LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Unafaham maana ya special force lakini au unabwabwaja tu
 
israel akifanya ground offensive kwenye vita hii atarudisha maeneo alochukua 1948, israel hawamtegemei Mungu tena wanamtegemea marekani, unawezaje ua watoto zuia chakula kwa raia wa kawaida, israel na marekani hawana uwezo wa kuwapiga mataifa ya middle east wakiungana ndio maana marekani amekua akihakikisha waarabu hawana umoja, yaani marekani hataki kabisa irani ahusike kwenye vita ambayo us atakuepo anajua moto wa drones na balistic missile za iran.
 
Just in[emoji599]Hamas has taken an Israel special forces militant prisoner! Israel “special” forces went in to Gaza to rescue the prisoners and became prisoners themselves. [emoji1787]
Ni matokeo ya vita,huwezi pigana vita usipoteze, si kukamatwa tu hata kufa watakufa.
Ila msije sema wanaua wanawake na watoto, wakiuliwa ni sawa tu kwani hao wanawake ndo wanazaa magaidi na hao watoto walikuwa ndo magaidi wenyewe. Kwa hiyo wayahudi wanaenda kuua mizizi ili miti ikauke .
Vita siyo ngoma ya mdumange, ukiingia kwenye kumi na nane za walijiandaa utakufa utatekwa ili mradi ni matokeo ya vita
 
Unabisha nini nini? Wale ndio wa ibrahimu, isaka na yakobo, kichapo wanakitembeza kwa jina la mungu wa majeshi. Mwaka huu magaidi wataipata fresh
 
Huna akili na umekurupuka, huko ukingo wa Magharibi unapo sema wameikataa Hamas si ndo maelfu ya wapalestina wanauawa kila mwaka na kufurushwa kwenye nyumba zao kisha wanapewa wayahudi?
 
Mbona walisha wafuata mpaka ndani ya nchi yao wakavamia kuuwa wanajeshi kibao na kuteka wengine kibao au unataka wawafuate mara ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…