Juzi kati wakadanganya kuwa watu 500 wameuawa kwa mpigo ila asubuhi yake wakakuta hakuna jengo lililovunjwa sana sana ni corolla 5 zimewaka motoHawa jamaa wanashangaza sana. Hebu ona hapa anavyofurahia Hamas wanaporusha maroketi kwenda kupiga Israeli. Allahu Akbar za kutosha....
View attachment 2793794
Muone hapa anavyolia baada ya kukoswa koswa na makombora ya Israel walipojibu mapigo...Vita siyo lelemama. Natumaini watapata suluhisho la kudumu siku moja. Watauana na kuwindana hivi mpaka lini?
View attachment 2793795
Si mlishabikia walipoanzisha?Israel kaweka records kawauwa watoto 3300 na wanawake 1756 na wengine wanaume ambao hawana hata silaha, hatujawahi kuona kwenye hayo majumba silaha.
Kumbe ukitaka kuwa Super power uvunje majumba nakuwauwa watoto wengi na wanawake na vizee [emoji23]
Nyinyi msiomtambua Yesu kuwa Mungu?Mnatumia nguvu kubwa mno mno kuwasapoti ndugu zenu, mtaongea mtaimba mtacheka mtafurahi ila siku moja tu Mwenyezi Mungu anawaangamiza hao ndugu zenu
Mkuu unaupiga mwingi saaana.Alla hana masiko hasiki,wala haoni kichapo kiko palepaleView attachment 2794188
Subiri mitusi toka kwa magaidi ya mudi na mnya azi allahHamas kwa miaka mingi wamekuwa wakijenga njia za chini ya Ardhi yaani Underground Tunnels kubwa mamia kutoka Gaza kwenda Israel. Mwanzoni njia hizo ndizo zimekuwa zikitumiwa ns Hamas kusafirisha silaha za kivita na Askari na pia kujenga vituo vyao vya kijeshi na maghala ya silaha chini ya ardhi
Israel wamekuja teknolojia ambayo kwa mara ya kwanza kutumiwa kijeshi ina uwezo wa kuona Underground tunnels zote chini ya Ardhi
Ajabu ya milango ya kuingilia kwenye hizo Tunnels ili ili kuficha Hamas wameziweka kwenye maeneo ya watu wengi zingine ziko kwenye misikiti,makanisa, mashule ,Hospitali, Maduka makubwa kama ma Supermarket, Majengo makubwa na makazi ya watu,Masokoni.nk Tunnels zinaanzia humo na kutambaa kuelekea Israel
Mashambulizi ya sasa hivi yamejikita zaidi kwenye Underground war ambako.zinatumika zaidi ndege.kubomoa hizo Tunnels na Askari wanaotumika sasa wa Israel ni waliobobea kwenye Underground war kupambana na Hamas kwenye Hizo Tunnels
Ndio maana kwa sasa vikosi vya jeshi la Juu ya ardhi kama Vifaru na Askari wa Nchi kavu ni hawana kazi kwa sasa vifaru vimepaki tu mpakani mwa Gaza wakisubiria wabobezi wa Underground war wamalize kazi ya kufurumisha Hamas na kuharibu kila kitu kwenye Tunnels zao ili wao waanze hiyo vita ya juu ya ardhi ya ground operation
Source: Vyombo mbalimbali vya habari
Kumbe siku hizi kuna wapalestina wanao jua kiswahili?Si mlishabikia walipoanzisha?
Vita haina macho, mkiwapenda hao ndugu zenu hameni vinginevyo wataendelea kuuliwa
Mimi ni mkristo ambaye siwezi dharau imani ya mtu mingine.Mbakaji.. πππ
unaongelea uyahudi wa kuzaliwa au uyahudi wa imani? tuanzie apo kwanzaHivi watoto 12 Waisrael wewe unadhani wote ni Wayahudi? Hebu rudi kafanye research utapata kufahamu
ishmail mwenyewe ni mtoto haramu lakini Mungu alimtambua ndo mana mwamedi akazaliwa, kwa hiyo hata mwamedi ni mtoto wa nje ya ndoaNa nani kakuambia hao ni watoto zake? Hao ni watoto wa haramu wengi wamezaliwa nje ya ndoa.
1948 ndio muingereza kawapa nchi watakuwa watoto wa Muingereza.