T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,924
- 47,173
Hao wavaa suti na wenye vitambi wanaachiwa nafasi mara nyingi. Ila viongozi waandamizi wajazwa sumu ndio hutoa maamuzi magumu ya kuleta hasara. Wale foremen au kitu kama makanali vile jeshini.viongozi wa hamas wengi wapo uturuki na ukimbizini, wanaongea wakiwa mbali mkuu.
Raia wa kawaida ndiyo wanageuzwa kuwa makaratasi ya kuwashia moto.Hao wavaa suti na wenye vitambi wanaachiwa nafasi mara nyingi. Ila viongozi waandamizi wajazwa sumu ndio hutoa maamuzi magumu ya kuleta hasara. Wale foremen au kitu kama makanali vile jeshini.
Dada zake mkuu wa Hamas wanaishi Israel, hata mama mkwe wake alienda kutibiwa moyo Israel. Na ana wajukuu Israel wala wote hao hawaishi kwa kujificha, na huwezi sikia Israel imewateka kwanza wana uraia. Israel haina shida nae sana, kuna politics nyingi. Akitokea kiongozi mgumu kama jiwe Hamas pale haishi muda mrefu anauwawa.
Haniyeh kakaa Gaza muda mrefu ana nyumba za kutosha. Yeye na wenzake wameondoka majuzi tu, makombora hayawahusu wao walishakusanya kodi muda wamejijenga nchi zinazoelewana na Israel. Maskini ndio uko ndio wanajilipua
walikusanya kodi za nyumba zao wakawasha kiberiti wakasema instambul.Hao wavaa suti na wenye vitambi wanaachiwa nafasi mara nyingi. Ila viongozi waandamizi wajazwa sumu ndio hutoa maamuzi magumu ya kuleta hasara. Wale foremen au kitu kama makanali vile jeshini.
Dada zake mkuu wa Hamas wanaishi Israel, hata mama mkwe wake alienda kutibiwa moyo Israel. Na ana wajukuu Israel wala wote hao hawaishi kwa kujificha, na huwezi sikia Israel imewateka kwanza wana uraia. Israel haina shida nae sana, kuna politics nyingi. Akitokea kiongozi mgumu kama jiwe Hamas pale haishi muda mrefu anauwawa.
Haniyeh kakaa Gaza muda mrefu ana nyumba za kutosha. Yeye na wenzake wameondoka majuzi tu, makombora hayawahusu wao walishakusanya kodi muda wamejijenga nchi zinazoelewana na Israel. Maskini ndio uko ndio wanajilipua
Majengo yanaanguswa nimeona clip moja majengo kama ma4 yameangushwa kwa pamoja.Gaza mpaka muda huu bado ipo?
Sasa watu wapo tunisia inasaidia nini.Maandamano ya kusaidia upinzani na watu wa Palestina huko Tunis, mji mkuu
View: https://youtu.be/m2xCOG0gtHELeo jioni Jumamosi, idadi ya wanaharakati wa Kitunisia walifanya mkusanyiko kuunga mkono upinzani wa Palestina na watu wa Palestina, mbele ya ukumbi wa mji wa Tunis.
Wakati upande wa Israel almost viongozi wa nchi wote walikuwa wanajeshi.Raia wa kawaida ndiyo wanageuzwa kuwa makaratasi ya kuwashia moto.
URUSI ingeipiga Ukraine kama Israel inavyopiga waarabu. Ile vita ilikuwa ji ya siku tatu tu.hezbolah wamekimbilia uvunguni, kama unafuatilia, israel imesema imejiandaa na inategemea pia mashambulizi yangetokea upande wa Lebanon, watayajibu kwa nguvu zote. kinachofanyika, ni kibaya sana kwasababu wataifanya palestine na lebanon na nchi za karibu kuwa mapango ya popo, kwasababu israel sio kama mataifa mengine yenye huruma, atawapiga kweli kweli. kama ISIS ambayo ilikuwa karibu tu na israel, just pale syria na iraq n.k haikuigusa israel, kweli hamas au jihadist yeyote atafanya lolote, watachinjwa magaidi hadi waishe.
ilikuwa vita ya wiki moja au mbili tu.URUSI ingeipiga Ukraine kama Israel inavyopiga waarabu. Ile vita ilikuwa ji ya siku tatu tu.
Tofautisha roketi na kombora (missile).kama wamerusha rockets 7,000 na bado israel maisha yanaendelea, unategemea watashinda vita? naona waliamini kuwa wakirusha rockets 7,000 watakuwa wamewasha moto nchi nzima. wengine wakapitia baharini wamechinjwa kama popo.
yap, makombora ndo yanapigwa gaza sasa. na yatapigwa mengi kwelikweli.Tofautisha roketi na kombora (missile).
Yeah, Bennett alikua ni Komandoo, kama alivyokuwa Benjamin Neyanyahu. Maana Netanyahu naye alikua ni kiongozi wa kikosi cha Makomandoo wa IDF.Wakati upande wa Israel almost viongozi wa nchi wote walikuwa wanajeshi.
Nimeona Waziri Mkuu wa zamani, Naftali Bennett kaitikia wito wa mobilization. Ni komandoo wa zamani wa Sayeret Matkar, tuiite Navy Seal's ya Israel
Yeah especially familia zao zilipoanza kuwindwa...
Wanatumia Tanakh hii ni swa na agano la kale la wakristo, lina Torah na vitabu vile vya manabii na wafalmeHawatumii Taurati kwanza! Wanatumia kitabu chao kinaitwa Talmud
Ile series ni hatari sana. Nilimfaham Form kwenye Hit and Run, ya kiyahudi.
Pia Kuna Moja inmaudhui kama ya Fauda ( The girl from Oslo) Binti alitekwa Sasa kundi la ISIS likawa linataka jamaa awafanyie wepesi. Wakati huyo kumbe jamaa alikua hajui kama huyo aliyetekwa ni Binti yake na anatakiwa afanye mipango ya kumuokoa bila mkewe kujua.
View attachment 2774768
Ila haya mambo yasikie tu.
Nawaza raia wa kawaida wa Palestina na Israel Wana Hali Gani wakati huu?