LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Biden amefurahishwa sana na uungwana wa Hamas wa kuwaachia Mateka wao Wawili waliokuwa wakiwashikilia

Mateka hao ni Mama na bintiye na Taifa la Marekani litafanya Sherehe watakapowasili nyumbani

Source BBC news
 
Kuna vitu havihitaji ushahidi hata wewe unajiongeza, Hamas walivamia Israel sababu walijua stock yao imekwisha, baadae uliona Israel anaomba silaha kutoka kwa collective west,
Hapa nakubaliana na wewe
 
Biblia ni andiko moja la kipumbavu sana.

Limejaa uongo na Utapeli.

Mungu hayupo.

Roho mtakatifu ni propaganda za kidini hizo.
Kama biblia haikuhusu basi achana nayo maana hata wakristo hawahangaiki na kitabu ambacho hakiwahusu,sababu huku Kuna Yehova huko Kuna Allah ni Mungu tofauti kabisa
 
Wanao andamana wangebeba bunduki kuelekea Israel ningewaona wana akili. Above all,kama Hamas wataendelea kufyatua makombola tokea kwenye mahospitali au shule za watoto,napo vichapo vitaendelea.
Normalization iko palepale,ni suala LA muda tu.
 
Jiulize kwanin baada ya vita vya Dunia ilitakiwa waje Uganda wakagoma.
Mbona swali la kipuuzi? Wataendaje nchi ambayo sio yao? Hawapo hapo kwa kubahatisha.

Mababu zao wakina Daud na king Suleiman walizikwa hapo miaka 3000 iliyopita.
 
Biblia ni andiko moja la kipumbavu sana.

Limejaa uongo na Utapeli.

Mungu hayupo.

Roho mtakatifu ni propaganda za kidini hizo.
Unasema Mungu hayupo, aliyepo ni Nani Sasa? Wewe hupaswi kuishi hata kwa dakika Moja zaidi mjaa laana.
 
Kama biblia haikuhusu basi achana nayo maana hata wakristo hawahangaiki na kitabu ambacho hakiwahusu,sababu huku Kuna Yehova huko Kuna Allah ni Mungu tofauti kabisa
Ukishaona Mungu huyo ana elezewa kwa utofauti, Na maandiko mawili yanayo tofautiana maelezo kumhusu Mungu huyo.

Fahamu kwamba Mungu huyo ni mawazo na kazi za kibinadamu tu..

Ndio maana utofauti wa kumueleza hutokea, Kwa vile hayupo.
 
Jiulize kwanin baada ya vita vya Dunia ilitakiwa waje Uganda wakagoma.
Unapewa kitu, kama kitu hicho huna. Waisrael kwa nini wakapewe Uganda au nchi nyingine yoyote wakati nchi yao ya Israel, ipo?

Kumbukumbu zote za kihistoria na vitabu vya dini zote, Biblia, Quran na Torah, vinatambua nchi ya Israel ni eneo gani.

Wapelestina wanaponzwa sana na Iran, nchi ambayo imepandikiza makundi ya kigaidi ya Hamas huko Palestine na Hizbollah huko Lebanon, na mengine huko Yemen. Bila Iran, Wapalestina na Wayahudi wangeishi pamoja bila shida yoyote.

Huko nyuma, kabla ya Yesu, wote waliishi huko Canani bila tatizo, na wote walivamiwa na kupigwa, na kisha walichukuliwa watumwa na utawala wa Babiloni.

Persia ya kale (Iran ya sasa), ndiye shetani wa kuwaadhibu Wayahudi kwa kumkataa masiha. Mara wayahudi watakapomkiri Yesu ndiye masiha, si Persia wala makundi ya kigaidi, watakaoweza kuigusa Israel tena.
 
Ukishaona Mungu huyo ana elezewa kwa utofauti, Na maandiko mawili yanayo tofautiana maelezo kumhusu Mungu huyo.

Fahamu kwamba Mungu huyo ni mawazo na kazi za kibinadamu tu..

Ndio maana utofauti wa kumueleza hutokea, Kwa vile hayupo.
Sina jibu jingine la kukupa,wwe kafunue koloani achana na biblia
 
Una ushahidi?
Lete uthibitisho kama mimi nilivyokupa
Ukraine Kuna takriban asilimia 20 ya raia wa kiyahudi.
ISRAEL NI KWELI ILIPELEKA SILAHA UKRAINE MAANA KUNA RAIA WAKE WENGI
ILA KICHAPO WANECHEZEA
 
Hivi hujui Russia inaiogopa Israel?
HIli huwezi kuliewa kirahisi.

ANajua fika akiigusa Israel Us na Ulaya nzima ameigusa
Embu acha kutudanganya hapa.
Hao NATO wameungana huko Ukraine ila bado kichapo kinatembea.
Russsia HAMUOGOPI MTU HAPA DUNIANI BRO
 
Waziri Mkuu wa Israel amewaonya Iran amasema wawe Makini wameonywa kwa Kingereza na Biden lakin nayeye anawaonywa kwa Kiebrania.
View attachment 2784764
Wakati unasema hilo houthi Jana wamefyatua ballistic missiles Iranian made kwenda Israel US navy wakazi intercept na kama zingepita iron dome isingeweza kuzi intercept.
Kupigana tu na Hamas Israel imetoa mpaka jeshi la akiba je kama hizbollah ikiingilia?!!!!
 
Usidanganye bwana bro .
Pakistan sio waarabu kiasili na hawakuamia kutoka arabuni.
Pakistani ni Persians (wahajemi kiasili).
Na hawakulazimisha mtu kusilimu Wala Nini.
Embu fuatilia historia ya India vizuri.
 
Hao Hizbollah waingilie mara ngapi, Israel wameweka wazi hawataki matatizo nao ila wakiendelea basi nao litawakuta jambo.
 
Hao Hizbollah waingilie mara ngapi, Israel wameweka wazi hawataki matatizo nao ila wakiendelea basi nao litawakuta jambo.
Ile ni limited fire exchange ila hawaja engage full scale war.
Israel imetishia raia wa Lebanon badala ya kutisha jeshi la hizbollah Ili hizbollah isijiingize kikamilifu vitani.
Kiufupi kaka Israel ipo katika Hali ngumu maana kuiandama tu hamas imetumia mpaka jeshi la akiba sasa jiulize hizbollah ikisema tuna engage full scale war itakuaje??
Na kama ulimsikia Mfalme was Jordan Leo katika mkutano wa Cairo alisema kama Israel haitaacha occupation na kuua raia na kama Palestine haitatambulika kuwa taifa huru basi Arab redline itakuwa imeguswa na hakutakua na amani.
Na huko Iran ameruhusiwa kuuza silaha kimataifa .
Unganisha dots .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…