WrestlerRSF254
JF-Expert Member
- Jan 30, 2023
- 1,196
- 2,012
Wakati wa ziara yake ya kutembelea msikiti mjini Toronto, Waziri Mkuu wa Canada amezomewa na hadhirina kotokana na msimamo wake kuhusu mauajii yanayoendelea kufanywa na utawala haramu wa Israel dhidi ya raia wa Ukanda wa Gaza huko Palestina ambako amepatwa na tahayuri asijue la kufanya.Hamas kwa miaka mingi wamekuwa wakijenga njia za chini ya Ardhi yaani Underground Tunnels kubwa mamia kutoka Gaza kwenda Israel. Mwanzoni njia hizo ndizo zimekuwa zikitumiwa ns Hamas kusafirisha silaha za kivita na Askari na pia kujenga vituo vyao vya kijeshi na maghala ya silaha chini ya ardhi
Israel wamekuja teknolojia ambayo kwa mara ya kwanza kutumiwa kijeshi ina uwezo wa kuona Underground tunnels zote chini ya Ardhi
Ajabu ya milango ya kuingilia kwenye hizo Tunnels ili ili kuficha Hamas wameziweka kwenye maeneo ya watu wengi zingine ziko kwenye misikiti,makanisa, mashule ,Hospitali, Maduka makubwa kama ma Supermarket, Majengo makubwa na makazi ya watu,Masokoni.nk Tunnels zinaanzia humo na kutambaa kuelekea Israel
Mashambulizi ya sasa hivi yamejikita zaidi kwenye Underground war ambako.zinatumika zaidi ndege.kubomoa hizo Tunnels na Askari wanaotumika sasa wa Israel ni waliobobea kwenye Underground war kupambana na Hamas kwenye Hizo Tunnels
Ndio maana kwa sasa vikosi vya jeshi la Juu ya ardhi kama Vifaru na Askari wa Nchi kavu ni hawana kazi kwa sasa vifaru vimepaki tu mpakani mwa Gaza wakisubiria wabobezi wa Underground war wamalize kazi ya kufurumisha Hamas na kuharibu kila kitu kwenye Tunnels zao ili wao waanze hiyo vita ya juu ya ardhi ya ground operation
Source: Vyombo mbalimbali vya habari
Wakati wa ziara yake ya kutembelea msikiti mjini Toronto, Waziri Mkuu wa Canada amezomewa na hadhirina kotokana na msimamo wake kuhusu mauajii yanayoendelea kufanywa na utawala haramu wa Israel dhidi ya raia wa Ukanda wa Gaza huko Palestina ambako amepatwa na tahayuri asijue la kufanya.Duh uchambuzi huu mbona kiboko?
Yaani kukamatwa mwanajezhi mmoka ama watatu katika vita unaona ni muujiza?!! Hivi unaijua vita wewe! Au wadhani ni mpira wa miguu huo?Kumekucha:Mwanajeshi wa special force wa Israel adakwa mpakani na Hamas
Tukisema Hamas ni habari nyingine kwa vita ya ardhini muwe mnaelewa!! Special force kwi!kwi!kwi![emoji1787] wanadakwa kama kuku na vitoto vya Hamas....Eti ndo jeshi la Mungu special force gani hii? Walikua wanatest mitambo kuingia Gaza kadakwa tayari mapema[emoji1313][emoji1313]ii
[emoji599]BREAKING: REPORTS OF ISRAELI SPECIAL FORCES MEMBER KIDNAPPED BY HAMAS
We reported less than an hour ago reports we received of an incursion by the IDF into Gaza, and an Apache helicopter being called in to help evacuate the Israeli troops.
Hamas now announced via radio:
"Tomorrow, Abu Ubaida will tell you what happened and who is in our hands."
We're receiving reports that Hamas was able to take an Israeli Special Force troop as hostage.
Location: Al-Borij Camp along the Border Fence with the Central Gaza Strip
MORE UPDATES AS THEY COME
Tujikumbushe kuwa ni juzi makomandoo wa kikosi hatari cha Delta waliotoka Marekani baadhi walienda Gaza eti kuwaokoa mateka wakidhani ni zile propaganda zao za kwenye movie za Hollywood confirmed report ni kuwa waliuawa wote huko huko Gaza hakikurudi hata kiwiliwili..
