LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Huu ni wakati wa Serikali ya Tanzania kuvunja mahusiano na Israel haraka sana kwa yanayoendelea huko Gaza!!

Huko nyuma tuliwahi kusema kuwa "kila mtu anastahili haki ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake". Pia tulisema kwamba kila watu wana haki ya kuwa na mahali ambapo watakuwa salama kutoka vitisho vyovyote vya utu wao na nafasi yao kama jamaa.

Tokea enzi za Nyerere tuliamini ya kwamba hakuna mwanadamu mwingine ambaye ana haki ya kumtawala kwa nguvu mwanadamu mwingine kwa kisingizio chochote kile. Hii ilikuwa ni falsafa yetu dhidi ya ukoloni.

Leo hii tunashuhudia yanayoendelea Palestina ambapo karibu maelfu ya watu wameshauawa. Je, Bunge linapokutana siku chache zijazo zilaani mauaji hayo? Je, serikali ilaani pande zote mbili kwa kusababisha mazingira ambayo yanamnyima mwanadamu nafasi ya kuwa huru kufanya lolote? Tunapaswa tuungane na nchi nyingine mfano Bolivia ambazo zimevunja uhusiano na Israel kutokana na suala la Gaza

Hatuwezi kuendelea kulisapoti taifa la kigaidi ambalo lina mchango mkubwa wa ubaguzi wa Rangi na.ambalo limeshiriki kuwaangamiza Waafrika wengi mfano wakati wa makaburi walitoa misaada ya kila aina kwa makaburu ili waendelee kuwauwa watu weusi kule Africa ya kusini bado zile cases za waafrika waethiopia kufungwa vizazi wasizae kwa nguvu!

Kwa yanayoendelea naiomba serikali ivunje uhusiano mara moja na huu utawala katili wa Israel View attachment 2799632View attachment 2799631View attachment 2799633View attachment 2799634
haipo sababu msingi kufanya hivyo
 
tatizo lake anaua raia na watoto ovyo ovyo hakuna atakayelalamika akiua Hamas
Hamas hao utawatofautishaje na raia wakati hata sare hawana na wanajificha miongoni mwa raia sasa kwa nini raia wasiuwawe wakati risasi haitofautishi raia na magaidi wa Hamas.
 
Idadi ya wanajeshi wao waliokufa jana tu ni zaidi ya 70 lakini wanaficha data na ukweli sijui kwanini wamekua na hii tabia tokea zamani?

Wanajeshi zaidi ya 500 washauliwa tokea hii vita ianze kwa Hezbollah pekee wanajeshi wa Israel waliokufa kwenye majibizano na Hezbollah tokea tarehe 07 October ni zaidi ya 120!

Hii vita inaenda kumuelemea sana masaa yajayo mbeleni. Nasema haya kwasababu ijumaa Hezbollah watatoa tamko rasmi la kujiunga na hii vita rasmi na wametoa matamko kabisa kuwaambia Israel kuwa mwisho wa kuamua kusitisha mashambulizi ni Ijumaa asubuhi.

Jana Yemen wametangaza kujiunga na hii vita na usiku walirusha makombora kama manne Israel mawili yalilenga shabaha kikamilifu!

Na tunafahamu ukweli kuwa Israel hawezi kusimama mwenyewe, hapo Gaza tu kapewa misaada ya matrilioni ya pesa, silaha za bure na wanajeshi kutoka US na UK lakini bado hajaweza kuteka hata kilometa moja!! Sasa ubora wa hawa watu unatoka wapi?

Jeshi gani hili?Kwa jeshi la anga wapo vizuri sana, hilo nakiri kabisa kuwa Israeli wana jeshi bora la Anga pale Mashariki ya kati!! Lakini jee vipi kuhusu jeshi la nchi kavu?Wanachojua ni kupiga angani tu na kuua wanawake na watoto!!Hivi Hamas wangekua hata na kifaru kimoja au magari ya kijeshi matano tu Telaviv pangekalika?

Hivi mnaosema Israel wana jeshi bora mnalizungumzia jeshi lipi?Wanajeshi wapi hao? Hawa maticktoker na maslay Queen? Israel hajawahi kupigana mwenyewe na hawezi kusimamia vita mwenyewe bila misaada!

Sasa soon atapigana na Hamas, Hezbollah na Answarullah ya Yemen! Hapo ndio ataanza kuzidiwa mwenyewe tu.

Itafika mahali wataomba Ceasefire wao wenyewe tu pale maji yatakapowafika shingoni.

Hamas walivyosema Gaza itageuka makaburi na kuzimu kwa Wazayuni hawakutani!Wanaenda wanajeshi 50 wa Israel Gaza wanarudi 15 sasa si uwendawazimu huo?Wewe unapiganaje vita na watu waliokubuhu kwenye mapigano?

