yohana 7:31.
Ingawa kulikuwa na uthibitisho mwingi ulioonyesha kwamba Yesu ndiye Masihi, wengi wa wale waliomwona na kumsikia hawakumwamini. Kwa kusikitisha, hata wale ambao mwanzoni walimwamini walimwacha baadaye.

Kufikia wakati Yesu alipokuja duniani, kufikiri na kutenda kwa wafuasi wa dini ya Kiyahudi kulikuwa tofauti sana na yale ambayo Maandiko yaliyoongozwa na roho ya Mungu yanafundisha.

Viongozi wa kidini wa wakati huo—Masadukayo, Mafarisayo, na waandishi—walikuwa wakishikilia mapokeo ya wanadamu, wakiyatanguliza badala ya kutanguliza Neno la Mungu. Mara kwa mara, walimshutumu Yesu kwa kuvunja Sheria kwa sababu alifanya miujiza na kuponya siku ya Sabato.

Kwa kuonyesha waziwazi kwamba mafundisho yao hayakuwa ya kimaandiko, Yesu alipinga mamlaka na madai yao kwamba walikuwa na msimamo mzuri mbele za Mungu. Tofauti nao, Yesu alizaliwa katika familia maskini na hakuwa na elimu ya kidini kama wao.

Si ajabu kwamba ilikuwa vigumu sana kwa viongozi hao wenye kiburi kumtambua Yesu kuwa ndiye Masihi! Makabiliano hayo yaliwakasirisha sana hivi kwamba ‘walifanya shauri juu ya Yesu ili wapate kumwangamiza.’—Mathayo 12:1-8, 14; 15:1-9.

Hawakupinga kwamba miujiza hiyo ilifanyika. Badala yake, kwa kukufuru walijaribu kuwafanya watu wasimwamini Yesu wakidai kwamba anapata nguvu kutoka kwa Shetani na kusema hivi: “Mtu huyu hatoi roho waovu ila kwa nguvu za Beelzebuli, mtawala wa roho waovu.”—Mathayo 12:24.

Baada ya Yesu kumfufua Lazaro, viongozi wa madhehebu mbalimbali walishauriana na kusema: “Tufanye nini, kwa sababu mtu huyu anafanya ishara nyingi? Tukimwacha hivyo, hao wote watamwamini, na Waroma watakuja na kuondolea mbali mahali petu na taifa letu pia.” Kwa kuwa waliogopa kupoteza mamlaka na vyeo vyao, viongozi hao walipanga njama ya kumuua Yesu na Lazaro!—Yohana 11:45-53; 12:9-11.

Mtazamo wa viongozi wa dini ya Kiyahudi ulifanya watu wamchukie mtu yeyote aliyekubali kuwa Yesu ni Masihi. Kwa kujivunia vyeo vyao, walimdharau mtu yeyote aliyemwamini Yesu, wakisema: “Je, kuna hata mmoja wa watawala au wa Mafarisayo ambaye amemwamini?” (Yohana 7:13, 48)

Baadhi ya viongozi wa Kiyahudi, kama vile Nikodemo na Yosefu wa Arimathea, walikuwa wanafunzi wa Yesu, lakini kwa sababu ya hofu walificha jambo hilo. (Yohana 3:1, 2; 12:42; 19:38, 39)

Viongozi wa kidini walikuwa wameazimia kwamba “ikiwa yeyote angemkiri [Yesu] kuwa ndiye Kristo, angefukuzwa katika sinagogi.” (Yohana 9:22) Mtu kama huyo, angeepukwa na kudhihakiwa na jamii.

Upinzani kuelekea mitume na wanafunzi wa Yesu mwishowe ulichochea mateso makali. Kwa sababu ya kuhubiri kwao kwa ujasiri, mitume waliteswa na Sanhedrini, mahakama kuu ya Wayahudi. (Matendo 5:40) Wapinzani walitunga mashtaka ya uwongo dhidi ya mwanafunzi Stefano.

Alihukumiwa na Sanhedrini na kupigwa mawe hadi kufa. Kisha, “mateso makubwa yakatokea juu ya kutaniko lililokuwa katika Yerusalemu; wote isipokuwa mitume walitawanywa kotekote katika maeneo ya Yudea na Samaria.” (Matendo 6:8-14; 7:54–8:1)

Sauli ambaye baadaye alikuja kuwa mtume Paulo, alishiriki katika kampeni hiyo ya kulitesa kutaniko ambayo iliungwa mkono na kuhani mkuu na “kusanyiko lote la wanaume wazee.”—Matendo 9:1, 2; 22:4, 5.
 
