Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Hamas wanatakiwa kuwaua mateka wote wanao washikilia. Sababu kuendelea kuwashikilia ni hatari zaidi. Maana Jeshi la israel wakijua walipo watafika hapo na kuwaokoa pia watawaua watekaji. Wawaue tu na wao waongeze uchungu na maumivu kwa israel nao waone uchungu kama ule wanaopata wapalestina.
Hivi inawezekana vipi matukio haya ya mauwaji yanafanywa na yanaachwa yaendelee na jumuia za kimataifa zinaangalia tu.
NImeichukia sana Marekani na Umoja wa ulaya.
Hivi inawezekana vipi matukio haya ya mauwaji yanafanywa na yanaachwa yaendelee na jumuia za kimataifa zinaangalia tu.
NImeichukia sana Marekani na Umoja wa ulaya.