LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Hii imebalance katika Security cancel maana hakuna tena cha ukraine inaonewa hapa ni pasu kwa pasu maana mtoto wa USA najua lazima alipize kisasi! Hapo ndo kitaumana
 
Hata Iron Dome zilikuwa wapi makombora yanatua kila kona.

Kwenye hii ambush waliopigwa wazayuni kuna mengi ya kujifunza.
Makombora yanapigiwa ndani. Ni kama ile September 11 ambapo mtu alipigiwa ndani mwake, kwa kutumia marubani waliofundishiwa humohumo ndani, waka waamini na kuwapa vibali.
israel Hawakujifunza ya mwaka 1967. Kisa Jmosi ni Sabato basi wote wanaenda kuiabudu siku na kupelekea ulinzi kulega.
 
Unamaanisha utengenezaji wa maroketi duniani uliisha mwaka 2014?
Kwamba baada ya kuharibiwa kwa maroketi ya 2014, haiwezekani yakaundwa mengine kuanzia mwaka huo na sasa miaka tisa baadae yawepo. Maroketi ni viumbe hai kwamba Juma Nkamia alifariki hivyo haundwi mwingine?
Sasa kazi ya hiyo mosad ambayo huwa mnaisifu inafanya kazi gani kama haiwezi kuhakiki kuwa adui tena aliye mdomoni mwako anatengeneza silaha hatarishi kwa taifa lao?
Tangu Hamas idhibiti ukanda wa gaza miaka 15 iliyo pita imesha pigana vita na Israel zaidi ya mara tano lakini cha kushangaza hamas badala ya kudhoofika inaendelea kuimarika kila uchao na uwezo wao wa kufanya mashambulizi unaongezeka sasa hizo operation huwa zina faida gani?

Alafu tuambie hiyo Mosad ilikuwa wapi mpaka wanafanyiwa ambushi ya kifala namna hiyo maana wana jeshi wengi wamekufa na wengine wakiwemo makamanda wa gazi ya juu wametekwa, raia wengi wamekufa , na magari na vifaru vimeharibiwa na kutekwa.
 
Makombora yanapigiwa ndani. Ni kama ile September 11 ambapo mtu alipigiwa ndani mwake, kwa kutumia marubani waliofundishiwa humohumo ndani, waka waamini na kuwapa vibali.
israel Hawakujifunza ya mwaka 1967. Kisa Jmosi ni Sabato basi wote wanaenda kuiabudu siku na kupelekea ulinzi kulega.
Hatari sana. Ukipigiwa kwa ndani inabidi utulie.
Ila Tech inaenda kasi, siku hizi drone ya tsh 20M inaweza kushusha Airdefence ya Billion 700 moja kwa sekunde. Mambo ni mengi.
 
Hongera zake Hamas kwa kuwakomesha hao jamaa wanaoendekeza vitendo vya sodoma na gomora kwenye ardhi takatifu.
 
Hamas wameteka maeneo mengi ya IsraelView attachment 2774604
Uwezo wa kuteka hawana, hao wamejitoa muhanga tu wanachofanya kwa sasa ni yale matukio ya panya road ambapo 'huteka' mitaa kwa muda lakini huwa wala hawana mpango wa kukaa hapo. Ndicho walichofanya Hamas, wameingia hapo wakitegemea human shield kama kawaida yao.
Ila this time msimamo wangu ni kwamba acha Israel waburuzwe kama Mang'ombe kwanza. Maana walibweteka mno.
 
Back
Top Bottom