Sasa nani amelize ubabe wa USA Hamas au Hisbullah?? au Iran acha mahaba tumia akili bibi🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Bibi mahaba kwa kina hamas yamemkolea mpaka anakuwa kituko. Safari hii upanga wa wana wa Yakobo utakuwa shingoni mwa adui zao watafukuliwa mpaka huko kwenye mahandaki yao.
 
Wewe zezeta , makalio yako ndio yataitwanga Iran ?
Unadhani Iran ni kama mbususu yako hiyo inayotwangwa kila siku ?
Hamna cha kuandika tulizeni vishundu hivyo chini ,kuliko kukaa mnajaza servers hapa kwa kuandika upumbavu humu ,ebo !
Bloody fools ,
 
Mkuu lengo la Israel lilikuwa ni kwenda kuwakomboa wanajeshi wake walio tekwa na Hizbulah na kuliangamiza kundi hilo lakini hakuna hata lengo moja kati ya hayo lililo timia.

Israel ilizidiwa mpaka ikarazimika kukubali matakwa ya Hizbulah ya kurudisha eneo kubwa ambalo ilikuwa imeliteka kutoka kwa jeshi la Lebanon ndo mateka wao wakaachiwa.
Hivyo kwa tafsiri ya kijeshi ni kuwa Israel ilishindwa vita kwa sababu malengo yaliyo moeleka vitani haya kutimia.
 
Hayo sijabisha kwamba walirudi hapo sababu walikuwa wanateswa ulaya. Ila je, si walioewa ardhi na azimio la UN? Sasa kwa ini wanachukua kwa kupora zaidi ya walichopewa na UN?
 
Hata raia wa Marekani wamejaa kwenye nchi za kiarabu hivyo hakuna cha ajabu.
 
Hayo sijabisha kwamba walirudi hapo sababu walikuwa wanateswa ulaya. Ila je, si walioewa ardhi na azimio la UN? Sasa kwa ini wanachukua kwa kupora zaidi ya walichopewa na UN?
Ndiyo maana tukasema suluhu pekee ni mazungumzo ya amani.

Unajua katika vita, ni jambo la kawaida kabisa linalokubalika kimataifa kwa mshindi kuandika historia.

Hayo yote ni madhara ya vita, ndiyo sababu tunu ya amani inapaswa kutunzwa kwa gharama zote ili isiponyoke na kutoweka.

Nasikitika kwamba wewe umeona ardhi tu kama matokeo au athari za vita. Vipi kuhusu uhai wenyewe -- akina mama, wazee, watoto na watoto wachanga, vijana, watu wazima, wasomi na wataalamu -- ni njozi ngapi zimezimwa ghafla kutokana na vita ambavyo vingeweza kuepukwa kwa gharama ndogo tu ya pande mbili hasimu kukaa meza moja ya mazungumzo? Ni familia ngapi zimekumbwa na huzuni isiyoponyeka?
 
Anaelewa sema ndo hivyo anajichetua tu.
 
Kasome tena.
Maana hata wenzio walivyoelezea na wewe unavyoeleza ni tofauti kabisa.
 
vp ground offensive imeshaanza maana hii ndo hua vita halisi achana na hizi mbwembwe za madege, makombora nk. Boots on ground ndo inaleta ushindi
 
Ni ngumu kujua nguvu ya marekani kwani hajawahi kwenda vitani pekeyake. Anapenda kwenda ktk nchi dhaifu na sametimes wanashindwa
 
vp ground offensive imeshaanza maana hii ndo hua vita halisi achana na hizi mbwembwe za madege, makombora nk. Boots on ground ndo inaleta ushindi
Uwe na uhakika, Israel atatoboa hayo mahandaki tifutifu na kina haniya na midevu yao itatoka hai au maiti lazima kieleweke pale Gaza. R. I. P Hamas, wahini ahadi zenu zile pendwa kule Jannah firdaus
 
Chanzo cha kutoweka Amani si ni mayahudi kuchukua Ardhi zaidi ya waliyopewa na UN Sivyo?
 
Iran wanasema wapo tayari na wamejipanga vizuri kama Israel hawataacha ushetani
 

Attachments

  • F8fKWsTWUAARkNN.jpeg
    120.2 KB · Views: 3
Iran wanasema wapo tayari na wamejipanga vizuri kama Israel hawataacha ushetani
Mashetani ni yapi kama sio yake yasemayo Allah Akbar huku wanaua watu, kubaka wadada na kushambulia kila wamuonaye?. Hizo tabia ndio za Baba wa uongo ambaye ndio huyo waliyekuwa wanapaza sauti zao kusema ndiye mkubwa. Kipigo kipo pale pale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…