Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Yesu mnayedai ni mwema sana, mwenye huruma na upendo.Utajua Hujui
Yesu aliongea kwa mifano [emoji23][emoji23]
Yanayobomolewa ni Majengo
Hekalu/Kanisa ni mwili wa Kristo
Ndio unasikia Jengo wengine wakiita Eti Kanisa limebomolewa huko Gezaulole [emoji209]
BC. Before Christ. Used to date events that happened before Christ's birth. BC is used after the number of the year. Some people now choose the term BCE (Before Common Era) rather than BC. AD. Anno Domini. Latin for "in the year of the Lord". Used to date events that happened after Christ's birth. AD is often used before number of the year. Some people now choose the term CE (Common Era) rather than AD.70 AD?
Wanaozuia ni wayahudi au serikali ya Israeli? Vyombo vya dola vya Israeli hasa IDF? Kuna tofauti hapo. Wayahudi wapo hata South Africa, Australia, Iran, Ethiopia, Egypt etc. Serikali na dini ya watu hazihusiani.Ukanda wa Gaza: Makumi ya roketi yarushwa kuelekea Israeli
Makumi ya roketi yamerushwa kutoka Ukanda wa Gaza kuelekea Israel Jumamosi asubuhi, Oktoba 7, na kusitisha makubaliano ya usitishwaji mapigano yaliyoheshimishwa kwa ujumla tangu kumalizika kwa vita vya siku tano mwezi Mei. Tawi la kijeshi la Hamas limetangaza kuwa limeanzisha operesheni iitwayo "Mafuriko ya Al-Aqsa" dhidi ya Israel.
Ufyatulianaji wa risasi, kuanzia maeneo kadhaa katika Ukanda wa Gaza, ulianza kabla ya 6:30 asubuhi saa za Mashariki ya Kati na kuendelea karibu dakika arobaini na tano baadaye.
Nchini Israeli, ving'ora vya onyo vimesikika katika miji kadhaa karibu na Palestina, pia huko Jerusalemu lakini pia ndani zaidi katika eneo hilo, kaskazini na mashariki, kulingana na jeshi.
Roketi imeanguka kwenye mji wa Yavne, kusini mwa Tel Aviv, ambapo mtu mmoja amejeruhiwa kidogo, kulingana na Magen David Adom, sawa na shirika la Msalaba Mwekundu nchini Israel. Mwanamke mwenye umri wa miaka sitini ameuawa "kwa pigo la moja kwa moja", na watu wengine 15 wamejeruhiwa kusini mwa Israeli, linasema shirika la Magen David Adom.
Jeshi la Israel limeripoti kupenya kwa "idadi isiyojulikana ya magaidi" kwenye ardhi ya Israel kutoka Ukanda wa Gaza. "Wakazi katika maeneo jirani ya Ukanda wa Gaza wametakiwa kusalia nyumbani," jeshi limeongeza.
Mwezi Mei, Israel ilianzisha mashambulizi dhidi ya Islamic Jihad ya Palestina katika Ukanda wa Gaza, na kusababisha vita vya siku tano kati ya jeshi la Israel, Islamic Jihad na makundi mengine yenye silaha katika eneo hilo, na kugharimu maisha ya Wapalestina 34 na mwanamke mmoja wa Israel.
Zaidi ya roketi elfu moja zimerushwa kutoka Ukanda wa Gaza kuelekea Israel, nyingi zikiwa zimenaswa na mfumo wa ulinzi wa anga wa Israel. Israel kwa upande wake ilikuwa imeongeza mashambulizi ya anga katika eneo hilo dogo.
Hamas, ambayo ilichukua mamlaka huko Gaza mwaka 2007, ilikuwa imejitenga na mzozo huu.
Imechapishwa: 07/10/2023 - 08:13 Na:RFI
Video na TRT AFRIKA
View attachment 2786228
aiseee! Pole sana mkuu. Jiwe walilolikataa wajenzi ndilo jiwe kuu la pembeni.Yesu mnayedai ni mwema sana, mwenye huruma na upendo.
Anakwenda kinyume na mahubiri yake kwamba tunapaswa kusamehe Saba mara sabini na kuwapenda Adui zetu,
Ilhali yeye mwenyewe kashindwa kutekeleza mahubiri yake mwenyewe.
Yesu huyo ni Mkatili sana na wala hajielewi kabisa, kwanza hata haelewi alichokuwa ana kihubiri ni nini..!!
Biblia ni andiko moja la kipumbavu sana.
Nonsense..aiseee! Pole sana mkuu. Jiwe walilolikataa wajenzi ndilo jiwe kuu la pembeni.
Watu hawajui biblia vzr bila roho mtakatifu kamwe hutaielewa,biblia ni kitabu Cha MunguYesu mnayedai ni mwema sana, mwenye huruma na upendo.
Anakwenda kinyume na mahubiri yake kwamba tunapaswa kusamehe Saba mara sabini na kuwapenda Adui zetu,
Ilhali yeye mwenyewe kashindwa kutekeleza mahubiri yake mwenyewe.
Yesu huyo ni Mkatili sana na wala hajielewi kabisa, kwanza hata haelewi alichokuwa ana kihubiri ni nini..!!
Biblia ni andiko moja la kipumbavu sana.
Gaza itakaliwa kwa muda na Israel, hadi hapo waparestina watakapojifunza kuishi kwa adabu.Gaza ndio imeenda hivyo na muisrael.
Biblia ni andiko moja la kipumbavu sana.WWa
Watu hawajui biblia vzr bila roho mtakatifu kamwe hutaielewa,biblia ni kitabu Cha Mungu
Je shetani yupo?Biblia ni andiko moja la kipumbavu sana.
Limejaa uongo na Utapeli.
Mungu hayupo.
Roho mtakatifu ni propaganda za kidini hizo.
Nishakujibu na mpaka nimekwambia wayahudi feki WA kizungu wengi wanauawa na siraha za Irani hicho ni kisasi Tosha.Okay reaction ipi ambayo Iran alifanya baada ya Israel kuua watalamu wake
Kwa hawa wachovu Putin ataambulia support ya maneno matupu, vitendo sifuriUrusi kwasasa inajisogeza kwa waarabu na waafrika kwa nguvu zote.
Kwa akili yako Russia kaanza leo kusupport waarabu?Hii kauli ni nzito sana uenda ikachafua hali ya hewa.
Urusi kwasasa inajisogeza kwa waarabu na waafrika kwa nguvu zote.
Binafsi naona yupo kwenye kundi la kupoteza.
Kushirikiana na mtu Mweusi na Mwarabu ni dalili ya kushindwa vibaya.
Hawa viongozi wa Israel wawe makini sana kipindi hiki.Diplomasia ya Israel na Urusi nimeingia Mchanga.