Unajua Israel hii vita itamcost sana na sasa hivi duniani hana support ya jamii yoyote ile katika mitazamo ya watu.

Imagine uungaji wa Palestina kidunia umepanda mpaka 80% kutoka 44% mwaka 2014.

Jana mmeona mkutano wa Bilinkelin umevamiwa na wanaharakati? Soon tutaongea lugha moja tu!! Walijificha nyuma ya media safari hii wanaumbuka mchana kweupe ziko wapi zile story za Hamas beheaded 40 Israel babies?

Nikiwaambia safari hii hadi propaganda zao zimefeli huwa namaanisha kabisa. Sasa dunia imebadilika sana labda waje kuwadanganya baadhi ya wafia taifa lao huku Africa ambao wengi shule na uelewa hamna.

Aibu ambayo Israel ameanza kuipata ni noma tupu subirini Hezbollah wajiunge na hiyo vita ndo Wazayuni watajua hawajui.

Sawa acha vita vipiganwe!
 
Hamas hao utawatofautishaje na raia wakati hata sare hawana na wanajificha miongoni mwa raia sasa kwa nini raia wasiuwawe wakati risasi haitofautishi raia na magaidi wa Hamas.
Israel ni magaidi kama walivyo Hamas magaidi
 
Usije kurudi tena kulaumu kwamba wanaua watoto na wanawake sawa?.. usije kuanza kulialia kwamba gaza hawana chakula

Sent from my TECNO CK6 using JamiiForums mobile app
 
Hezbollah has reportedly carried out attacks on an Israel surveillance tower located near the Lebanese border.

This is yet another example of the daily targeting by Hezbollah on Israeli cameras, radars, and surveillance equipment.
 
Attachments

  • IMG_5664.jpeg
    IMG_5664.jpeg
    38.7 KB · Views: 1
  • IMG_5663.jpeg
    IMG_5663.jpeg
    18.9 KB · Views: 3
Hezbollah kapiga rada za Israel na wamesema wametoa muda mpaka
ijumaa kama Israel ataendelea kuishambulia Gaza basi wanaingia rasmi mzigoni.
 
Idadi ya wanajeshi wao waliokufa jana tu ni zaidi ya 70 lakini wanaficha data na ukweli sijui kwanini wamekua na hii tabia tokea zamani?

Wanajeshi zaidi ya 500 washauliwa tokea hii vita ianze kwa Hezbollah pekee wanajeshi wa Israel waliokufa kwenye majibizano na Hezbollah tokea tarehe 07 October ni zaidi ya 120!

Hii vita inaenda kumuelemea sana masaa yajayo mbeleni. Nasema haya kwasababu ijumaa Hezbollah watatoa tamko rasmi la kujiunga na hii vita rasmi na wametoa matamko kabisa kuwaambia Israel kuwa mwisho wa kuamua kusitisha mashambulizi ni Ijumaa asubuhi.

Jana Yemen wametangaza kujiunga na hii vita na usiku walirusha makombora kama manne Israel mawili yalilenga shabaha kikamilifu!

Na tunafahamu ukweli kuwa Israel hawezi kusimama mwenyewe, hapo Gaza tu kapewa misaada ya matrilioni ya pesa, silaha za bure na wanajeshi kutoka US na UK lakini bado hajaweza kuteka hata kilometa moja!! Sasa ubora wa hawa watu unatoka wapi?

Jeshi gani hili?Kwa jeshi la anga wapo vizuri sana, hilo nakiri kabisa kuwa Israeli wana jeshi bora la Anga pale Mashariki ya kati!! Lakini jee vipi kuhusu jeshi la nchi kavu?Wanachojua ni kupiga angani tu na kuua wanawake na watoto!!Hivi Hamas wangekua hata na kifaru kimoja au magari ya kijeshi matano tu Telaviv pangekalika?

Hivi mnaosema Israel wana jeshi bora mnalizungumzia jeshi lipi?Wanajeshi wapi hao? Hawa maticktoker na maslay Queen? Israel hajawahi kupigana mwenyewe na hawezi kusimamia vita mwenyewe bila misaada!

Sasa soon atapigana na Hamas, Hezbollah na Answarullah ya Yemen! Hapo ndio ataanza kuzidiwa mwenyewe tu.

Itafika mahali wataomba Ceasefire wao wenyewe tu pale maji yatakapowafika shingoni.

Hamas walivyosema Gaza itageuka makaburi na kuzimu kwa Wazayuni hawakutania kabisa kwani Wanaenda wanajeshi 50 wa Israel Gaza wanarudi 15 sasa si uwendawazimu huo?Wewe unapiganaje vita na watu waliokubuhu kwenye mapigano?

