LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Huu ni wakati wa Serikali ya Tanzania kuvunja mahusiano na Israel haraka sana kwa yanayoendelea huko Gaza!!

Huko nyuma tuliwahi kusema kuwa "kila mtu anastahili haki ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake". Pia tulisema kwamba kila watu wana haki ya kuwa na mahali ambapo watakuwa salama kutoka vitisho vyovyote vya utu wao na nafasi yao kama jamaa.

Tokea enzi za Nyerere tuliamini ya kwamba hakuna mwanadamu mwingine ambaye ana haki ya kumtawala kwa nguvu mwanadamu mwingine kwa kisingizio chochote kile. Hii ilikuwa ni falsafa yetu dhidi ya ukoloni.

Leo hii tunashuhudia yanayoendelea Palestina ambapo karibu maelfu ya watu wameshauawa. Je, Bunge linapokutana siku chache zijazo zilaani mauaji hayo? Je, serikali ilaani pande zote mbili kwa kusababisha mazingira ambayo yanamnyima mwanadamu nafasi ya kuwa huru kufanya lolote? Tunapaswa tuungane na nchi nyingine mfano Bolivia ambazo zimevunja uhusiano na Israel kutokana na suala la Gaza

Hatuwezi kuendelea kulisapoti taifa la kigaidi ambalo lina mchango mkubwa wa ubaguzi wa Rangi na.ambalo limeshiriki kuwaangamiza Waafrika wengi mfano wakati wa makaburi walitoa misaada ya kila aina kwa makaburu ili waendelee kuwauwa watu weusi kule Africa ya kusini bado zile cases za waafrika waethiopia kufungwa vizazi wasizae kwa nguvu!

Kwa yanayoendelea naiomba serikali ivunje uhusiano mara moja na huu utawala katili wa Israel View attachment 2799631
 
Mzushi wewe
Hezbollah infographic on the losses of the Israeli army on the Lebanese border:

  • 1 UAV
  • 2 armored vehicles
  • 2 Humvees
  • 9 tanks (damaged or destroyed)
  • 17 SIGNIT devices
  • 27 reconnaissance devices
  • 33 radars
  • 120 soldiers wounded and killed
  • 144 security cameras

The removal of tracking systems on the Lebanese-Palestinian border could simplify the offensive actions of infantry forces in the future.
 

Mtaandika andika lakini mwisho kichapo kiko pale pale, Wayahudi ni namba nyingine, mumezoea kuchinja Wakristo tunawachukulia poa, ila uzombi wa dini yenu uliwatuma kwa Wayahudi, wale wanalipua hadi mitoto na wasipate tabu, kuna video ukizitazama kule Telegram kama una moyo mwepesi utalia kwa mnachofanyiwa.
 
Aisee hawa Muqawama wa Hamas ni balaa yaani unaambiwa wako fit kinoma.Israel hajafanikiwa kuua hata mmoja anabakia kuua raia na watoto wasio na hatia.Allahu akbar!
hahaa na Hamas hawasong mbele , ila waislam sijui nan aliwaroga
 
tatizo lake anaua raia na watoto ovyo ovyo hakuna atakayelalamika akiua Hamas
kama hamas hawauliw mbona hao hamas hawasong mbele tangu trh 7 oct , hv waislam nan aliwaroga ?
 
Sasa ulitaka Hamas wakae tu ili wanajeshi wa Israel wawauwe?
Israel anacho ambiwa ni afuate sheria za vita na sio kupiga piga hovyo kama ni kupambana apambane na hamas awaangamize kama anavyo sema na sio kuuwa raia.
kwamba trh 7 oct mlifuata sheria za vita kwa kuteka raia wema na kuua raia wema waliokuwa kwenye picnic , uislam na ushetan ni mapacha
 
Akawaangamize Hamas kwenye uwanja wa mapambano, sio kwenda kupiga mabomu hospitali na mashule halafu anaishia kuua watoto na wanawake.
kama hamas hawaangamizw mbona hao hamas hawasongi mbele tng trh 7 oct ? hv waislam nan aliwaroga ?
 
Anaangamiz nani ww hujui sheria za vita unabomaoa majengo kwa kuwa uanmiliki tu drone
kama haangamiz hamas na ni majengo tu yanabomolewa , kwann hamas hawasong mbele ? si hawaguswi
 
ww ni kilaza , na hiyo dini yako imekufanya msukule
 
waendelee kucheza na wakristo ambao ni wastaraabu ila kwa myaudi watashikishwa ukuta kwa sana
 
asingefanya hvyo asingekufa ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…