hii duni ina mambo mengi, unajuaje pengine hawa ni majasusi kindakindaki? Usifungie akili yako katika pointi moja iache huru idadisi ukweli wa mambo. Vita vinapiganwa kwa mbinu nyingi tofautitofauti ili tu kupata ushindi zikiwemo za kumuhadaa aduiMmeumbuka sasa View attachment 2786844
Okay reaction ipi ambayo Iran alifanya baada ya Israel kuua watalamu wakeSasa ulikua unazunguka zunguka niny ! Yaan umeandika pumba nyingi na kushindwa kuleta uthibitisho wa lini Hilo taifa lenye wayahudi feki wa kizungu wameshambulia vinu vya nyuklia vya Irani. Nitaka tu ujibu swali langu mengine yalikua hayanihusu.
Ahsante Mungu.The head of HAMAS security killed with his entire family at his house in GAZA.
View attachment 2786667
Kaka ni hatari sana, ila cha kujifunza ni hikiKinachoendelea Gaza kinasikitisha.
Uhalifu unaotendeka sio haki
π π Nakumbuka sana Ukraine kipindi Mrusi akitupa kombora hospitali au supermarket kumbe jeshi lilikuwa linaficha silaha hukoKaka ni hatari sana, ila cha kujifunza ni hiki
1. Hamas si watetezi wa makundi yote parestina
2. Hamas miaka yote wametumia watu kama kinga yao wasishambuliwe (chaka)
Sasa ukitaka kushughulika na kundi la kigaidi ni lazima gharama kama hizo usithubutu - kushusha Hosp. Kushusha Makanisa, Kushusha Misikiti na hata majumba ya kuishi.
Kumbuka HAMAS ni wahuni, wanashambulia na kukimbilia sehemu salama kama Hosp, Makanisani, kwenye kambi za wakimbizi na sehemu zingine zenye watu wengi.
wale HAMAS walikuwa na ofisi mle hospital, na siku hiyo kikao kizito kilikuwa kinaendea underground, watu wakashusha mzingo dedeq.. majivu.π π Nakumbuka sana Ukraine kipindi Mrusi akitupa kombora hospitali au supermarket kumbe jeshi lilikuwa linaficha silaha huko
Kaka ni hatari sana, ila cha kujifunza ni hiki
1. Hamas si watetezi wa makundi yote parestina
2. Hamas miaka yote wametumia watu kama kinga yao wasishambuliwe (chaka)
Sasa ukitaka kushughulika na kundi la kigaidi ni lazima gharama kama hizo usithubutu - kushusha Hosp. Kushusha Makanisa, Kushusha Misikiti na hata majumba ya kuishi.
Kumbuka HAMAS ni wahuni, wanashambulia na kukimbilia sehemu salama kama Hosp, Makanisani, kwenye kambi za wakimbizi na sehemu zingine zenye watu wengi.
Mzee ukitaka kujua historia ya eneo hilo jitahidi sana kusoma Historia mbalimbali, achana na hizi bra bra za masheikh wa mtaani.Hujui kinachoendelea palestina na watu wake, mtu anatetea haki yake wewe unasema ni kikundi cha kihuni!! Hata kama ni wewe amekuja mtu kukalia ardhi yako kimabavu utamwacha!! Mbona hamuna huruma enyi watu!!
I stand with Palestine π΅πΈ
Umechapia, Gaza iko kwenye Amos 1:7 Kuta za Gaza zitawaka moto. Yesu alitabiri kubomolewa kwa hekalu mwaka 70 AD.Tunakumbushana tu hasa kwa wale wenye mioyo migumu wasiouona ukweli wa kile kinachoendelea Gaza
Jumaa kareem [emoji3]
70 AD?Umechapia, Gaza iko kwenye Amos 1:7 Kuta za Gaza zitawaka moto. Yesu alitabiri kubomolewa kwa hekalu mwaka 70 AD.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Utajua HujuiHakumaanisha kuta kama kuta za Gaza