LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Hamna lolote hizo ni kelele tu, toka lini hao wanaojita Israel wakawa wakusema ukweli.

Kwanza nashangaa vipi waliruhusiwa kutumia jina la Mtume liwe inchi, wana lana kweli hawa, kutumia jina la Mtume ambaye hakuwahi kuasi wakaenda itwa hao walio laniwa jina lake.
Mtume gani huyo..!!
 
Hamna lolote hizo ni kelele tu, toka lini hao wanaojita Israel wakawa wakusema ukweli.

Kwanza nashangaa vipi waliruhusiwa kutumia jina la Mtume liwe inchi, wana lana kweli hawa, kutumia jina la Mtume ambaye hakuwahi kuasi wakaenda itwa hao walio laniwa jina lake.
Ndo hivyo tena ,wameshaingia na kumaliza.kazi waliotumwa ,wakarudi
Hizo ni sa
 
Wanatumia akili hawa, wanapiga kikomando kwa sasa kabla kufanya uvamizi full
IDF stages overnight 'targeted raid' into Gaza Strip

Military says it struck Hamas sites, operatives in hours-long ‘targeted raid’ before returning infantry to Israeli side of border, as larger ground assault awaits​

The Israel Defense Forces deployed a limited ground incursion into Gaza overnight, sending infantry forces and tanks up to a kilometer into the northern part of the Strip, the military said Thursday morning.

The “targeted raid” appeared to be the most significant ground offensive into the Palestinian enclave since war broke out earlier this month, as the IDF prepares a full-scale invasion to eliminate the Hamas terror group that rules the Strip.

According to the IDF, the raid — led by the Givati infantry brigade and the 162nd Armored Division — was part of preparing the border area for the “next stages of the war,” referring to the full ground offensive promised by Israeli officials.
Wewe ambaye huna akili urusi kafanya kosa gani wakati anaendelea kujichukulia maeneo.
 
Mnatumia nguvu kubwa mno mno kuwasapoti ndugu zenu, mtaongea mtaimba mtacheka mtafurahi ila siku moja tu Mwenyezi Mungu anawaangamiza hao ndugu zenu
 
Hiyo taarifa sio kweli, ni porojo tu hiyo na wewe umeitoa wapi wakati wengine tunafuatilia habari za kimataifa hatujaiona.

Unategemea hii Habari utaikuta CNN au BBC
Acha porojo mkuu, umeingizwa mjini kwenye hiyo source yako umewekewa heading umefungua link umekutana na taarifa tofauti. Ukaona isiwe nongwa uka copy maandishi ukayaleta humu.
 
Wasireport Aljazeera wenye Hamas yao live kutoka field waje kureport RT wapi na wapi.
Hii habari nimeiona BBC wenda hizo ni mbinu za vita ya kisakolojia dhidi ya Israel ili kuongeza shinikizo kwa serikali ya Israel kutoka kwa raia wake.
 
Hamas kazi wanayo, hicho kichapo kitakacho kuja, Alahu Akbar!
 
JamiiForums-1911052004.jpg
 
Breaking:

Al Mayadeen

An israeli military base in Eritrea came under attack

The attack targeted their site at the top of Emba Soira mountain, from which israeli forces have a spy post to monitor the Red Sea

A senior israeli officer was killed in the operation while israelis are trying to cover it up

The base is “israel’s” largest foreign military presence, which is located in the Dahlak Archipelago, which includes an air fleet of dozens of fighters from various models
 
Tatizo utoto mwingi humu na zile movies za komando kipensi zimeharibu brains za watu wengi .
Mnadhani vita ni mchezo ? , mazayuni mpaka sasa wanasita kutia miguu yao hapo Gaza
Hamas sio wajinga ,kuna strategies na traps kibao watakuwa nazo humo ,ukiingia kichwa kichwa lazima urudi maiti .
Na kumbuka Hamas na wale Islamic Jihad militants wale ni wazee wa kwenye mahandaki na mifereji ya chini ya ardhi na si rahisi kuigundua ,miaka yote hii Israel wameshindwa kumaliza hilo tatizo la mifereji ya chini na mahandaki ya Hamas, Hawa Hamas kuna kipindi walikuwa wanachimba mifereji toka Gaza na inaenda kuibuka ndani ya ardhi ya Israel ,na walikuwa wanatumia hiyo strategy kwenda kufanya mashambulizi ya kulipiza kisasi dhidi ya wazayuni ,
Hivyo urban warfare wazayuni itakuwa ngumu tu kwao by any means ,unakuwa unapigana na adui asiye onekana kirahisi ,yeye anakufumua na kupotea , battle za namna hiyo huwezi toboa sanasana unaishia kupoteza askari na vifaa , heavy losses over time zinakucripple na utaloose war Tu , mifano ni mingi : Marekani alishindwa na wakulima wa mchele vietkongs , akaenda kwa mujahedeens napo akaishia kupoteza karibia trillion mbili ,just imagine ,more than one trillion USD Tu imeteketea pale Afghanistan kwa kupambana na mujahedeens .
 
Back
Top Bottom