LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Wakati waisrael wanakufa kwa maelf hao wapalestina watakuwa wanafanya nini?
 
Hatari sana. Ukipigiwa kwa ndani inabidi utulie.
Ila Tech inaenda kasi, siku hizi drone ya tsh 20M inaweza kushusha Airdefence ya Billion 700 moja kwa sekunde. Mambo ni mengi.
Yeah, ndiyo maana unakuta tech kabla haijawa released inawekewa mifumo kibao ya kujilinda na ikishindikana basi ijiharibu kabisa ili adui asiweze kuichukua akaisoma na kuifanyia reverse engineering.
 
Hapa cha kuwasiadia Israel waandae Operation ya kuifuta kabisa Hamas hata kwa msaada wa US.
Wakimaliza waifute kabisa Hezbullah kwa gharama yoyote.

Vita vya Ukraine vimesababisha teknolojia nyingi za kisasa kusambaa kupitia blackmarket, ndio maana kuna video moja jamaa anatumia Manpad kama zile za Ukraine kushambulia ndege.

Silaja nyingi za west Urusi alizipeleka Iran, na Iran ni sponsor wa Hayo makundi hivyo wakichelewa Israel itawagharimu Bigtime. Hapo warakuwa wamekufa raia na Wajeda zaidi hata ya mia maana jamaa walikuwa wanajipigia tu, akiwemo kamanda na Generali wa kikosi kazi special forces amebebwa na boxa yake.

Ngoja tusubiri mrejesho wa IDF. Bila kutumia hiki kama kisingizio kuwafuta na kuihujumu Iran kuirudisha nyuma kabisa kimaendeleo kwa msaada wa US, wanawezs kupigwa ambush kubwa taufa likapotezwa kabisa.
 
According to Aljazeera atleast 189 people has been killed in Gaza by Israel air attack after Hamas offensive in Israel.
Hii inaenda kuwa worsen zaidi.

Mungu awasimamie maana wanaoumia wanakuwa hawana ushiriki wowote ktk yanayowasababishia vifo na ulemavu.
 
Vipi MOSAD wasigundue?
Kila siku tuliambiwa hao watu ni hatari vipi leo?
 
Wait return ya Israel hao watajuta kuchokoza... nadhani this time hali itakuwa mbaya na haijawahi kutokea....
 
majengo mengi sana naangalia sasaivi BBC na al jazeera, yamedondoshwa live. though kabla hawajalidondosha wanatoa taarifa watu waondoke. hiyo ndio tofauti na mpiganaji vita na gaidi mwenye moyo wa kike.
 
Common logic:

1. Ikiwa Israel ndilo taifa teule inakuwaje hawamtambui Yesu na Ukristo?

2. Kama Israel ndilo taifa teule, territory waliyoko kwa sasa ndiyo yenyewe ama siyo yenyewe? Je ni kweli ile safari ya waisrael kurudi kwao ilishatimia au bado?
 
Waling'ang'ania maandamano. Wakajisahau kujilinda,naona Hamas wametumia mwanya huo
 
Naona dalili za siku moja kuja kutokea maafa duniani kama ya Hiloshima na Nagasaki. Marekani ilishatoa muongozo, na hii hali itajirudia tu wakati wowote. USA inaitetea Israel. Qatar na Iran wanaisupport Palestina. Makundi ya Kiislam lazima yaunge mkono Hamas. Mi sielewi lakini huo tu ni wasiwasi wangu.

Hivi,kwa anaeelewa History vizuli. Eneo Israel inalopigania huko Palestina ni lake,au ni ubabe tu?
 
Ngoja kwanza, kwahiyo hoja imehama kutoka Israel kufeli operation mwaka 2014 na sasa hoja ni Mossad walikuwa wapi leo.

Mossad sio Mungu kwamba kila siri wanatakiwa wajue. Na walishafeli missions nyingi tu, nyingine zikiwa za kwao wenyewe wakiandaa mashambulizi dhidi ya Israel au washirika wake ili wapate justification ya kutoa adhabu kwa wapinzani wao.

Ni jambo la kawaida Israel ikivamiwa wanakuwepo wapiga kelele wanaodai Israel itafeli, haina nguvu, itapigwa. Sanasana utakaa masaa 48 after that uanze kulialia na kutoa huruma kwa mashujaa wako wa sasa.
 
kinachoshangaza, namna intelijensia ya israel ilivyokuwa imelala, netanyau na crew yake watapata criticism sana na watatakiwa kujiuzuru.
Msimamo wako kuhusu Israel kwenye hii comment umebadilika Sana nini tatizo?
 
Hapa cha kuwasiadia Israel waandae Operation ya kuifuta kabisa Hamas hata kwa msaada wa US.
Wakimaliza waifute kabisa Hezbullah kwa gharama yoyote.
Sio rahisi kabisa, hata wakiua viongozi wa hayo makundi bado watarithi wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…