LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
viongozi wa hamas wengi wapo uturuki na ukimbizini, wanaongea wakiwa mbali mkuu.
Hao wavaa suti na wenye vitambi wanaachiwa nafasi mara nyingi. Ila viongozi waandamizi wajazwa sumu ndio hutoa maamuzi magumu ya kuleta hasara. Wale foremen au kitu kama makanali vile jeshini.

Dada zake mkuu wa Hamas wanaishi Israel, hata mama mkwe wake alienda kutibiwa moyo Israel. Na ana wajukuu Israel wala wote hao hawaishi kwa kujificha, na huwezi sikia Israel imewateka kwanza wana uraia. Israel haina shida nae sana, kuna politics nyingi. Akitokea kiongozi mgumu kama jiwe Hamas pale haishi muda mrefu anauwawa.

Haniyeh kakaa Gaza muda mrefu ana nyumba za kutosha. Yeye na wenzake wameondoka majuzi tu, makombora hayawahusu wao walishakusanya kodi muda wamejijenga nchi zinazoelewana na Israel. Maskini ndio uko ndio wanajilipua
 
Raia wa kawaida ndiyo wanageuzwa kuwa makaratasi ya kuwashia moto.
 
walikusanya kodi za nyumba zao wakawasha kiberiti wakasema instambul.
 
Raia wa kawaida ndiyo wanageuzwa kuwa makaratasi ya kuwashia moto.
Wakati upande wa Israel almost viongozi wa nchi wote walikuwa wanajeshi.

Nimeona Waziri Mkuu wa zamani, Naftali Bennett kaitikia wito wa mobilization. Ni komandoo wa zamani wa Sayeret Matkar, tuiite Navy Seal's ya Israel
 
hezbolah wamekimbilia uvunguni, kama unafuatilia, israel imesema imejiandaa na inategemea pia mashambulizi yangetokea upande wa Lebanon, watayajibu kwa nguvu zote. kinachofanyika, ni kibaya sana kwasababu wataifanya palestine na lebanon na nchi za karibu kuwa mapango ya popo, kwasababu israel sio kama mataifa mengine yenye huruma, atawapiga kweli kweli. kama ISIS ambayo ilikuwa karibu tu na israel, just pale syria na iraq n.k haikuigusa israel, kweli hamas au jihadist yeyote atafanya lolote, watachinjwa magaidi hadi waishe.
URUSI ingeipiga Ukraine kama Israel inavyopiga waarabu. Ile vita ilikuwa ji ya siku tatu tu.
 
until now, 200 israelis have been killed. injury tolls is very high on both sides.
 
kama wamerusha rockets 7,000 na bado israel maisha yanaendelea, unategemea watashinda vita? naona waliamini kuwa wakirusha rockets 7,000 watakuwa wamewasha moto nchi nzima. wengine wakapitia baharini wamechinjwa kama popo.
Tofautisha roketi na kombora (missile).
 
Wakati upande wa Israel almost viongozi wa nchi wote walikuwa wanajeshi.

Nimeona Waziri Mkuu wa zamani, Naftali Bennett kaitikia wito wa mobilization. Ni komandoo wa zamani wa Sayeret Matkar, tuiite Navy Seal's ya Israel
Yeah, Bennett alikua ni Komandoo, kama alivyokuwa Benjamin Neyanyahu. Maana Netanyahu naye alikua ni kiongozi wa kikosi cha Makomandoo wa IDF.
Sema Bennett alizingua, wakati wake ndiyo hayo makundi yalijijenga sana.
 
Yeah especially familia zao zilipoanza kuwindwa...

Ile series ni hatari sana. Nilimfaham Form kwenye Hit and Run, ya kiyahudi.

Pia Kuna Moja inmaudhui kama ya Fauda ( The girl from Oslo) Binti alitekwa Sasa kundi la ISIS likawa linataka jamaa awafanyie wepesi. Wakati huyo kumbe jamaa alikua hajui kama huyo aliyetekwa ni Binti yake na anatakiwa afanye mipango ya kumuokoa bila mkewe kujua.
Screenshot_2023-10-07-21-18-00-36_1416f938ee57ce661c832da32616b710.jpg

Ila haya mambo yasikie tu.
Nawaza raia wa kawaida wa Palestina na Israel Wana Hali Gani wakati huu?
 
BREAKING The Hamas surprise attack on Israel has killed at least 200 and wounded 1,100, Israel’s rescue service says — AP
 
doh hawa jamaa tuwaombee tu waache hizi mambo za kuchapana. vita sio nzuri hata kidogo.
 
Ile series ni hatari sana. Nilimfaham Form kwenye Hit and Run, ya kiyahudi.

Pia Kuna Moja inmaudhui kama ya Fauda ( The girl from Oslo) Binti alitekwa Sasa kundi la ISIS likawa linataka jamaa awafanyie wepesi. Wakati huyo kumbe jamaa alikua hajui kama huyo aliyetekwa ni Binti yake na anatakiwa afanye mipango ya kumuokoa bila mkewe kujua.
View attachment 2774768

Ila haya mambo yasikie tu.
Nawaza raia wa kawaida wa Palestina na Israel Wana Hali Gani wakati huu?

Maisha ya hao jamaa ni ya uhasama hata wakiwa nje ya mipaka ya ardhi zao...

Miaka ya nyuma nilipata kusoma chuo ambacho kina Wapalestina kadhaa, sasa kuna intake moja akaja dada Myahudi ila bahati nzuri wadau tunaojua hizi migogoro yao tukamtonya yule Myahudi juu ya uwepo wa 'ndugu zake hao' ili ajue ni namna gani aweze kuepuka mtifuano...ikabidi a lay low tu

Sikuwahi iona hii, shukrani umenipa kitu cha kutazama weekend...
 
Back
Top Bottom