LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Uko sahihi kabisaa!
Yanayoendelea huko Gaza ni maangamizi dhidi ya Binadamu wasio na hatia!

Ni mauaji ya kimbali ambayo yanasyahili kupingwa na kulaaniwa na Dunia ya kistaarabu.

Tanzania kama nchi inayofuata siasa ya kutofungamana na upande wowote!
Tunapaswa saaa kuionyesha Dunia msimamo wetu thabiti!

Lakini yote kwa yote inategemea kama ushungi utafungua na sikio likasikia!
 
Hamas ndiyo walivamia Israel
 
Mpaka Sasa wapalestina wangapi wamewawahi wale ma bikra 72 wenye macho kama Kikombe na vifua vyenye flat screen kule peponi mkuu?
 
Umeanza na "ligogo ama lihehe" halafu ukamalizia na "wangoni ama wahehe". Tuombe radhi sisi wagogo.
Mkuu, hiyo inaitwa selective writing. Nimetolea mfano 'ligogo na lihehe' na sio 'migogo na mihehe'.

Maana yake nimechagua ama kutolea mfano mgogo ama mhehe mmoja mpumbavu alieshikwa na dini na sio wagogo ama wahehe wote.

Ningeandika 'migogo na mihehe' hapo ningekua nimekosea kuwajumuisha wagogo wote na wahehe wote kwenye kapu la wajinga na wafia dini. Mimi kama mtaalamu wa lugha na mantiki siwezi kufanya hilo kosa ya generalization syndrome.
 
Upuuzi mtupu.
 
Kweli ukiwa muislamu hata Kama umesoma lazima uwe na chembe chembe za utahaira katika ubongo.
Mbona hajafa George bush? Mbona hajafa netanyau?
Safari hii utaahira lazima uwatoke. Watafukuliwa kwenye hayo mahandaki mmoja baada ya mwingine.
 
Mbona walilofanya Hamas hutaki kulilaani?
Ule unyama wa kuua watu wasio na hatia ni sawa?
Jino kwa jino
Kati ya hamas na Israel nani alianza kumvamia mwenzake kuanzia 1948.

Hamas ama Palestina wameishi chini ya uonevu ma ukandamizwaji wa Israel kwa miaka 75 sasa.

Israel huua wapalestina wakijisikia tu.

Hamas wana haki ya kupigania ardhi yao na hakuna wa kuwazuia.
 
Nimekuelewa.
 
Huu ujinga uliouandika hapa nawenyewe umeuandika kwa mihemko yakidini vile vile.kwan wewe hao wanaokufa uko wanakuhusu nini hadi uchukie wanaoiombea israeli kama sio kwamba nawewe dini inakusumbua.Na pia kuna kipi kikubwa ambacho israeli imekishindwa hadi useme Mungu kashindwa kuilinda ili yeye aingilie.Kila mtu afanye anakiona ni sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tulitakiwa kuvunja ubalozi mara moja na Palestine pale tu utawala wa Palestine walipoonekana kubariki mashambulio ya kigaidi yaliyofanywa na kikundi cha kigaidi cha Hamas.

Waisrael waliouawa nao ni binadamu. Na wapalestina, nao ni binadamu. Ukiwa fair, fikiria pande zote mbili.
 
Sasa hapo kwenye picha mbona hakuna ushahidi wowote unao onesha kuwa ramani imetoka kwa Idf?
Mkuu nenda telegram search chanel inaitwa "Intel Slava Z"

Hii chanel ni ya Warusi na ni pro Putin, nenda kaone wanaposti jinsi hamas wamavyopelekewa moto.

Pamoja na kwamba ni chanel ya pro hamas na Putin lakini post zao 99% ni za IDF ikipeleka moto kwa hamas.

Yani mmekaa hapo msikiti wa kwa mtoro mnadanganyana eti israel inapigwa na hamas?
[emoji23] [emoji23]
 
Proved nadhani ni muhimu na wewe upate comment yangu ifuatayo directly,itakufungua ufahamu.The comment was for Instagram.It is as follows:

Nadhani unajua kwamba hàta mama ntilie wanatumia ushirikina,we know mbona sio siri.Halafu kuna level ya mkataba,mkataba wa mama ntilie si sawa na wa Marekani au Elon Musk.

Anyway hakuna haja ya kubishana,ila ni muhimu kuelewa kwamba the World is spiritual in the sense that anything you see,hear,feel and touch has a spiritual beginning.

May be utafunguka ukiangalia clip ifuatayo where a grand grand daughter wa President Eisenhower ana testify kwama ni kweli Eisenhower aliingia mikataba na Aliens,ambao ni demonic entities.


View: https://youtu.be/-FHaGFkHULo?si=gSMjkqrW1Cp7BUmq
Halafu cheki title ya kitabu hiki Extraterrestrials-U.S. Government Treaty And Agreements: Alien Technology, Abductions And Military Alliance - De Lafayette, Maximillien: 9781434828583 - AbeBooks ambacho kilikuwepo lakini sasa hakipo tena,why I do not know,lakini nadhani kimekuwa withdrawn kwa kuwa wanaona siri zao zinavuja sana.

But you can get more into the subject of ET and the American Government agreements here👇
 
Yaani Mimi hapa ndo siwaelewagi... Wanasiasa wa Tanzania wanawafanyia wananchi wao unyama mmekaa kimya au hamuoni?
Mbona watu wanawekwa kwenye foleni juani kisa wanasiasa wanapita!
Mbona watu wanakusanywa na kusafirishwa kwenye malori kama mizigo kisa kwenye kusikiliza vichambo vya wanasiasa!!
Mbona miradi ya huduma za msingi inapozinduliwa wananchi wanalazimishwa kumwaga sifa na kuabudu wanasiasa??
Mbona misafara inayoenda kuzindua miradi ya kijamii Ina thamani kubwa kuliko miradi yenyewe??
Mbona DPW mikataba imeingiwa kijanja janja??

Hivi hizo guts za kuwaonea huruma wengine mnazitoa wapi wakati wanasiasa wa Tanzania wanawadhulumu wananchi wao??
 
Tuvunje uhusiano Ili tuungane na magaidi Hamas? Israel kabla ya kushambulia wanatoa tangazo, " civilians wahame kwa usalama wao" Bado Kuna wahuni wanawahifadhi magaidi na kukataa kuhama. Kwanini wasiuwawe. Kabla ya Kila hatua ya kushambulia wanatoa tahadhari, wajinga wabishi. Israel wako fair sana, imagine gaidi wanaingia na kusaka civilians mtaa kwa mtaa na kuwachoma moto, kuwabaka na kuwachinja,then unalipa kisasi kwa kuwataka civilians wahame kwanza. Hii ni kuonyesha fadhila sana. Ingekua Nchi nyingine, hao Palestine wa Gaza wangeshaisha. Hatuwezi kuvunja uhusiano kwa kutetea magaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…