LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Si ndio mda wa nyie waarabu kumnyang'anya ardhi aliyowanyang'anya?
Sasa sisi watanzania utwambia tufanyaje au tukusaidiaje ayatollah?
 
Hata hilo jeshi la anga wanawaonea Palestine tu sababu hawana silaha za kutungulia ndege ngoja hizo ndege zao ziende kushambulia Yemen au Leban kama zitarudi.
Israel inaiogopa Iran kama nini, Iran inao uwezo wa kuifuta Israel kwenye ramani ya dunia.
 
nchi zote 32 hapo za magaidi wa kiislam waungane wote Israel atawachakaza kama kawaida.
 
Kati ya Israel na Hamas nani magaidi........Hamas waliua watu na kuteka huku wakimtaja allah, kuna ugaidi zaidi ya huo........Israel na wenyewe wanayo haki ya kulipiza kisasi na kujilinda huku wakimtaja Mungu wao.
 
Usiniletee nyege mm sina muda na kundu lako maana linanuka.
Lakini ni nyie walewale mnasifia islam kwamba ni dini nzuri na inafundisha maadili mazuri lkn ukiona mnachoandika kweli utaamini kwamba mnafundishwa shari tupu.
 
Pambana na kunyanyua Hali ya uchumi na kuleta maendeleo hapa Kwako mambo ya Israel na Palestine yanawahusu wakubwa wa dunia waliokwisha endelea
 
Tangu tarehe 7 October hadi leo ni siku ngapi kwa Gaza tu? hata kama mitandao inapotosha lakini mazingira huyasomi?
Mitandao itakuambia Israel hawana nguvu tena, kesho utasikia Hamas hawana nguvu tena, kesho kutwa vipigo vinaendelea upande zote mbili
 
Unapokufa muda wako wa kufa unakuwa umetimia tu uwe na dini usiwe nayo ni yaleyale hivyo hizo ni porojo za kidini tu.
 
We si Kuna wenzako humu wanapandisha nyuzi Kila sekunde kuwa Israel inadundwa na Hamas na Yemen huku Iran akioiga jaramba kuwakomesha Waisrael halafu wewe unalialia?
 
Ayatollah unazingua Sasa...
 
Dini ni uwendawazimu na utumwa uliokithiri. Wewe fikiri unampeleka mtoto madrasa kujifunza kiarabu wakati hata neno moja la kimakonde hajui.
 
Mwanamgambo wa Buza kwa Mpalange katika ubora wako
 
We si Kuna wenzako humu wanapandisha nyuzi Kila sekunde kuwa Israel inadundwa na Hamas na Yemen huku Iran akioiga jaramba kuwakomesha Waisrael halafu wewe unalialia?
PUTIN: Hamas hamna akili, unawezaje kuanzisha vita unayojua wazi kabisa kuwa huwezi kushinda? Halafu uliyemvamia akijibu mapigo unaanza kulia Lia usaidiwe?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…