n-propanol
JF-Expert Member
- Apr 7, 2019
- 5,349
- 7,000
MWENYE HAKI WANGU ATAISHI KWA IMANI YAKE. PASIPO IMANI HAIWEZEKANI KUMPENDEZA. Ninyi endeleeni kulishana matango pori ya mudy eti huko kuna bibra 72, na ma pombe hivi hajasema kama kuna music huko 😂😂😂😁😁😀😀.Kama ninyi muaminivyo jambo la Mungu kuwepo.
Ninyi ni wapumbavu. Mna amini kisicho kuwepo kwa vile tu mlirithishwa kwa kuambiwa hivyo.
Hamuwezi kuhoji Uwepo wa Mungu huyo.
Aliye kwambia mimi naamini kwenye uislamu ni nani?MWENYE HAKI WANGU ATAISHI KWA IMANI YAKE. PASIPO IMANI HAIWEZEKANI KUMPENDEZA. Ninyi endeleeni kulishana matango pori ya mudy eti huko kuna bibra 72, na ma pombe hivi hajasema kama kuna music huko 😂😂😂😁😁😀😀.
Actually, dhana ya kutokuwepo kwa Mungu ndiyo mawazo ya kufikirika, kwa sababu hayana msingi wowote.Ni mawazo yao tu ya kufikirika.
Siyo kweli. Again, there is a plethora of evidence supporting God's existence -- even without resorting to the holy book of the Bible and sacred materials and facts from other religions.Wanasayansi hao wameshindwa kuthibitisha uwepo wa Mungu.
Imani iliyojengwa kwenye solid evidence, huwezi kusema ni null, empty and void. That's presumption at worst.Wameishia kuamini tu, vitu vingine wameweza kuthibitisha uwepo wake .
Endelea kuota.Na usisahau kuwa mataifa ya kiarabu ya sasa hivi sio kama ya miaka ya 1600s.
Nao wanajitahidi katika kutengeneza local weapons na pia pesa wanayo hauna sehemu ambayo unaweza kuwabana kama zamani.
God is in your DNA. He has a code brilliantly written in your very being that you can never escape. Whether you're in China, Japan, Russia, America, Africa or Australia, His voice is audible in your subconscious mind.Human beings created God through assumptions, Based on things beyond their imaginations.
Actually, wanadamu ndio wameunda dhana ya kufikirika kuhusu uwepo wa Mungu.Wanadamu ndio waliunda dhana ya kufikirika na kuiita Mungu.
There we go again!Mungu ni fiction character invented by religion.
Kiuhalisia Mungu hayupo.
Binafsi hata "Evolution" kwangu ni Uongo.God is in your DNA. He has a code brilliantly written in your very being that you can never escape. Whether you're in China, Japan, Russia, America, Africa or Australia, His voice is audible in your subconscious mind.
This is why even an innocent child born outside religious environment and without prior contact with religion understands and appreciates the mysterious language of God's existence.
Not only the most complex, mysterious things beyond our imagination that tell us of God's existence. Even the simple things of life tell the most about Him.
Actually, wanadamu ndio wameunda dhana ya kufikirika kuhusu uwepo wa Mungu.
Kwao, Mungu ni mawazo. Shetani ni mawazo. Mbingu iko mawazoni mwa mtu mwenyewe. Malaika ni ndoto tu za akili. Umilele ni hisia za kina moyoni. Maisha baada ya kifo ni shauku ya mwanadamu ambayo haitaweza kutimia.
Dhana hizi mwanadamu amezibuni kwa kushindwa kuelewa vizuri kuhusu mambo makuu ya maajabu, uwepo na utendaji wa Mungu.
There we go again!
What's your alternative? The best of the best brains will tell you that it's evolution. Really? Is evolution your alternative god? Seriously?
Weka hiyo evidence hapa na uthibitisho kuonyesha uwepo wa huyo Mungu.Actually, dhana ya kutokuwepo kwa Mungu ndiyo mawazo ya kufikirika, kwa sababu hayana msingi wowote.
Siyo kweli. Again, there is a plethora of evidence supporting God's existence -- even without resorting to the holy book of the Bible and sacred materials and facts from other religions.
Nakwambia hivi, 👇Imani iliyojengwa kwenye solid evidence, huwezi kusema ni null, empty and void. That's presumption at worst.
