LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Kama ninyi muaminivyo jambo la Mungu kuwepo.

Ninyi ni wapumbavu. Mna amini kisicho kuwepo kwa vile tu mlirithishwa kwa kuambiwa hivyo.

Hamuwezi kuhoji Uwepo wa Mungu huyo.
MWENYE HAKI WANGU ATAISHI KWA IMANI YAKE. PASIPO IMANI HAIWEZEKANI KUMPENDEZA. Ninyi endeleeni kulishana matango pori ya mudy eti huko kuna bibra 72, na ma pombe hivi hajasema kama kuna music huko 😂😂😂😁😁😀😀.
 
Aliye kwambia mimi naamini kwenye uislamu ni nani?

Mimi siamini kwenye imani yeyote ile.
 
Ni mawazo yao tu ya kufikirika.
Actually, dhana ya kutokuwepo kwa Mungu ndiyo mawazo ya kufikirika, kwa sababu hayana msingi wowote.

Wanasayansi hao wameshindwa kuthibitisha uwepo wa Mungu.
Siyo kweli. Again, there is a plethora of evidence supporting God's existence -- even without resorting to the holy book of the Bible and sacred materials and facts from other religions.

Wameishia kuamini tu, vitu vingine wameweza kuthibitisha uwepo wake .
Imani iliyojengwa kwenye solid evidence, huwezi kusema ni null, empty and void. That's presumption at worst.

Do you read? The greatness and foremost engineers, doctors, scientists, philosophists, teachers, biblical academicians and theologians, billionaires and even common people agree unanimously that atheism is akin to insanity.

An insane individual will always defy and deny blatant facts. That's what they live for. Their fame and enthusiasm is generally counter-factual.
 
Na usisahau kuwa mataifa ya kiarabu ya sasa hivi sio kama ya miaka ya 1600s.
Nao wanajitahidi katika kutengeneza local weapons na pia pesa wanayo hauna sehemu ambayo unaweza kuwabana kama zamani.
Endelea kuota.
 
Human beings created God through assumptions, Based on things beyond their imaginations.
God is in your DNA. He has a code brilliantly written in your very being that you can never escape. Whether you're in China, Japan, Russia, America, Africa or Australia, His voice is audible in your subconscious mind.

This is why even an innocent child born outside religious environment and without prior contact with religion understands and appreciates the mysterious language of God's existence.

Not only the most complex, mysterious things beyond our imagination that tell us of God's existence. Even the simple things of nature tell the most about Him.

Wanadamu ndio waliunda dhana ya kufikirika na kuiita Mungu.
Actually, wanadamu ndio wameunda dhana ya kufikirika kuhusu uwepo wa Mungu.

Kwao, Mungu ni mawazo. Shetani ni mawazo. Mbingu iko mawazoni mwa mtu mwenyewe. Malaika ni ndoto tu za akili. Umilele ni hisia za kina moyoni. Maisha baada ya kifo ni shauku ya mwanadamu ambayo haitaweza kutimia.

Unfortunately, dhana hizi mwanadamu amezibuni kwa kushindwa kuelewa vizuri kuhusu mambo makuu ya maajabu, uwepo na utendaji wa Mungu.
Mungu ni fiction character invented by religion.

Kiuhalisia Mungu hayupo.
There we go again!

What's your alternative? The best of the best brains will tell you that it's evolution. Really? Is evolution your alternative god? Seriously?
 
God is in your DNA. He has a code brilliantly written in your very being that you can never escape. Whether you're in China, Japan, Russia, America, Africa or Australia, His voice is audible in your subconscious mind.

This is why even an innocent child born outside religious environment and without prior contact with religion understands and appreciates the mysterious language of God's existence.

Not only the most complex, mysterious things beyond our imagination that tell us of God's existence. Even the simple things of life tell the most about Him.

Actually, wanadamu ndio wameunda dhana ya kufikirika kuhusu uwepo wa Mungu.

Kwao, Mungu ni mawazo. Shetani ni mawazo. Mbingu iko mawazoni mwa mtu mwenyewe. Malaika ni ndoto tu za akili. Umilele ni hisia za kina moyoni. Maisha baada ya kifo ni shauku ya mwanadamu ambayo haitaweza kutimia.

Dhana hizi mwanadamu amezibuni kwa kushindwa kuelewa vizuri kuhusu mambo makuu ya maajabu, uwepo na utendaji wa Mungu.

There we go again!

What's your alternative? The best of the best brains will tell you that it's evolution. Really? Is evolution your alternative god? Seriously?
Binafsi hata "Evolution" kwangu ni Uongo.

Wanadamu hatuna mwanzo wala mwisho.

Ukianza kuweka ulazima wa kwamba Dunia ina mwanzo, Basi hata Mungu lazima awe na chanzo.

Mungu huyo anaye daiwa yupo, Hawezi kutokea tu, Ghala bin vuuuuh! From Nothing.
 
Actually, dhana ya kutokuwepo kwa Mungu ndiyo mawazo ya kufikirika, kwa sababu hayana msingi wowote.

Siyo kweli. Again, there is a plethora of evidence supporting God's existence -- even without resorting to the holy book of the Bible and sacred materials and facts from other religions.
Weka hiyo evidence hapa na uthibitisho kuonyesha uwepo wa huyo Mungu.

Sio kuweka maneno tu bila uthibitisho.
Imani iliyojengwa kwenye solid evidence, huwezi kusema ni null, empty and void. That's presumption at worst.

Do you read? The greatness and foremost engineers, doctors, scientists, philosophists, teachers, biblical academicians and theologians, billionaires and even common people agree unanimously that atheism is akin to insanity.

