Dini ni zaidi ya bangi.Wameingia pamoja na askari wa marekani,wamedundwa,casualties za kutosha,wanerudi,haya ni maelezo ya general wa marekani kule Twitter/x
Mtume gani huyo..!!Hamna lolote hizo ni kelele tu, toka lini hao wanaojita Israel wakawa wakusema ukweli.
Kwanza nashangaa vipi waliruhusiwa kutumia jina la Mtume liwe inchi, wana lana kweli hawa, kutumia jina la Mtume ambaye hakuwahi kuasi wakaenda itwa hao walio laniwa jina lake.
Ndo hivyo tena ,wameshaingia na kumaliza.kazi waliotumwa ,wakarudiHamna lolote hizo ni kelele tu, toka lini hao wanaojita Israel wakawa wakusema ukweli.
Kwanza nashangaa vipi waliruhusiwa kutumia jina la Mtume liwe inchi, wana lana kweli hawa, kutumia jina la Mtume ambaye hakuwahi kuasi wakaenda itwa hao walio laniwa jina lake.
Mpaka mtanange uishe hizo mait si zitaharibika???Israel imeua mateka ambao ni mateka wanashikiliwa na Hamas,
Israel Shelling Killed 50 Hostages In Gaza — Hamas' militant wingView attachment 2793803
Kazi gani hiyo waliyomalizaNdo hivyo tena ,wameshaingia na kumaliza.kazi waliotumwa ,wakarudi
Hizo ni sa
Wewe ambaye huna akili urusi kafanya kosa gani wakati anaendelea kujichukulia maeneo.Wanatumia akili hawa, wanapiga kikomando kwa sasa kabla kufanya uvamizi full
IDF stages overnight 'targeted raid' into Gaza Strip
Military says it struck Hamas sites, operatives in hours-long ‘targeted raid’ before returning infantry to Israeli side of border, as larger ground assault awaits
The Israel Defense Forces deployed a limited ground incursion into Gaza overnight, sending infantry forces and tanks up to a kilometer into the northern part of the Strip, the military said Thursday morning.
The “targeted raid” appeared to be the most significant ground offensive into the Palestinian enclave since war broke out earlier this month, as the IDF prepares a full-scale invasion to eliminate the Hamas terror group that rules the Strip.
According to the IDF, the raid — led by the Givati infantry brigade and the 162nd Armored Division — was part of preparing the border area for the “next stages of the war,” referring to the full ground offensive promised by Israeli officials.
IDF tanks, troops push into Gaza in limited raid ahead of ground offensive - The Times of Israel
Military says it struck Hamas sites, operatives in hours-long 'targeted raid' before returning infantry to Israeli side of border, as larger ground assault awaitswww.timesofisrael.com
Unategemea hii Habari utaikuta CNN au BBCHiyo taarifa sio kweli, ni porojo tu hiyo na wewe umeitoa wapi wakati wengine tunafuatilia habari za kimataifa hatujaiona.
Nenda Twitter kamtafute jacksonhinkle/status...Dini ni zaidi ya bangi.
Hiyo taarifa sio kweli, ni porojo tu hiyo na wewe umeitoa wapi wakati wengine tunafuatilia habari za kimataifa hatujaiona.
Acha porojo mkuu, umeingizwa mjini kwenye hiyo source yako umewekewa heading umefungua link umekutana na taarifa tofauti. Ukaona isiwe nongwa uka copy maandishi ukayaleta humu.Unategemea hii Habari utaikuta CNN au BBC
Najua we ni Myahudi Uyole: Nenda X account ya rt utakutana na taarifa zaidi.Acha porojo mkuu, umeingizwa mjini kwenye hiyo source yako umewekewa heading umefungua umekutana na taarifa tofauti. Ukaona isiwe nongwa uka copy heading ukaileta humu.
Wasireport Aljazeera wenye Hamas yao live kutoka field waje kureport RT wapi na wapi.Najua we ni Myahudi Uyole: Nenda X account ya rt utakutana na taarifa zaidi.
Hii habari nimeiona BBC wenda hizo ni mbinu za vita ya kisakolojia dhidi ya Israel ili kuongeza shinikizo kwa serikali ya Israel kutoka kwa raia wake.Wasireport Aljazeera wenye Hamas yao live kutoka field waje kureport RT wapi na wapi.
Nimeandika kumbukumbu zangu na mgogoro wa waarabu na wayahudi.Nipe link
Pole sanaDini ni zaidi ya bangi.
Hamas sio mgambo wa halmashauri ,wewe zwazwa ,Hamas kazi wanayo, hicho kichapo kitakacho kuja, Alahu Akbar!