Huu ndio ukweli Israel hawezi kuwa shujaa Kwa wanachofanya bali ni umbumbu mtupu,kupita unapiga watu barabarani ni wendawazimu.Ukitumia bunduki kuua nzi, wewe ndio mwenye matatizo ya akili; kamwe si ujasiri!
Kuna tetesi kuwa Hamas iliungwa mkono na Wazayuni ili iwashinde Wasecular wa Fatah.vita sio ya kushabikia kabisa mpaka nawaza au hawa Israeli walifanya maksudi ili Hamas awachokoze wapate kisingizio cha kuanzisha vita !
Wanaokufa ni watu wasio na hatia acha kufanya generation kipuuzi na kuhalalisha mauaji.Hapana, waarab magaidi sana. ngoja wale za uso kisawa sawa
Waislamu waliosapoti Hamas waliguata mihemko na walifanya makosa ,pamoja na hayo haikupi wewe uhalali wa kushangilia vifo vya watu wasio na hatia .Shida ilianza pale waislam walivyosapot amas sikupendi. nikajiweka upande wa waliochokozwa wajilinde, sikujua kama watakuja kufanya haya ya sasa.
Ndomana nimetoa pole kwa waislam wote waliopongeza uvamizi
Mkuu naumia mno nikiona wale watoto wanavyobebwa wakiwa wafu kiukweli Ile sio hakiTakribani 5000 wapalestina wamekufa na nusu ya hao ni watoto
Kwenye heading mleta mada kasema alikuwa anashabikia au hujasoma vizuri?Wapi ameshabikia?
Pole toa kwa wote waislam wakristo Buddhist atheist etc,pale haipiganiwi dini kinachopiganiwa ni ardhi.Ndugu zangu.
Kwa kweli wayahudi wamedhamiria kuiondoa Amas katika uso wa Dunia.
Gaza inaenda kubadilika na kuwa kifusi.
Natoa pole kwa wapalestina na Waislam wote duniani. Allah awalinde wafuasi wake.
subiri kwanza hadi waseme. bado.Ndugu zangu.
Kwa kweli Wayahudi wamedhamiria kuiondoa Hamas katika uso wa Dunia.
Gaza inaenda kubadilika na kuwa kifusi.
Natoa pole kwa wapalestina na Waislam wote duniani. Allah awalinde wafuasi wake.
Inasikitisha sana binadamu kufikia stage hii ,mtu anafanya kama football match waache wachapwe kama wanaopigwa ni Mende .Inasikitisha sana,vita siyo jambo la kuliombea kwa wale waliyo experience vita ama machafuko watakuwa wananielewa
Ova
We'll see if that's really true. Let's move on with our discussion.Binafsi hata "Evolution" kwangu ni Uongo.
Can you prove it? Don't tell me again you do not have faith. At least it's an established fact now that you believe in something.Wanadamu hatuna mwanzo wala mwisho.
That's illogical, at least mathematically speaking.Ukianza kuweka ulazima wa kwamba Dunia ina mwanzo, Basi hata Mungu lazima awe na chanzo.
That's a big mistake there on your part.Mungu huyo anaye daiwa yupo, Hawezi kutokea tu, Ghala bin vuuuuh! From Nothing.
Huwezi jua huwenda walifanya makusudi ili kupata sababu ya kuwafuta kabisa Hamasi na kuichukua Gaza subiri tuone mwisho wa vitaSasa kazi ya hiyo mosad ambayo huwa mnaisifu inafanya kazi gani kama haiwezi kuhakiki kuwa adui tena aliye mdomoni mwako anatengeneza silaha hatarishi kwa taifa lao?
Tangu Hamas idhibiti ukanda wa gaza miaka 15 iliyo pita imesha pigana vita na Israel zaidi ya mara tano lakini cha kushangaza hamas badala ya kudhoofika inaendelea kuimarika kila uchao na uwezo wao wa kufanya mashambulizi unaongezeka sasa hizo operation huwa zina faida gani?
Alafu tuambie hiyo Mosad ilikuwa wapi mpaka wanafanyiwa ambushi ya kifala namna hiyo maana wana jeshi wengi wamekufa na wengine wakiwemo makamanda wa gazi ya juu wametekwa, raia wengi wamekufa , na magari na vifaru vimeharibiwa na kutekwa.
How did you know God exists?We'll see if that's really true. Let's move on with our discussion.
Can you prove it? Don't tell me again you do not have faith. At least it's an established fact now that you believe in something.
1. You cannot prove that God, Satan, eternity, afterlife, angels, heaven, etc. DONOT exist.
2. You cannot prove that life, our life as we know it, had no beginning. That's your faith now -- the only thing I wonder though is how strong it is. We are soon to find out.
That's illogical, at least mathematically speaking.
This is what you're basically saying:
^If Jasmoni has parents, then it must inevitably follow that Tegga has them too.^
I don't think it always works that way.
That's a big mistake there on your part.
God has nothing to do with a ^coming from nothing^ theory. That is what evolutions falsely teach you in school.
His very existence almost always defies all human logic. Why? Because He's God. He can never be confined within our limited, finite brain -- this includes the question of time and space that human mind often struggles to grasp.
Hivi ushawahi jiuliza kwanini unawaza hivyo?.Binafsi hata "Evolution" kwangu ni Uongo.
Wanadamu hatuna mwanzo wala mwisho.
Ukianza kuweka ulazima wa kwamba Dunia ina mwanzo, Basi hata Mungu lazima awe na chanzo.
Mungu huyo anaye daiwa yupo, Hawezi kutokea tu, Ghala bin vuuuuh! From Nothing.
Nawaza hivyo kwa sababu Mungu huyo Hayupo.Hivi ushawahi jiuliza kwanini unawaza hivyo?.
Hakuna kitu.Alafu kama hakuna mungu kuna nini ?
Mungu hayupo, Dunia haina chanzo.Nijibu kwanza hayo naona unakitu nataka nijifunze kutoka kwako
Unacha kujifunza Afghanistan na Iraq au pitia na vetnum war .icho kinachotafutwa hapo hakitaweza patikanaHuwezi jua huwenda walifanya makusudi ili kupata sababu ya kuwafuta kabisa Hamasi na kuichukua Gaza subiri tuone mwisho wa vita