LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
[emoji23][emoji23][emoji23] ... Ila mwanangu ,unajitekenya halafu unacheka mwenyewe
 
Kumekucha
Political leaders slammed Netanyahu for playing politics while the country was in the midst of a difficult military campaign inside Gaza. The outrage was such that the prime minister deleted the tweet, and in an un
 
kuna video kulee telegram znasambaa mazee dah! wale vijana wakitanganyika akina molel wananyanyasika kingono ...yale mapalestina yaskiee tuuu ....
 
Nimeangalia Al jazeera news kiukweli siku si nyingi hautakuwa na Gaza tunayoijua labda Gaza Kifusi

Wako wapi Waarabu akina FaizaFoxy?

Inasikitisha sana
 
Msemaji wa mambo ya Ulinzi wa Marekani amesema wao wanakubaliana na Netanyahu kwani kwa mtazamo wao Vita ikisitishwa sasa Watakaonufaika ni Hamas

Source Al jazeera news
 
Israel hamna kitu kabisa bila USA, Kwa walichofanya urusi Bakhamut Kwa nini inakua ngumu kuingia ground hapo GAZA wakati wanasapoti ya west wote?. Wanaogopa nini?.
Hamas wangetoka zipigwe kuliko kujificha katikati ya raia na kulialia.Wakijitokeza kama wayukreni wanavyopambana head to head ningewaona wa maana.Tofauti na hapo wanajitekenya na kujichekesha
 
Hamas wangetoka zipigwe kuliko kujificha katikati ya raia na kulialia.Wakijitokeza kama wayukreni wanavyopambana head to head ningewaona wa maana.Tofauti na hapo wanajitekenya na kujichekesha

Hivi mkuu unawezaje kuwalinganisha Hamas na Ukraine army?

Hamas silaha pekee walizonazo ni bunduki na mabomu ya kutengeneza kienyeji pamoja na roketi wakati Israel ina silaha zote unazozijua kwenye hii dunia

Kimsingi hii sio vita
Ni Hamas kikundi cha wafungwa waliofungiwa na Israel Gaza wamefanya walichofanya kutaka uhuru wao
 
Hamas wangetoka zipigwe kuliko kujificha katikati ya raia na kulialia.Wakijitokeza kama wayukreni wanavyopambana head to head ningewaona wa maana.Tofauti na hapo wanajitekenya na kujichekesha
Bakhamut hawakutoka pia walijificha kwenye mahandaki na warusi walifuata huko huko, na Israel ifanye hivyo hivyo, halafu bahati mbaya Hamas hawana hata Ndege wala long range, ilitakiwa urusi awasaidie ili tuone mbungi kama la Ukraine.
 
Mkuu Gaza ni kama gereza
Jamaa wamefungiwa mle ndani hakuna kinacho ingia wala kutoka bila ridhaa ya Israel

Sasa hao Russia watapitishia wapi hizo silaha?
 
Mkuu Gaza ni kama gereza
Jamaa wamefungiwa mle ndani hakuna kinacho ingia wala kutoka.

Sasa hao Russia watapitishia wapi hizo silaha?
Wawape Lebanon,wazipige huko Kusini ambapo HEZBOLLAH yupo, kudivert attention, Kisha baada yahapo watajua nini Cha kufanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…