Unajua Israel hii vita itamcost sana na sasa hivi duniani hana support ya jamii yoyote ile katika mitazamo ya watu.

Imagine uungaji wa Palestina kidunia umepanda mpaka 80% kutoka 44% mwaka 2014.

Jana mmeona mkutano wa Bilinkelin umevamiwa na wanaharakati? Soon tutaongea lugha moja tu!! Walijificha nyuma ya media safari hii wanaumbuka mchana kweupe ziko wapi zile story za Hamas beheaded 40 Israel babies?

Nikiwaambia safari hii hadi propaganda zao zimefeli huwa namaanisha kabisa. Sasa dunia imebadilika sana labda waje kuwadanganya baadhi ya wafia taifa lao huku Africa ambao wengi shule na uelewa hamna.

Aibu ambayo Israel ameanza kuipata ni noma tupu subirini Hezbollah wajiunge na hiyo vita ndo Wazayuni watajua hawajui.
Sawa. Ila kumbushushaneni nyie Wapalestina wa Mchambawima kuacha kulialia kwenye nyuzi zengine.
 
Worship at a Catholic Church in Gaza is interrupted by an Israeli TERROR BOMBING.

🇮🇱 No Christian can support ZIONIST TERRORISM!
Labda hawa wa hapa kwetu Kimara.
 
Israel ilikuzwa sana, nikiona Russia alichofanya BAKHAMUT basi naona jeshi la Israel hamna kitu, jeshi linapigana nawatu wasio hata na Ndege Moja Wala msaada kutoka kokote lakini mpaka Sasa mwezi unakaribia lakini wameshindwa ichukua Gaza.
Hayo mahandaki yaliyo chini ya hospital, shule, na makazi ya watu unadhani ni rahisi kwenda kuwafukua wavaa pedo huko?..
 
Lakini ni nyie walewale mnasifia islam kwamba ni dini nzuri na inafundisha maadili mazuri lkn ukiona mnachoandika kweli utaamini kwamba mnafundishwa shari tupu.
Ukija kistarabu utajibiwa kistarabu ukija kishari utajibiwa kishari hivyo.
 
Mbwembwe nyingi ila safari hii wanaolia tunawajua alafu yule wanaemtaja taja wakishambulia hata hawasaidii😂😂😂
 
Hezbollah kapiga rada za Israel na wamesema wametoa muda mpaka
ijumaa kama Israel ataendelea kuishambulia Gaza basi wanaingia rasmi mzigoni.
Bila shaka kufika tarehe 10 Nov Israel itakuwa imefutwa kwenye ramani, wapalestina wataichukua ardhi yao, Allah atakuwa ameshinda!!! Takbiirrrr
 
Hakuna katika majeshi imara mashariki ya kati ni Egypt pamoja Syria. Walichokipata kwa Israel wanajua. Mpaka leo Eneo Sinai ni la Egypt lakini lilikaliwa Israel na alishindwa kulikomboa yakafanyika mazungumzo likarejeshwa kwa makubaliano kuwa Egypt isijaribu kuingia vitani na Israel vinginevyo Sinai Peninsula itakaliwa tena na Israel. Eneo la Golan heights iko Syria lakini limekaliwa na Israel mpaka sasa.
Nchi zenye majeshi imara zimeshindwa kukomboa maeneo yao hao wanamgambo wanaweza kuwa tishio kwa Israeli. Sana sana wanachoweza ni kufanya fujo tu...
Kwamba Israel alimchapa Egpty ama Vice versa is True? Moja ya Sababu ya Saadat kuuliwa ni kutoimaliza Israel, Yom kipur Israel Alichapika Vibaya mno akatishia Kulipua Nyuklia ndio Usa Akaingilia kati kupatanisha.
 
Hivi mnaosema Israel wana jeshi bora mnalizungumzia jeshi lipi? Wanajeshi wapi hao? Hawa maticktoker na maslay Queen? Israel hajawahi kupigana mwenyewe na hawezi kusimamia vita mwenyewe bila misaada!
Kwani wewe ulitamani mpigane na jeshi la namna gani mkuu ambalo mngemaliza vita ndani ya masaa tu
 
Kwamba Israel alimchapa Egpty ama Vice versa is True? Moja ya Sababu ya Saadat kuuliwa ni kutoimaliza Israel, Yom kipur Israel Alichapika Vibaya mno akatishia Kulipua Nyuklia ndio Usa Akaingilia kati kupatanisha.
Isarael anaenda kupotezwa
Takbiirrr
 
Kazi iliyofanywa na Yemen hii hapa.
 
Attachments

  • 5527140-fb2df0b9d2b7557cd900826b20b94a99.mp4
    7.2 MB
Back
Top Bottom