Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wahindi na waislamu hawapatani... Wahindi wanaona unagaribu Dini yao ya Hinduism na Buddhism... Hapo juzi kati tu watoto kadhaa wakiislam pale India walidhihakiwa kisa ni waislamu... Wahindi wanaamini waislamu wa kule India wanaoa dada zao ili kuwabadilisha dini, sasa kutendo cha waislamu kuwaoa dada zao na kuwabadilisha dini kinawakela sana... Hapo wahindi lazima wasapoti israeli pia ukijumuisha na ushirikiano wa kivita na kiuchumi baina ya nchi hiziMshangao mwingine ni kitendo cha india kupeperusha bendera ya israel na kuinga mkono kupambambana na magaidi wakati wengine wanaandamana na kuilaani. India itabarikiwa sana na uchumi wake utakua kwa kasi ya ajabu, india inajua inachokifanya
Hahahahah any update maalimu?Media Coverage: "The number of Israeli soldiers and settlers killed by Palestinian freedom fighters has soared up to 300, and at least 1590 others were injured, according to Hebrew sources."
India na Pakistan Wana bifu la kinyambis na wapikstan ni waislamu na wahindu ni wahindu wahindu wa pakistana wanakiona Cha mtema Kuni na waslam wa India wanakiona Cha moto all in all wakristo wanapata sana shida Pakistan kuliko India nadhan Islam sio dini ya amani kama tunavyoaminishwaWahindi na waislamu hawapatani... Wahindi wanaona unagaribu Dini yao ya Hinduism na Buddhism... Hapo juzi kati tu watoto kadhaa wakiislam pale India walidhihakiwa kisa ni waislamu... Wahindi wanaamini waislamu wa kule India wanaoa dada zao ili kuwabadilisha dini, sasa kutendo cha waislamu kuwaoa dada zao na kuwabadilisha dini kinawakela sana... Hapo wahindi lazima wasapoti israeli pia ukijumuisha na ushirikiano wa kivita na kiuchumi baina ya nchi hizi
USIJAZWE CHUKI WE JAMAA ZA ISLAMAPHOBIA.India na Pakistan Wana bifu la kinyambis na wapikstan ni waislamu na wahindu ni wahindu wahindu wa pakistana wanakiona Cha mtema Kuni na waslam wa India wanakiona Cha moto all in all wakristo wanapata sana shida Pakistan kuliko India nadhan Islam sio dini ya amani kama tunavyoaminishwa
Ndio maana Xin Jin Ping alisema kuwa USA Ina siasa za kizamani za kujichagulia ukweli na uongo unatokana na mwenye nguvu,ilhali kiuhalisia Israel ndio mnyang'anyi alieteka maeneo ya Palestine na USA imekataa kuitambua Palestina kama taifa huru.Kwa muda mfupi sana Gaza kumeweza kuchakaa vibaya sana hizo ni baadi ya pichaView attachment 2784349
View attachment 2784350
Israeli tunaambiwa taifa teule la Mungu limeamua kufanya uharibifu wa hali ya juu kabisa hawakuishia kupiga tu walizuia hadi misaada ya kijamii kuingia jambo ambalo Putin hakufanya hivyo bado tukaambiwa putin ni mbaya anawatesa wa ukraine ila Taifa la Mungu wapo sahihi wakiungwa mkono na marekani kwa kile wanachokifanya
Kama Putin angeamua kufanya kama hiki kinachofanywa na Israeli basi ukraine isingekuwepo hadi muda huu kwa muda wanaopambana.
Hawajui hata mambo ya kimataifa wanashabikia tu vitu waelekezeWahindi na waislamu hawapatani... Wahindi wanaona unagaribu Dini yao ya Hinduism na Buddhism... Hapo juzi kati tu watoto kadhaa wakiislam pale India walidhihakiwa kisa ni waislamu... Wahindi wanaamini waislamu wa kule India wanaoa dada zao ili kuwabadilisha dini, sasa kutendo cha waislamu kuwaoa dada zao na kuwabadilisha dini kinawakela sana... Hapo wahindi lazima wasapoti israeli pia ukijumuisha na ushirikiano wa kivita na kiuchumi baina ya nchi hizi
Tizama aljazeera,BBC,CGTN takriban raia 1400 2a Israel wameua ,wanajeshi wa Israel 299 wameua ,mateka 150 was kiraia wametekwa na Hamas na mateka 100 was kijeshi was Israel wametekwa na Hamas.Hahahahah any update maalimu?
NATO NA USA vita inawashinda huko Ukraine.Unajuaje kama Putin alitamani kufanya hayo ila akashindwa?