An insane individual will always defy and deny blatant facts. That's what they live for. Their fame and enthusiasm is generally counter-factual.
Nakwambia hivi, 👇

No amount of Beliefs make something a Truth, Without proofs and clear evidences.

Hao great doctors, engineers, Philosophers, academicians, Theologians, Billionaires HAWANA uthibitisho wowote wa uwepo wa Mungu.

Zaidi ya mawazo yao ya kufikirika tu Imagination just an illusion.
 
Aisee
Screenshot_20231023-004713.jpg
 
Una uhakika gani hatujui?
Je nani alisema wewe unajua?
Je umewahi kubeba hata kisu?
Je we ni mwizilaeli au mpalestina?
Je wewe unaishi kati ya nchi hizo?
 
wanaukunbi.

Baadhi ya miili ya Waumini wa dini ya Kikristo waliouawa kwenye shambulio la anga huko Gaza na majeshi ya Israeli,

Yakifanyiwa ibada na Maskofu kabla ya kwenda kuzikwa, kuna jamaa zetu humu uwa wanaamini Waisrael na Wakisto ni kitu kimoja, mabomu yanapigwa Gaza wakifa Waislam wanashangilia na kuwasifia Waisrael kuwa taifa la Mungu.

Angalia hii video kisha jiulize hawa Wakirsto nao ni Hamas.
 
Attachments

  • 7145e3c0-0ee4-434a-9e32-626d8d52e548.mov
    6.2 MB
Wengi hawaelewi haya mambo kuna wanadhani kuwa vita vya Israel na Palestina ni vya kidini

Kwanza kwa msiojua ni kuwa Wapalestina wengi tu ni wakristo kama ilivyo Syria na Lebanon na Iraq kuna wakristo wengi tu

Kwanza tusisahau kuwa Yesu aliishi mahali hapo na alizaliwa hapo na ukristo ulimea mizizi hapo

Kingine huko Israel kuna waislam kibao tu waislam ni wengi huko Israel kuliko wakristo!!

Msisahau kuwa Uyahudi, Ukristo na Uislam ni dini tatu tofauti......

Kingine cha kufahamu ni kuwa hata Wayahudi wengi wanaunga mkono Palestine kwasababu wanafaham wanaoitawala Israel na walowezi wengi pale sio wayahudi bali ni wazayuni kutoka Ulaya!!

Ndo maana tokea mwanzo waarab na wayahudi waliishi vizuri tokea kale na hakukua na tatizo lolote

Shida ni hao wazayuni kutokea Ulaya

Ndo maana hata Iran na Hamas wanasema kila siku kuwa hawawachukii wayahudi wala hawatokuja kuwachukia bali wanaopambana nao ni Wazayuni aka wayahudi feki kutoka Ulaya waliolowea pale na kuchukua Ardhi zao!!

Ndo maana hatushangai kuona maelfu ya Wayahudi wakiandamana duniani wakiwa wameshikilia bendera za Palestina na kuilaani Israel na kusema kabisa kuwa Israel haiwawakilishi Wayahudi na kibaya zaidi wanatumia mgongo wa uyahudi kufanya wanayofanya kitendo ambacho kinauchafulia uyahudi jina.

Haya mambo usipoyaelewa utachoka sana!!Uyahudi ni dini inayoishi katika misingi mikali ya kidini na maadili lakini vipi wazayuni waliopo pale Israel wanafuata hayo?Ingekua ni taifa la kiyahudi na la kwenye maandiko wangeruhusu Ndoa za jinsia moja usagaji na kuwa makao makuu ya Ushoga duniani hapo Telaviv?View attachment 2789044View attachment 2789045View attachment 2789046View attachment 2789047View attachment 2789049
Bado hujakua na kuelewa dunia inaendeshwa na unafki kwa kiwango gani.

October 7 Baada ya October shambulizi la Wapalestina kwa Waisrael lililosababisha maafa ya Waisrael 1300, Wapalestina walijirekodi kwenye gari la kivita likiwa linaendeshwa wakiwa wamemvua nguo Ke Mwanajeshi wa Israel na kumlaza kifudifudi wakiwa na silaha za kivita na kunena kwa msisitizo "Allah Akbar".

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Endelea kuota.
Akati unasema hivyo jana imeripotiwa kuwa IDF walijaribu kufanya ground offense ndani ya Gaza kupitia Khan Younis ila alqassam brigade iliwachapa ikaua nwanajeshi mmoja na kujeruhi watatu jeshi likasitisha uvamizi likisema Hamas Wana nguvu ya kujibu mashambulizi wanahitaji muda zaidi kujipanga.
 
Zionists do not represent Jews.

The Zionist state of Israel is carrying out genocide against the people of Palestine.

Majority of Tanzanians don't know this.
 
Weka hiyo evidence hapa na uthibitisho kuonyesha uwepo wa huyo Mungu.

Sio kuweka maneno tu bila uthibitisho.

Nakwambia hivi, 👇

No amount of Beliefs make something a Truth, Without proofs and clear evidences.

Hao great doctors, engineers, Philosophers, academicians, Theologians, Billionaires HAWANA uthibitisho wowote wa uwepo wa Mungu.

Zaidi ya mawazo yao ya kufikirika tu Imagination just an illusion.
U kipofu ingawa una macho. Mungu yehova akusaidie sana. Mungu yupo na hata sasa anatenda kazi zake. Wewe vimba hapa, na hiyo pumzi yake aliyokupa. Akisema rudini Enyi wanadamu ni chap tu mavumbini. Jifunze kumtukuza Mungu
 
Back
Top Bottom