Do you read? The greatness and foremost engineers, doctors, scientists, philosophists, teachers, biblical academicians and theologians, billionaires and even common people agree unanimously that atheism is akin to insanity.
An insane individual will always defy and deny blatant facts. That's what they live for. Their fame and enthusiasm is generally counter-factual.
KabisaHuku kwetu wanajua ni vita ya kidini,watu wengi sio wasomaji na Wala bali wapenda udakudaku!
Kukuelewa ni ngumu wamedanganywa muda mrefu na imewaingia kichwaniHuku kwetu wanajua ni vita ya kidini,watu wengi sio wasomaji na Wala bali wapenda udakudaku!
Bado hujakua na kuelewa dunia inaendeshwa na unafki kwa kiwango gani.Wengi hawaelewi haya mambo kuna wanadhani kuwa vita vya Israel na Palestina ni vya kidini
Kwanza kwa msiojua ni kuwa Wapalestina wengi tu ni wakristo kama ilivyo Syria na Lebanon na Iraq kuna wakristo wengi tu
Kwanza tusisahau kuwa Yesu aliishi mahali hapo na alizaliwa hapo na ukristo ulimea mizizi hapo
Kingine huko Israel kuna waislam kibao tu waislam ni wengi huko Israel kuliko wakristo!!
Msisahau kuwa Uyahudi, Ukristo na Uislam ni dini tatu tofauti......
Kingine cha kufahamu ni kuwa hata Wayahudi wengi wanaunga mkono Palestine kwasababu wanafaham wanaoitawala Israel na walowezi wengi pale sio wayahudi bali ni wazayuni kutoka Ulaya!!
Ndo maana tokea mwanzo waarab na wayahudi waliishi vizuri tokea kale na hakukua na tatizo lolote
Shida ni hao wazayuni kutokea Ulaya
Ndo maana hata Iran na Hamas wanasema kila siku kuwa hawawachukii wayahudi wala hawatokuja kuwachukia bali wanaopambana nao ni Wazayuni aka wayahudi feki kutoka Ulaya waliolowea pale na kuchukua Ardhi zao!!
Ndo maana hatushangai kuona maelfu ya Wayahudi wakiandamana duniani wakiwa wameshikilia bendera za Palestina na kuilaani Israel na kusema kabisa kuwa Israel haiwawakilishi Wayahudi na kibaya zaidi wanatumia mgongo wa uyahudi kufanya wanayofanya kitendo ambacho kinauchafulia uyahudi jina.
Haya mambo usipoyaelewa utachoka sana!!Uyahudi ni dini inayoishi katika misingi mikali ya kidini na maadili lakini vipi wazayuni waliopo pale Israel wanafuata hayo?Ingekua ni taifa la kiyahudi na la kwenye maandiko wangeruhusu Ndoa za jinsia moja usagaji na kuwa makao makuu ya Ushoga duniani hapo Telaviv?View attachment 2789044View attachment 2789045View attachment 2789046View attachment 2789047View attachment 2789049
Akati unasema hivyo jana imeripotiwa kuwa IDF walijaribu kufanya ground offense ndani ya Gaza kupitia Khan Younis ila alqassam brigade iliwachapa ikaua nwanajeshi mmoja na kujeruhi watatu jeshi likasitisha uvamizi likisema Hamas Wana nguvu ya kujibu mashambulizi wanahitaji muda zaidi kujipanga.Endelea kuota.
U kipofu ingawa una macho. Mungu yehova akusaidie sana. Mungu yupo na hata sasa anatenda kazi zake. Wewe vimba hapa, na hiyo pumzi yake aliyokupa. Akisema rudini Enyi wanadamu ni chap tu mavumbini. Jifunze kumtukuza MunguWeka hiyo evidence hapa na uthibitisho kuonyesha uwepo wa huyo Mungu.
Sio kuweka maneno tu bila uthibitisho.
Nakwambia hivi, 👇
No amount of Beliefs make something a Truth, Without proofs and clear evidences.
Hao great doctors, engineers, Philosophers, academicians, Theologians, Billionaires HAWANA uthibitisho wowote wa uwepo wa Mungu.
Zaidi ya mawazo yao ya kufikirika tu Imagination just an illusion.