LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Hawa jamaa wanashangaza sana. Hebu ona hapa anavyofurahia Hamas wanaporusha maroketi kwenda kupiga Israeli. Allahu Akbar za kutosha....

View attachment 2793794

Muone hapa anavyolia baada ya kukoswa koswa na makombora ya Israel walipojibu mapigo...Vita siyo lelemama. Natumaini watapata suluhisho la kudumu siku moja. Watauana na kuwindana hivi mpaka lini?

View attachment 2793795
Juzi kati wakadanganya kuwa watu 500 wameuawa kwa mpigo ila asubuhi yake wakakuta hakuna jengo lililovunjwa sana sana ni corolla 5 zimewaka moto
 
Israel kaweka records kawauwa watoto 3300 na wanawake 1756 na wengine wanaume ambao hawana hata silaha, hatujawahi kuona kwenye hayo majumba silaha.

Kumbe ukitaka kuwa Super power uvunje majumba nakuwauwa watoto wengi na wanawake na vizee [emoji23]
Si mlishabikia walipoanzisha?
Vita haina macho, mkiwapenda hao ndugu zenu hameni vinginevyo wataendelea kuuliwa
 
Hamas kwa miaka mingi wamekuwa wakijenga njia za chini ya Ardhi yaani Underground Tunnels kubwa mamia kutoka Gaza kwenda Israel. Mwanzoni njia hizo ndizo zimekuwa zikitumiwa ns Hamas kusafirisha silaha za kivita na Askari na pia kujenga vituo vyao vya kijeshi na maghala ya silaha chini ya ardhi

Israel wamekuja teknolojia ambayo kwa mara ya kwanza kutumiwa kijeshi ina uwezo wa kuona Underground tunnels zote chini ya Ardhi

Ajabu ya milango ya kuingilia kwenye hizo Tunnels ili ili kuficha Hamas wameziweka kwenye maeneo ya watu wengi zingine ziko kwenye misikiti,makanisa, mashule ,Hospitali, Maduka makubwa kama ma Supermarket, Majengo makubwa na makazi ya watu,Masokoni.nk Tunnels zinaanzia humo na kutambaa kuelekea Israel
Mashambulizi ya sasa hivi yamejikita zaidi kwenye Underground war ambako.zinatumika zaidi ndege.kubomoa hizo Tunnels na Askari wanaotumika sasa wa Israel ni waliobobea kwenye Underground war kupambana na Hamas kwenye Hizo Tunnels

Ndio maana kwa sasa vikosi vya jeshi la Juu ya ardhi kama Vifaru na Askari wa Nchi kavu ni hawana kazi kwa sasa vifaru vimepaki tu mpakani mwa Gaza wakisubiria wabobezi wa Underground war wamalize kazi ya kufurumisha Hamas na kuharibu kila kitu kwenye Tunnels zao ili wao waanze hiyo vita ya juu ya ardhi ya ground operation

Source: Vyombo mbalimbali vya habari
 
Subiri mitusi toka kwa magaidi ya mudi na mnya azi allah
 
Kiduku wa korea njaa katika ubora wake naye anabweka tu hivi hawa marafiki wa wapalestina wanashindwa nini kuwasaidia wapalestina ili israel isiweze ingia gaza? Maana maneno yao yamekuwa meengi vitendo 0 Israel inajipigia tu gaza kama inavyotaka viroketi vinapanguliwa na irone dome
 
Siku zinavyoyoma ndio Hali inazidi kuwa mbaya zaidi. Mgogoro unazidi kukuwa na kubadilika sura.

Chuki za wazi wazi (anti - semmetism) dhidi ya taifa la Israel zimerudi tena kutokana na udhalimu wa Mazayuni.

Huu ni mmoja ya mhagawa mkubwa nchini Uturuki umeweka bango linaliwazuia Wayahudi wasiingie katika mgahawa huo
IMG_20231027_074631.jpg
 
weka ushahidi japo wa picha tu tuone hiyo Hospital ilivyolipuliwa maana hata Aljazeera kwa uongo wao wameishia kuonesha car parking tena uwanja pembeni kabisa na Hospital ambeyo haijaguswa hata vioo kupasuka... ndio Korea Kaskazini aseme imelipuliwa? Hamas walicheza na akili za Wajinga wakajaa... Israel ana utu anawafahamisha kabisa raia wasepe kwenye himaya za Magaidi na Hamas anawazuia so keshawaambia asiyehama it means anaunga mkono ugaidi pia... Hii vita imekuwa na uongo Mwingi na msiamini sana news kutoka kwa Hamas ni watafuta kiki tu hawana ukweli hawatangazi magaidi yao yaliyodedishwa zaidi ya wale makamanda wa awali kabisa kiliponuka
 
Back
Top Bottom