Tatizo we hujaona Asqalan. Bair 7, Ghulaf Gaza, Tela Aviv zilivyo vurugwa, pia kuna miji mingi tu ya Israel imepigwa.
We si unaonyeshwa tu Gaza sababu MEDIA ziko free kuchukua kule Israel wanawazuia kabisa nacwanawakataza wa Israel wasirushe kwenye social media zingine zinavuja.
We hesabu majumba na watu hio haina shida vipi kuhusu hasara we unafahamu hasara alioipata Israel na America kwenye hi vita? Au unaropoka tu kama mlevi
Kijana kwa tarifa yako Israel hi vita hawezi kwenda nayo zaidi ya mwezi kuanzia sasa.
Kwanza kila akivunja majumba na kuwauwa watoto, wanawake na kuvunja Hospital ndio anapoteza support ndio inazidi mdharau sababu watu wote wanafahamu Hamasi wanaishi chini ya Ardhi tena hakuna hata silaha ya Hamasi wameipiga walichopata ni kule walipo ingiliwa kambi za jeshi nne walizo zibakisha wenyewe Hamadi kwa lengo la kurudi tena.
Internal security ya Egypt imewaeleza Israel hawawezi kuvuka km moja Gaza wakikuachia under kam nne basi wewe ni chambo tu, kama hivyo vifaru waliviachia vikaribie barabara Salah Din ili wavimalize na wamevimaliza vingine vimegeuza chezea Hamasi wewe