Angalieni vizuri hiyo video, jinsi Hamas walivyo na propaganda chafu. Mtu kafa lakini Bado anajigeuza😄
View: https://x.com/Askwhyisit/status/1719449706521129067?s=20
View: https://x.com/Askwhyisit/status/1719449706521129067?s=20
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chanzo nilichotoa Ni kutoka hukohuko alikotoa mwenzako au hujaona huko juu?.Lete zako za BBC
Jamaa wako vizuri sana kwenye tech duniani ya Leo wanachuana bega kwa bega na Jews kwenye masuala ya uvumbuziWahindu wapo kama hawapo timamu vile
Huu uzi haukuhusu wewe Mkenya mambo ya Tz yanakuhusu nini?Pambana na kenya yako inayosumbuliwa na njaa
Acha Wapalestina washughulikiwe ili watambue haki na thamani ya Bindamu.Huu ni wakati wa Serikali ya Tanzania kuvunja mahusiano na Israel haraka sana kwa yanayoendelea huko Gaza!!
Huko nyuma tuliwahi kusema kuwa "kila mtu anastahili haki ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake". Pia tulisema kwamba kila watu wana haki ya kuwa na mahali ambapo watakuwa salama kutoka vitisho vyovyote vya utu wao na nafasi yao kama jamaa.
Tokea enzi za Nyerere tuliamini ya kwamba hakuna mwanadamu mwingine ambaye ana haki ya kumtawala kwa nguvu mwanadamu mwingine kwa kisingizio chochote kile. Hii ilikuwa ni falsafa yetu dhidi ya ukoloni.
Leo hii tunashuhudia yanayoendelea Palestina ambapo karibu maelfu ya watu wameshauawa. Je, Bunge linapokutana siku chache zijazo zilaani mauaji hayo? Je, serikali ilaani pande zote mbili kwa kusababisha mazingira ambayo yanamnyima mwanadamu nafasi ya kuwa huru kufanya lolote? Tunapaswa tuungane na nchi nyingine mfano Bolivia ambazo zimevunja uhusiano na Israel kutokana na suala la Gaza
Hatuwezi kuendelea kulisapoti taifa la kigaidi ambalo lina mchango mkubwa wa ubaguzi wa Rangi na.ambalo limeshiriki kuwaangamiza Waafrika wengi mfano wakati wa makaburi walitoa misaada ya kila aina kwa makaburu ili waendelee kuwauwa watu weusi kule Africa ya kusini bado zile cases za waafrika waethiopia kufungwa vizazi wasizae kwa nguvu!
Kwa yanayoendelea naiomba serikali ivunje uhusiano mara moja na huu utawala katili wa Israel View attachment 2799632View attachment 2799631View attachment 2799633View attachment 2799634
Acha Palestina ishughulikiwe ili ugaidi duniani upungue.Dini zimepumbaza watu. Israel wanafanyia watu unyama usio na mfano lakini dini zimepumbaza watu hawataki kuliona hilo, wanakesha wakiiombea Israel wakati mungu mwenyewe ameshindwa kuilinda Israel.
Mungu mwenyezi uwezo wa kuilinda Israel hana halafu mijitu mipumbavu inakesha kuiombea Israel na inapeleka maombi kwa huyo huyo mungu asie na uwezo wowote wa kuilinda Israel yake, hizi ni akili ama mavi?
Unakuja lijitu ligogo ama lihehe la huko iringa limeshindwa 'kuwaombea' (kitu kinaitwa maombi hakina msaada wowote kwenye maisha ya binaadam) wangoni ama wahehe wenzie, anakesha na kufunga kuiombea Israel na unakuta anatembea na bendera ya Israel kwenye gari ama nyumba yake.
Dini ni utapeli kama utapeli mwingine kitu kinachoitwa Mungu hakipo na wala hakina uwezo wowote wa kufanya chochote.
Allah hajafundisha kupiga goti mbele ya sanamu la zege na kuliomba,huo ndiyo ujingana ndo allah anakufundisha ujinga huo?