Wazayuni walivyoambiwa wakitia mguu Gaza ndo patageuka makaburi yao walidhani Hamas wanatania....Wanasubiriwa kwa hamu sana!
Mungu hakai upande wa Mashoga hata siku moja!View attachment 2794145
Wewe hujitambui umelishwa sumu kubwa dhidi ya waislamNi suala la mda hayo mahandaki yatafumuliwa yote na mtakuja kuleta thread humu tusubirie
forces went in to Gaza to rescue the prisoners and became prisoners themselves.
Hapo nakukubari mkuu maana vichwa vya wabongo wengi ni kama wachawiNdio maana CCM wanaifanya na kuigeuza Bongo vyovyote wanavyotaka maana wanajua nchi imejaa mbumbumbu….[emoji2221]
Unachekesha. Yaani kumdaka askari 1 Hamas inakuwa habari ingine?Kumekucha:Mwanajeshi wa special force wa Israel adakwa mpakani na Hamas
Tukisema Hamas ni habari nyingine kwa vita ya ardhini muwe mnaelewa!! Special force kwi!kwi!kwi![emoji1787] wanadakwa kama kuku na vitoto vya Hamas....Eti ndo jeshi la Mungu special force gani hii? Walikua wanatest mitambo kuingia Gaza kadakwa tayari mapema[emoji1313][emoji1313]ii
[emoji599]BREAKING: REPORTS OF ISRAELI SPECIAL FORCES MEMBER KIDNAPPED BY HAMAS
We reported less than an hour ago reports we received of an incursion by the IDF into Gaza, and an Apache helicopter being called in to help evacuate the Israeli troops.
Hamas now announced via radio:
"Tomorrow, Abu Ubaida will tell you what happened and who is in our hands."
We're receiving reports that Hamas was able to take an Israeli Special Force troop as hostage.
Location: Al-Borij Camp along the Border Fence with the Central Gaza Strip
MORE UPDATES AS THEY COME
Tujikumbushe kuwa ni juzi makomandoo wa kikosi hatari cha Delta waliotoka Marekani baadhi walienda Gaza eti kuwaokoa mateka wakidhani ni zile propaganda zao za kwenye movie za Hollywood confirmed report ni kuwa waliuawa wote huko huko Gaza hakikurudi hata kiwiliwili..
Wazayuni walivyoambiwa wakitia mguu Gaza ndo patageuka makaburi yao walidhani Hamas wanatania....Wanasubiriwa kwa hamu sana!
Mungu hakai upande wa Mashoga hata siku moja!View attachment 2794145
Ushabiki wa kipumbavu kabisa onea huruma raia wanaokufa huko kutokana na huo mgogoro,watu Dunia nzima wanaandama for seize fire mtu unafurahia matukio ambayo yanafanya vita viendelee kakamatwa then what ndugu walokufa watarudi kwenye familia zao nonesense kabisa hayo ni matumizi mabaya ya akili
Wapo ziarani Urusi wanateta jambo.🤣Izo ndo mambo Hamas wanataka.
Waislam hawawezi kufurahi wakati waislam wezetu wasio na hatia wanakufa ndani ya Ghaza na PalestinaWaislam koko .........na waislaeli wa kimbiji wakitoana upepo........lakini hapa kuna cha kujifunza........nyie watu wa mnyaaaazi mnaumia wapi??
Wanapigana na jeshi lipi?Hilo jeshi lina silaha zipi za maana?Hilo jeshi ni namba ngapi duniani kinguvu?Umetumia nini kuwaza hata uwalinganishe wanamgambo wa Hamasi wasiokuwa na hata kifaru kimoja na jeshi kamili la nchi ya Ukraine?.
Simaanishi dini, nazungumzia yanayoendelea Kati ya Israel na PalestineWewe hujitambui umelishwa sumu kubwa dhidi ya waislam
i maana waisrael sio wakristo Wala hawaujui ukristo
Huyo aloweka umri wa 09 muulize maana mm nimeshangaa huo umriMimi ni mkristo ambaye siwezi dharau imani ya mtu mingine.
Wengine mnawezaje sijui.
Sawa mkuu mavi kila mtu anayo. Au hunyi..? Umri huo ungeusemea nini kisheria ..?Alimbaka mama yako ukaziliwa ww ndio maana umejaa mavi kichwani badala ya ubongo.