Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayajaanza leo wala jana, cha muhimu waliowekwa kambi ya mateso ya Gaza na wao wakipata upenyo wanafanya kweli.Kasaidie maana kichapo kwa hamas ni funua funika gaza inageuzwa majivu,vichuguu na makaburi.Israel wametinga na anapigwa kwa juu,majini na ardhini
Libibi lichawi, liHamas lidogoHayajaanza leo wala jana, cha muhimu waliowekwa kambi ya mateso ya Gaza na wao wakipata upenyo wanafanya kweli.
Utakuwa umevurugwa sana aiseekitu kinachoitwa Mungu hakipo na wala hakina uwezo wowote wa kufanya chochote.
Wewe ni muongo zaidi ya huyo umsemaye, nyie wenye upande kwenye hivi vita mnachekesha sana, hiyo chanel unayosema imetoa taarifa ya wanajeshi wawili na majina yao wameuawa na wawili wamejeruhiwa so naona unaendeleza kuadd namba kama kawaida yenuHamas walivyosema kwamba Gaza itakua ni kaburi la Wanajeshi wa Israel walikua hawatanii..Shambulizi moja tu wameuwa wanajeshi 67 wa Israel
#BREAKING Al-Qassam Brigades ambushed Israeli soldiers, captured 43 soldiers and killed 67 soldiers.
Source:Israel channel 14
Israeli media and Military sources confirming the Ambush but denied any captured soldier
As a result of the attacks of the Al-Qassam brigade, a unit of the Givati Brigade had to withdraw from the north of Gaza —
Palestinian Source
Source:Israel channel 14,Palestinian Source.
Verfied by: War intel page on XView attachment 2799534
UPDATE: Unconfirmed report.......Hii habari bado sijajiridhisha,nilikua na haraka sana kuipost, huwa najitahidi sana kuleta habari za kweli humu na huwa nahakikisha naleta habari za uhakika kabisa!!Na hii habari niliitoa kwenye source ya uhakika kabisa lakini mleta habari amesema binafsi kuwa anaifanyia uchunguzi kwanza na akaifuta!!....Hii ni hadi nijiridhishe kwanza nilikua fasta sana kupost hii habari humu, so hadi nijiridhishe....Mimi sio kama kina Mk254 ambaye habari zake 95% anazoleta humu ni za uongo!!..........
Una taarifa nyingi za uongo.UPDATE: Unconfirmed report.......Hii habari bado sijajiridhisha,nilikua na haraka sana kuipost, huwa najitahidi sana kuleta habari za kweli humu na huwa nahakikisha naleta habari za uhakika kabisa!!Na hii habari niliitoa kwenye source ya uhakika kabisa lakini mleta habari amesema binafsi kuwa anaifanyia uchunguzi kwanza na akaifuta!!....Hii ni hadi nijiridhishe kwanza nilikua fasta sana kupost hii habari humu, so hadi nijiridhishe....Mimi sio kama kina MK254 ambaye habari zake 95% anazoleta humu ni za uongo!!..........
Wewe wayahudi unaowashadadia wanakuona ushuzi tu huko.Libibi lichawi, liHamas lidogo
Hivi Gaza watoto ndio wanaoishi? watoto ndio wenye mji Gaza? acha muawawe wajinga sana, mlipewa tangazo mkajidai et nyieni ni Hamas wacha waone na wakipate, huyu Ritz na Kimsboy hawa hawana nia njema na watu wa Gazaunamwambia mtu atoke kwake anatoko anaenda kukaa kwenye jengo la hospitali unapiga bomu hospitali ndiyo maana nakuambia acha ushabiki mandazi.
KabisaDini zimepumbaza watu
JAMANI mbona hamuwaonei huruma hao jamaaa?Aisee hawa Muqawama wa Hamas ni balaa yaani unaambiwa wako fit kinoma.Israel hajafanikiwa kuua hata mmoja anabakia kuua raia na watoto wasio na hatia.Allahu akbar!
allah akbarr!!!! na waliocheka watoto wa Israel na kurekodi mateso yao na mauaji yao pamoja na kubakwa live na kurusha mitandao nao leo wanakipata cha moto, wanaishi shimoni kama nguchiro aise maisha haya acha tu kimsboy mwambie mungu wako ayatollah ajifunze.Aliyekua anachekelea vifo vya watoto huko Gaza, kuweka vibonzo na kukejeli na kushangilia vifo vya watoto huko Gaza kifo cha Gafla
Jamaa mmoja maarufu mitandao hususan huko X na mfuasi kindakindaki wa Israel wa mtandaoni aliyejipatia umaarufu kwa kuwacheka na kuwakejeli watoto wa Gaza na vifo vya wapalestina amefariki ghafla kwa Shambulizi la Moyo
Ni majuzi tu alitoka kupost mtoto wa Kipalestina aliyejeruhiwa vibaya kwa vita na kuandika maneno ya kejeli na kumuedit kwenye Tangazo la vipodozi huku akitia kejeli
Hili tukio lilisababisha hasira sana miongoni mwa maelfu huko hususan huko X akilaaniwa na kila mtu.
Amefariki kwa shambulizi la Ghafla la Moyo hii ndo inaitwa Karma kweli Mungu hachezewi, yuko wapi sasa?
Tujifunze sana kupitia hili.
View attachment 2799606View attachment 2799607View attachment 2799608View attachment 2799609View attachment 2799610View attachment 2799611
Wewe shoga hivi hata shule ulienda? Hapo kuna generalization?Wahehe wamekufanya nn??...au umewahi kupigwa vdole na hayoo makabila... avoid falacy of haste generalization
Umepiga za uso mkuu.allah akbarr!!!! na waliocheka watoto wa Israel na kurekodi mateso yao na mauaji yao pamoja na kubakwa live na kurusha mitandao nao leo wanakipata cha moto, wanaishi shimoni kama nguchiro aise maisha haya acha tu kimsboy mwambie mungu wako ayatollah ajifunze.
Umeshindwa kuweka picha ya Mama Samia kwenye avatar yako au hata ya baba yako ila umeweka ya mungu wenu anayeua kila kona ya middle east dah umesahau watanzania waliotekwa na Hamas kisa et ni wakristo dah tujifunze usemavyo mnafiki mkubwa wewe
Huyu akilini hana Urusi wenye hapo middle east wako kwa mbali sanaYaani Urusi ndio wanahesabu?
Wao wamepoteza wangspi Ukraine?