LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
mlipoua raia wema mlitaka israek awaache raia wenu?
Wapi hao watoto au wanawake Hamasi alio waua, nacho fahamu Hamasi aliuwa wanajeshi na akateka wale sio wanajeshi na akawachukua Mageneral wote wa kambi nne pia matekwa.

Si Biden aliulizwa ziko wapi picture au uliona hizo picture akasema hakuziona kahadisiwa tu πŸ˜‚

Hamasi wanaume hapigi isipokuwa wanajeshi.
 
Unashangaa watoto kutumia jina la Baba yao!!!??? Uko timamu kweli?
 
Unashangaa watoto kutumia jina la Baba yao!!!??? Uko timamu kweli?
Na nani kakuambia hao ni watoto zake? Hao ni watoto wa haramu wengi wamezaliwa nje ya ndoa.

1948 ndio muingereza kawapa nchi watakuwa watoto wa Muingereza.
 
Rais wa Korea kaskazini amesema wazayuni wakisaidiwa na NATO wamefanya mauji ya kutisha ktk hospital huko Gaza
Halafu vibwetere vinadai Hamas imepiga hospital.
Wakiristo wa jf na mabeberu kwa propaganda ni hatari sana
..........
Korea Kaskazini imelaani vikali shambulio la anga lililofanywa na jeshi la utawala haramu wa Israel dhidi ya hospitali ya Al Ahli Arab katika Ukanda wa Gaza mnamo Oktoba 17 na kuua mamia ya wananchi wa Paalestina.

Wizara ya Mambo ya Nje ya Korea Kaskazini imesema hayo katika taarifa iliyorushwa hewani na shirika rasmi la habari la nchi hiyo KCNA na kuongeza kuwa, utawala wa Kizayuni umefanya jinai kivita dhidi ya Wapalestina wa Gaza, huku ukikingiwa kifua na Marekani.

Taarifa hiyo imesisitiza kuwa, jamii ya kimataifa inapasa kuchukua hatua za dharura za kukabiliana na jinai hizo za Wazayuni dhidi ya wakazi wa Ukanda wa Gaza ambao umezingirwa.

Jamii ya kimataifa ililaani shambulizi hilo la Oktoba 17 lililoua Wapalestina wasiopungua 500 katika Ukanda wa Gaza, na kutaka ulinzi wa haraka kwa raia na vituo vya afya katika eneo hilo la Palestina.

Wizara ya Mambo ya Nje ya Korea Kaskazini imebainisha kuwa, Marekani ni mshirika katika jinai za kutisha za Israel huko Ukanda wa Gaza kutokana na uungaji mkono wake wa hali na mali kwa utawala huo unaokalia kwa mabavu ardhi za Palestina.
Pyongyang imeeleza kuwa: Marekani imeipa Israel taa ya kijani iendelee kuwaua kwa umati Wapalestina bila wasi wasi wowote. Washington imeipa Israel misaada ya kijeshi na silaha, ikiwemo kutuma manowari za kubeba ndege za kivita Mashariki ya Kati.

Taarifa ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Korea Kaskazini imeongeza kuwa, Marekani ndiyo iliyohusika na vita vya Israel na HAMAS, na kusisitiza kuwa Washington ndiyo inayofaa kubebeshwa dhima ya mgogoro huo.

Idadi ya Wapalestina waliouawa shahidi tangu utawala haramu wa Israel ulipoanza kufanya mashambulio ya anga katika Ukanda wa Gaza Oktoba 7 imepindukia 7,000, huku makumi ya maelfu ya wengine wakiwa wamejeruhiwa au kutoweka
 

Tangu lini waislamu mkawa na ukoo na mitume wa mayahudi.
 
Ndoo maana sitakaa niseme free magaidi. Wenzao wakiuliwa na watu wao wanashangilia wakijibiwa wanaitafuta huruma ya dunia. Israel pelekea moto magaidi
 
Israel kaweka records kawauwa watoto 3300 na wanawake 1756 na wengine wanaume ambao hawana hata silaha, hatujawahi kuona kwenye hayo majumba silaha.

Kumbe ukitaka kuwa Super power uvunje majumba nakuwauwa watoto wengi na wanawake na vizee [emoji23]

Wakati hamas wanaua na kuteka raia,ulicheka na kurahi,sasa tulieni.
 
Basi we mwislamu sema ykweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…