T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Hao wavaa suti na wenye vitambi wanaachiwa nafasi mara nyingi. Ila viongozi waandamizi wajazwa sumu ndio hutoa maamuzi magumu ya kuleta hasara. Wale foremen au kitu kama makanali vile jeshini.viongozi wa hamas wengi wapo uturuki na ukimbizini, wanaongea wakiwa mbali mkuu.
Dada zake mkuu wa Hamas wanaishi Israel, hata mama mkwe wake alienda kutibiwa moyo Israel. Na ana wajukuu Israel wala wote hao hawaishi kwa kujificha, na huwezi sikia Israel imewateka kwanza wana uraia. Israel haina shida nae sana, kuna politics nyingi. Akitokea kiongozi mgumu kama jiwe Hamas pale haishi muda mrefu anauwawa.
Haniyeh kakaa Gaza muda mrefu ana nyumba za kutosha. Yeye na wenzake wameondoka majuzi tu, makombora hayawahusu wao walishakusanya kodi muda wamejijenga nchi zinazoelewana na Israel. Maskini ndio uko ndio wanajilipua