PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Hii clip ukiisikiliza vizuri kuna kitu lazima utang'amua, lakini wanasiasa wa Israel walipumbazwa na mkataba wa amani kati yao na waarabu.Wakati Rais wa JMT anaweka Misimamo wa kipekee kabisa duniani katika mapambano dhidi ya Covid-19 Dunia Nzima ilienda na msimamo wa Marekani ambao kimsingi Ndio Waisrael
Watu wakasema Marekani wako sahihi kwa sababu Taasisi Zao za Usalama hazifanyagi makosa
Leo Israel amerudia makosa ya Marekani aliyofanya miaka 20 iliyopita dhidi ya Al Qaida na imelipuliwa na Hamas kitutusa kabisa
Mungu wa mbinguni mrehemu Julius Nyerere kwa kutujengea misingi Imara ya Usalama!