LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Tizama aljazeera,BBC,CGTN takriban raia 1400 2a Israel wameua ,wanajeshi wa Israel 299 wameua ,mateka 150 was kiraia wametekwa na Hamas na mateka 100 was kijeshi was Israel wametekwa na Hamas.
Pia takriban raia laki tano wa Israel wamehama nchi na wengine wanaendelea kuhama nchi.
Usipoiona hiyo habari katika vyombo vya habari nilovyokutajia NAHAMA JF
Unadhani hamas hawajutii walichokianzisha au unadhan wapelestina wanajivunia kuongozwa na hamas baada ya huu mkenge waliowaingiza ?
 
Fuatilia vyombo vya habari.
Occupied west bank mpaka watoto wanaenda front kuandamana wakisema KHERI KUFA KULIKO KUNYANYASIKA CHINI YA ISRAEL.
RAIA WA GAZA WANAOENDA KUSINI MWA GAZA KARIBIA NA RAFAH BORDER WANAKIRI NA KUSEMA KUWA HAWAJUTII HAMAS KUANZISHA MASHAMBULIZI MAANA WANATETEA HAKI ZA WAPALESTINA ILA IMEWAIMBA ISRAEL ISIPIGE RAIA NA ISIKATE HUDUMA MUHIMU KWA WANANCHI ILI KUWADHOOFISHA HAMAS.
KAKA FUATILIA HABARI UTAONA.
 
Unadhani hamas hawajutii walichokianzisha au unadhan wapelestina wanajivunia kuongozwa na hamas baada ya huu mkenge waliowaingiza ?
Cha kukuongezea ukuta ulojengwa na Israel mpakani na Gaza juu una remote controlled Beretta pia una makombora pia una CCTV pia simu takriban zote Gaza zinadukuliwa na Israel upande was maji wapalestina wanaruhusiwa ku navigate mwisho mile 5 tu kwaajili ya kuvua.

BRO KAMA WEWE NI MWANANCHI UNAKUBALIANA NA HILO????!!!!!
wakati huo 1947 Palestina ikiwa koloni la Uingereza ilikubali kupokea wazayuni na kuwakatia ardhi sawa na Yao na kuitambua Israel kuwa taifa halafu UN na EU ikakataa kuitambua palestina kama taifa huru.
 
WAr crimes
 
Attachments

  • Screenshot_20231017-123147_Instagram.jpg
    Screenshot_20231017-123147_Instagram.jpg
    49.6 KB · Views: 4
Kama huniamini mm mswahili, Listen to this Arab

Mzee upo sahihi, Indians(Hindus) na waislamu hawapatani kabisa tena ni maadui, walipigana vita hadi ikaigharimu India kugawa part kubwa ya ardhi yake na kuwapa waislamu, ndo ile ardhi ya Pakistani, inawauma hadi leo kwa sababu wao sio wazawa wa pale walihamia tuu kutoka uarabuni Karne ya saba wakaanza kuwalazimisha kubadili dini na kuchoma Hindu temples, ndo maana hawawez kupatana.
Ww jamaa una upumbavu mwingi.
Hiyo chuki yako dhidi ya uislam haitakufikisha popote zaidi ya kukuletea vidonda vya tumbo,maana chuki zako hazitapungiza chochote kwa waisilam au uislam.

Pakstatan na India ni watu wenye asili moja sema utofauti wao ni dini na taifa basi.
Alafu unacho takiwa kujua ndani ya India kuna waisilam zaidi ya million 200.
 
Eti watu wenye asili moja🤣🤣🤣
Mzee mambo ninayosema hapa nimeambiwa na wahindi wenyew, sio porojo za uswahilini, wewe ndo hujui sasa kwa taarifa yako, hao waislamu waliopo India million 200 ni generation ya wale ambao baada ya Partition 1947 wao walirudi India badala ya kukaa Pakistani, inawezekana hawakupenda mazingira ya kule au walikuwa tayar wamezaa na Hindu women.

Mzee siongeagi vitu bila kutumia akili kama wewe, this is history ambayo nimesimuliwa na Indians wenyew

Alaf Mzee mbona una shobo sana??

Nishakwambiaga DON'T REPLY TO MY POSTS, mbona unanifatilia sana? Ushaona mimi na reply kweny post zako? Kausha bac.

GET A LIFE.
 
Eti watu wenye asili moja[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kwa hiyo kusimuliwa na wahindi basi ndo umekuwa ukweli,hivi una akili kweli?

Yaani ww ukichukua wapaksitan na waarabu ukawaweka pamoja unaona wanafanana?

India, Pakistan na Afghanistan ni watu wenye asili moja kinacho watenganisha ni mataifa, dini,lugha na tamaduni acha ubishi wa kifala.
 
Kwa jinsi unavoongea bila kutumia logic, hata nikuelezee vipi huwez kuelewa, mnakaa vijiweni mnajidanganya alaf mtu akija kuwambia ukweli mnasema ana chuki, endeleeni kujidanganya ila ukweli unajulikana.

Staki tena kuongea na wewe.

Nakusihi, Pita kushoto.
 
Kati yangu na ww anaye ongea mambo bila logic ni nani?

Unaropoka mambo bila hata ushahidi wowote kisa tu umesikia watu wanasema alafu unataka ukaliwe kimia pumbavu kabisa.

Kama kuna muislam alikupa mimba akakutelekeza hizo ni akili yake huna haja ya kuwachukia waisilam wote.
Mzee ITR UBARIKIWE SANA.
 
Eti watu wenye asili moja🤣🤣🤣
Mzee mambo ninayosema hapa nimeambiwa na wahindi wenyew, sio porojo za uswahilini, wewe ndo hujui sasa kwa taarifa yako, hao waislamu waliopo India million 200 ni generation ya wale ambao baada ya Partition 1947 wao walirudi India badala ya kukaa Pakistani, inawezekana hawakupenda mazingira ya kule au walikuwa tayar wamezaa na Hindu women.

Mzee siongeagi vitu bila kutumia akili kama wewe, this is history ambayo nimesimuliwa na Indians wenyew

Alaf Mzee mbona una shobo sana??

Nishakwambiaga DON'T REPLY TO MY POSTS, mbona unanifatilia sana? Ushaona mimi na reply kweny post zako? Kausha bac.

GET A LIFE.
Sasa mkuu hapo umeenda mbali hii ni open forum huwezi kumkataza mtu asireply hapa ni hoja kwa hoja siyo matusi wala utemi kama huwezi kuhimili hivyo ni bora usipost au kucomment lakini huwezi kusema eti fulani asireply hatuendi hivyo mkuu hizi diacussions tu sio ugomvi wote ni watanzania unagombana vipi na mwenzako kisa india kweli
 
Mzee upo sahihi kabisa, ukiona mtu mzima ameamua kuchukua hayo maamuz ujue kuna jambo.

Ninachoweza kusema ni kwamba, humjui huyo jamaa vizur.
 
Back
Top Bottom