LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Yaani kukamatwa mwanajezhi mmoka ama watatu katika vita unaona ni muujiza?!! Hivi unaijua vita wewe! Au wadhani ni mpira wa miguu huo?
Yaan ulidhani ushindi wa vita ni kuto kamatwa mateka wala kuuwa kwa jeshi la upande mmoja?
Iyo itakuwa bita au mmoja atapigwa bila kujibu
Hamasi wanajibu na kupigana kwa kuvizia some time wanajificha maeneo ya makazi ya raia ndo maana unaona tigua tigua inapigwa maeneo ya raia pia
Mnapowatetea hamasi waangalieni na Raia wao wako katika hatari gani
Unafaham maana ya special force lakini au unabwabwaja tu
 
israel akifanya ground offensive kwenye vita hii atarudisha maeneo alochukua 1948, israel hawamtegemei Mungu tena wanamtegemea marekani, unawezaje ua watoto zuia chakula kwa raia wa kawaida, israel na marekani hawana uwezo wa kuwapiga mataifa ya middle east wakiungana ndio maana marekani amekua akihakikisha waarabu hawana umoja, yaani marekani hataki kabisa irani ahusike kwenye vita ambayo us atakuepo anajua moto wa drones na balistic missile za iran.
 
Just in[emoji599]Hamas has taken an Israel special forces militant prisoner! Israel “special” forces went in to Gaza to rescue the prisoners and became prisoners themselves. [emoji1787]
Ni matokeo ya vita,huwezi pigana vita usipoteze, si kukamatwa tu hata kufa watakufa.
Ila msije sema wanaua wanawake na watoto, wakiuliwa ni sawa tu kwani hao wanawake ndo wanazaa magaidi na hao watoto walikuwa ndo magaidi wenyewe. Kwa hiyo wayahudi wanaenda kuua mizizi ili miti ikauke .
Vita siyo ngoma ya mdumange, ukiingia kwenye kumi na nane za walijiandaa utakufa utatekwa ili mradi ni matokeo ya vita
 
Hamna lolote hizo ni kelele tu, toka lini hao wanaojita Israel wakawa wakusema ukweli.

Kwanza nashangaa vipi waliruhusiwa kutumia jina la Mtume liwe inchi, wana lana kweli hawa, kutumia jina la Mtume ambaye hakuwahi kuasi wakaenda itwa hao walio laniwa jina lake.
Unabisha nini nini? Wale ndio wa ibrahimu, isaka na yakobo, kichapo wanakitembeza kwa jina la mungu wa majeshi. Mwaka huu magaidi wataipata fresh
 
Hii inasikitisha sana jamani . Ila inachekesha walivyokaa. Ila wazazi wao ndio wabaya.

Screenshot_20231027-104022_Facebook.jpg
 
Mbona bado sana!! Watakufa sana!! HAMAS, waache kutumia watu kama ngao yao, zamu hii wala hata asilimia kubwa ya dunia haiwaonei huruma hao Wapalestina, kwani huwezi kutumia mbinu ile ile ukategemea majibu tofauti!! Na kibaya zaidi zamu hii ni kama wao ndio wachokozi!!! Hao wenzao tu wa ukingo wa magharibi, wanawakataa hao Hams kwa ujinga wao.
Huna akili na umekurupuka, huko ukingo wa Magharibi unapo sema wameikataa Hamas si ndo maelfu ya wapalestina wanauawa kila mwaka na kufurushwa kwenye nyumba zao kisha wanapewa wayahudi?
 
Hao magaidi wa Hamas kwa nini wanajificha na kuachia wananchi wao kuangamizwa namna hiyo, kwa nini wasiondoke kwenye mashimo waende wawafuate waisrael wanaoua wananchi wao kwa nini wanaogopa hivyo wakati mabikra 72 wapo au waga ni uongo..!![emoji23][emoji23]
Mbona walisha wafuata mpaka ndani ya nchi yao wakavamia kuuwa wanajeshi kibao na kuteka wengine kibao au unataka wawafuate mara ngapi?
 
Back
Top Bottom