Hospital na shule ni Hamas!?..Hamasi wakishambuliwa wasitake Dunia waseme wameomewa .mbona wanajifichia kwenye jamii kama hospital,shule,makazi ya wasio taka hayo
Kama hamasi kajificha nyuma ya raia na watoto unafagia wote tutatizo lake anaua raia na watoto ovyo ovyo hakuna atakayelalamika akiua Hamas
Akili ya kujadiliana na mimi huna. Kajifunze kwanza kuandika sentensi vizuri ndio uje tujadiliane. Kajifunze ku-punctuate sentensi.Huu ujinga uliouandika hapa nawenyewe umeuandika kwa mihemko yakidini vile vile.kwan wewe hao wanaokufa uko wanakuhusu nini hadi uchukie wanaoiombea israeli kama sio kwamba nawewe dini inakusumbua.Na pia kuna kipi kikubwa ambacho israeli imekishindwa hadi useme Mungu kashindwa kuilinda ili yeye aingilie.Kila mtu afanye anakiona ni sawa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Israel anachapika huko,kutoka aibu,kuendelea maafa,netanyahu kapata kichaka Cha kujifichia kuepuka mashtaka yake ya ufisadi,Vita itamuangusha hii,ngoja video viendeleeHizi vita propaganda nyingi sana mpaka unachanganyikiwa,ila upande unaolia na kuomba huruma ya dunia unajulikana.
Ni punguani apekee anaweza tetea ujambazi wa HAMAS kwa IsraelAkili ya kujadiliana na mimi huna. Kajifunze kwanza kuandika sentensi vizuri ndio uje tujadiliane. Kajifunze ku-punctuate sentensi.
we ndio ripota wao? kenge kweli.Idadi ya wanajeshi wao waliokufa jana tu ni zaidi ya 70 lakini wanaficha data na ukweli sijui kwanini wamekua na hii tabia tokea zamani?
Wanajeshi zaidi ya 500 washauliwa tokea hii vita ianze kwa Hezbollah pekee wanajeshi wa Israel waliokufa kwenye majibizano na Hezbollah tokea tarehe 07 October ni zaidi ya 120!
Hii vita inaenda kumuelemea sana masaa yajayo mbeleni. Nasema haya kwasababu ijumaa Hezbollah watatoa tamko rasmi la kujiunga na hii vita rasmi na wametoa matamko kabisa kuwaambia Israel kuwa mwisho wa kuamua kusitisha mashambulizi ni Ijumaa asubuhi.
Jana Yemen wametangaza kujiunga na hii vita na usiku walirusha makombora kama manne Israel mawili yalilenga shabaha kikamilifu!
Na tunafahamu ukweli kuwa Israel hawezi kusimama mwenyewe, hapo Gaza tu kapewa misaada ya matrilioni ya pesa, silaha za bure na wanajeshi kutoka US na UK lakini bado hajaweza kuteka hata kilometa moja!! Sasa ubora wa hawa watu unatoka wapi?
Jeshi gani hili?Kwa jeshi la anga wapo vizuri sana, hilo nakiri kabisa kuwa Israeli wana jeshi bora la Anga pale Mashariki ya kati!! Lakini jee vipi kuhusu jeshi la nchi kavu?Wanachojua ni kupiga angani tu na kuua wanawake na watoto!!Hivi Hamas wangekua hata na kifaru kimoja au magari ya kijeshi matano tu Telaviv pangekalika?
Hivi mnaosema Israel wana jeshi bora mnalizungumzia jeshi lipi?Wanajeshi wapi hao? Hawa maticktoker na maslay Queen? Israel hajawahi kupigana mwenyewe na hawezi kusimamia vita mwenyewe bila misaada!
Sasa soon atapigana na Hamas, Hezbollah na Answarullah ya Yemen! Hapo ndio ataanza kuzidiwa mwenyewe tu.
Itafika mahali wataomba Ceasefire wao wenyewe tu pale maji yatakapowafika shingoni.
Hamas walivyosema Gaza itageuka makaburi na kuzimu kwa Wazayuni hawakutani!Wanaenda wanajeshi 50 wa Israel Gaza wanarudi 15 sasa si uwendawazimu huo?Wewe unapiganaje vita na watu waliokubuhu kwenye mapigano?
Unajua Israel hii vita itamcost sana na sasa hivi duniani hana support ya jamii yoyote ile katika mitazamo ya watu.
Imagine uungaji wa Palestina kidunia umepanda mpaka 80% kutoka 44% mwaka 2014.
Jana mmeona mkutano wa Bilinkelin umevamiwa na wanaharakati? Soon tutaongea lugha moja tu!! Walijificha nyuma ya media safari hii wanaumbuka mchana kweupe ziko wapi zile story za Hamas beheaded 40 Israel babies?
Nikiwaambia safari hii hadi propaganda zao zimefeli huwa namaanisha kabisa. Sasa dunia imebadilika sana labda waje kuwadanganya baadhi ya wafia taifa lao huku Africa ambao wengi shule na uelewa hamna.
Aibu ambayo Israel ameanza kuipata ni noma tupu subirini Hezbollah wajiunge na hiyo vita ndo Wazayuni watajua hawajui.