LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Andika kwa utulivu mbona unaandika kwa jaziba 😂😂😂😂
 
Hamas wangetoka zipigwe kuliko kujificha katikati ya raia na kulialia.Wakijitokeza kama wayukreni wanavyopambana head to head ningewaona wa maana.Tofauti na hapo wanajitekenya na kujichekesha
Hamas hawajifichi katikati ya raia ndugu yangu,kwa watu waliouliwa na majumba yalolipuliwa hakuna mwana hamas ama silaha iliyopatikana na hata post za ufyatuaji maroketi ziko mbali na IDF wanapolipua.
 
kuna video kulee telegram znasambaa mazee dah! wale vijana wakitanganyika akina molel wananyanyasika kingono ...yale mapalestina yaskiee tuuu ....
Hakuna hata mmoja aliyeguswa na wanakula chakula pamoja na watejaji wao hata hawa mateka walioachiwa wamethibitisha kwamba walikuwa well treated kama bimaadamu na hawakunyanyaswa kwa namna yoyote kitu ambacho media nyingi hazikutaka kusambaza zaidi na kuendelea kuwahoji
 
Wawape Lebanon,wazipige huko Kusini ambapo HEZBOLLAH yupo, kudivert attention, Kisha baada yahapo watajua nini Cha kufanya.

Hata hivyo Russia mwenyewe yupo vitani sidhani kama aingia kwenye vita mbili kwa kipindi kimoja
 
Mkuu naomba msaada jinsi ya hiyo App Nama ya kubadili Lugha
 
Israel hamna kitu kabisa bila USA, Kwa walichofanya urusi Bakhamut Kwa nini inakua ngumu kuingia ground hapo GAZA wakati wanasapoti ya west wote?. Wanaogopa nini?.
Wameingia mbona....

Labda wanahofia maisha ya raia wao walio mateka yatakuwa hatarini.
 
Wamewapongeza Hamas kwa ubinaadam na utu wanaounyesha ktk kipindi chote wanachoshikiliwa
Wamesema hapo mwanzo waliaminishwa kwamba wauchukue uislamu na waislam kwa jumla lkn wanaona utafauti mkubwa.
Koran 5;51. Enyi waislamu! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki......
 

Ujumbe wa Al-Azhar kwa muqawama Palestina: Nyinyi ni mashujaa, mnapigana na wanyama​


Chuo Kikuu cha Al-Azhar cha Misri kimepongeza ujasiri na ushujaa wa wanamapambano na muqawama wa Palestina na kusema kuwa wanakabiliana na jeshi la kigaidi la kinyama.

Chuo Kikuu cha al-Azhar kimesema hayo katika ujumbe wake kwa vikosi vya muqawama katika Ukanda wa Gaza na kuwapongeza wanamuqawama wa Palestina kutokana na kusimama kwao kidete kutetea ardhi na nchi yao.

Kwa mujibu wa tovuti ya Rusiya Al-Yaum, sehemu moja ya taarifa ya Al-Azhar ikiwa taasisi ya juu zaidi ya kidini ya Sunni, inasema: "Pongezi na baraka kutoka kwa Mwenyezi Mungu kwa muqawama wa Palestina na watu wasio na hatia wa Gaza, ambao ni kielelezo cha fahari, uthabiti na subira."

Taarifa ya Chuo Kikuu cha Al-Azhar imeongeza kusema kuwa, "Salamu zikufikieni enyi mashujaa, ambao kwa imani yenu mlikabiliana na manowari za kivita, meli za kubeba ndege na washambuliaji wa ndege na kuzisimamisha bila ya woga au wasiwasi wowote."
 

Israel yalipua kambi ya Wapalestina, watu zaidi ya 100 wauawa na wengine zaidi ya 300 wajeruhiwa vibaya!​


Hali ni mbaya sana ukanda wa Gaza

Mungu wa mbinguni ingilia Kati hivi Vita viishe
 
Hao wanawadanganya na kuwatia ushujaa ambao hautawasaidia, Hamas wako kwenye mahandaki wao wako pale Cairo Egypt wanakula na kulala salama, ilitakiwa wawashauli Hamas waachie mateka na vita iishe Ili waangalie namna nyingine ya kudai haki zao, wakidai haki Kwa vita Gaza yote itaisha , itachukuliwa na Israel, wapalestina wasome alama za nyakati. Hakuna namna taifa la Israel litaondoka pale mashariki ya kati eti Wapalestina wapewe nchi yao. Wao wapatanishwe tu waishi Kwa pamoja ndani ya nchi moja , waheshimiane, wasitangulize dini zao za Uislam na uyahudi.
 
Hawa walioandika huu ujumbe nao wanapigana au ndo wale wale, wanawaomba wenzao wapigane na kuuliwa huku wao wakiwacheka?
 
Waiarabu ni wajinga pengine tunalingana sisi waafrika katika ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…