LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Sasa ulikua unazunguka zunguka niny ! Yaan umeandika pumba nyingi na kushindwa kuleta uthibitisho wa lini Hilo taifa lenye wayahudi feki wa kizungu wameshambulia vinu vya nyuklia vya Irani. Nitaka tu ujibu swali langu mengine yalikua hayanihusu.
Okay reaction ipi ambayo Iran alifanya baada ya Israel kuua watalamu wake
 
Hakuna pahala Gaza pako salama, Kanisa la Orthodox lapokea kisago..

Watu kadhaa waliuawa katika shambulio la anga la Israeli kwenye jumba la Kanisa la Orthodox la Ugiriki la Mtakatifu Porphyrius, maafisa huko Gaza walisema.
 
Kinachoendelea Gaza kinasikitisha.

Uhalifu unaotendeka sio haki
Kaka ni hatari sana, ila cha kujifunza ni hiki
1. Hamas si watetezi wa makundi yote parestina
2. Hamas miaka yote wametumia watu kama kinga yao wasishambuliwe (chaka)

Sasa ukitaka kushughulika na kundi la kigaidi ni lazima gharama kama hizo usithubutu - kushusha Hosp. Kushusha Makanisa, Kushusha Misikiti na hata majumba ya kuishi.

Kumbuka HAMAS ni wahuni, wanashambulia na kukimbilia sehemu salama kama Hosp, Makanisani, kwenye kambi za wakimbizi na sehemu zingine zenye watu wengi.
 
😂 😂 Nakumbuka sana Ukraine kipindi Mrusi akitupa kombora hospitali au supermarket kumbe jeshi lilikuwa linaficha silaha huko
 
wale HAMAS walikuwa na ofisi mle hospital, na siku hiyo kikao kizito kilikuwa kinaendea underground, watu wakashusha mzingo dedeq.. majivu.
 
Kaka ni hatari sana, ila cha kujifunza ni hiki
1. Hamas si watetezi wa makundi yote parestina
2. Hamas miaka yote wametumia watu kama kinga yao wasishambuliwe (chaka)

Sasa ukitaka kushughulika na kundi la kigaidi ni lazima gharama kama hizo usithubutu - kushusha Hosp. Kushusha Makanisa, Kushusha Misikiti na hata majumba ya kuishi.

Kumbuka HAMAS ni wahuni, wanashambulia na kukimbilia sehemu salama kama Hosp, Makanisani, kwenye kambi za wakimbizi na sehemu zingine zenye watu wengi.

Hujui kinachoendelea palestina na watu wake, mtu anatetea haki yake wewe unasema ni kikundi cha kihuni!! Hata kama ni wewe amekuja mtu kukalia ardhi yako kimabavu utamwacha!! Mbona hamuna huruma enyi watu!!

I stand with Palestine 🇵🇸
 
Mzee ukitaka kujua historia ya eneo hilo jitahidi sana kusoma Historia mbalimbali, achana na hizi bra bra za masheikh wa mtaani.
 
Tunakumbushana tu hasa kwa wale wenye mioyo migumu wasiouona ukweli wa kile kinachoendelea Gaza

Jumaa kareem 😀
 
Mimi Tuntufye Mwalufindo kutoka isyesye hapa Tukuyu nawatakia ushindi mnono wa bao 5-0 hawa ndugu zetu wa damu wana wa israel. Bwana asiiifiweeeeeee
 
Hapo yesu alikuwa anaongelea warumi watakavyoifanya Yerusalem baadae
 
1697792373114.png
 
Back
Top Bottom