LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Umesema mkuu, najiuliza mno strategy ya Hamas ilikua ipi.....Maana kinachoelekea Gaza, hasa upande wa Kaskazini itakuwa magofu, Na Israel itaikalia muda mrefu, Idadi ya Wapelestine wanaokufa kila kukicha inatisha.
Gaza 80% Umeme unatoka Israel, Wapelestine wengi ajira yao iko Israel, ukiwazuia kuingia ni maumivu makubwa kwa Wapelestine......anyway tusibiri tuone mwisho wake....Maana naona kilichotekea 1967 na 1973 kinatokea tena.....Hamas imerudisha mno jitihada zake za kupigania haki yake......Wataanza moja tena.
Ukweli ndiyo huo.
 
Nakumbusha tu, hiyo ni vita inapiganwa sio kwamba hamasi wamekaa kimya ndio maana hawawaachi mateka. Shida ni uwanja umeinama. Iran waliowashawishi hamas waanzishe hawaoni waanzie wapi au waendelee wapi.
 
Tulieni ,vita haijaanza na kama mnadandia habari za cnn na aljazeela mtaburuzwa tu, tafuta chaneli za al manara au almadaayen sema zinanipa shida kwa lugha ila picha nazifahamu kama ninavyofahamu michezo ya kihindi,ila kuna ukweli mtupu ,na mpaka leo hamjajiuliza kwa nini mziraeli anapiga mabomu kwa hazira ???
Kusema ukweli wajeshi waziraeli wanapigwa vibaya sana sana na vifaru vyao vinakatwa pembe ,ndio mkaona ana hasira ,yaani mjeshi wa miguu anaeingia geza ulole basi hatoki.
😁😁😁😁😁
Kama lugha inakupa shida wakati ipo kwenye Quran.
Unajua kusoma Quran kweli au mpk unasubiri shekh akusomee na akutafsrie?
Kitendo cha wapelestina kuteka raia wetu, wapigwe kipigo cha mbwa koko
 
Nakumbusha tu, hiyo ni vita inapiganwa sio kwamba hamasi wamekaa kimya ndio maana hawawaachi mateka. Shida ni uwanja umeinama. Iran waliowashawishi hamas waanzishe hawaoni waanzie wapi au waendelee wapi.

Mkuu Hamas haijakaa kimya kabisa, lakini kadri kukicha katika vita hii sasa hivi, ni nini hasa anacho gain militarily..... Ni uharibifu gani mkubwa anaoufanya kwa Israe sasa hivi .....So far idadi ya Askari ya askari wa Israel wanaokufa Gaza bado haijawa ni tishio, na inaonekana wameisha piga kambi ndani ya Gaza.

Ni kweli Kete Ngumu, Iran ndio nguvu ya Hamas, hiyo inajulikana, lakini swala la kujiuliza Iran iko tayari kwa vita wakati huu? Kitendo cha Marekani kupeleka Manowari zake kama USS Eisenhower na USS Marion huko, kila mtu anajua sio kwa ajili ya HAMAS...ni ujumbe kwa Iran. Sidhani Iran inataka direct confrontation na US na washirika wake sasa hivi, Iko siku lakini sidhani kama ni wakati huu. Kumpiga Mmarekani ( Sisemi haiwezekani) ni kitu cha kujipanga hasa, ukijua ana washirika wake, na njia rahisi kabisa ni Iran kuanza kuipiga direct Israel, na wala hata sio kuitumia Hamas. Hizo ndio speculations tunadhani zitatokea mbeleni. Maybe Vita vya tatu vya dunia.

Kwa kifupi muda utasema kwa pande zote mbili, Israel inapewa pressure za kimataifa iache mashambulizi kwa sababu ya raia wanaokufa Palestine, na ina pressure nyumbani pia kwamba mashambulizi hayo yataua Mateka, Na Hamas pia ina pressure toka Qatar na baadhi ya Waarabu kua iachie mateka, gharama wanayolipa raia wa kawaida wa Palestine ni kubwa sana. Tusubiri muda uongee.
 
Wana JF mnamjua CP, kwa wakati wako unaweza sikiliza YouTube jinsi anavyochambua siasa za mashariki ya kati. Hapa chini anachambua UNAFIKI wa Waislam kuhusiana na suala la Palestina. Je mlipata kujua kuwa Quran yao yenyewe inasema kuwa Allah favors the Jews more than any mankind and jinni? Quran 2:47 Je mlipata kujua kuwa Allah aliwaambia Waisrael kuingia nchi ya ahadi aliyowatengea na wasirudi nyuma ama sivyo watakuwa losers Quran 5:21. Haya maandiko yote viongozi wao hawaonyeshi.
Hii video clip ni ndefu kidogo lakini nakuhakikishia kuwa baada ya kuiangalia itakufungua uelewa wako sana

View: https://www.youtube.com/live/ilL3AgMts74?si=yYKY-vtIv9lZTTcE
 
Wasabato mna matatizo sana ..
Insider nikwambie kitu? Tunaishi nyakati mbaya sana ambapo Shetani kwa kupitia Agents wake hapa Duniani anafanya kazi ya ziada akiwa kama Simba soma 1 Peter 5:8 kwa bahati mbaya sana Allah ndiye yule Shetani MKUBWA mwenyewe. No wonder, utashitushwa na kinachoendelea nchi za Magharibi baada ya Uvamizi wa Hamas huko Israel na mauaji na ubakaji waliofanya. Sasa siyo wakati wa kunyoosheana vidole wale wote mnaoamini Mungu wa Kweli na Yule Yesu wa kweli wa Biblia aliye mwana wa Mungu. Hawa Waislam siasa kali wakimalizana na Israel watakuja kwenu kama wakiristo bila kujali dhehebu lenu, wakimaliza hapo watenda kwa wahindu nakadhalika
Agenda yao ni kubwa na ya kutisha kinyume na mnavyofikiri
 
Attachments

  • F9zU4lrXUAEfLFd.jpeg
    F9zU4lrXUAEfLFd.jpeg
    79.8 KB · Views: 4
  • F9Ojc4VagAEb5Ef.png
    F9Ojc4VagAEb5Ef.png
    147.2 KB · Views: 2
  • F8YRDZAWYAEw3h9.jpeg
    F8YRDZAWYAEw3h9.jpeg
    145.9 KB · Views: 2
  • F8EctIkbsAAvAAM.jpeg
    F8EctIkbsAAvAAM.jpeg
    86.6 KB · Views: 1
Pope aliyeruhusu LGBTQ?

Kanisa ni moyo wako mkuu hayo majengo achana nayo soma ufunuo vizuri.
Insider nikwambie kitu? Tunaishi nyakati mbaya sana ambapo Shetani kwa kupitia Agents wake hapa Duniani anafanya kazi ya ziada akiwa kama Simba soma 1 Peter 5:8 kwa bahati mbaya sana Allah ndiye yule Shetani MKUBWA mwenyewe. No wonder, utashitushwa na kinachoendelea nchi za Magharibi baada ya Uvamizi wa Hamas huko Israel na mauaji na ubakaji waliofanya. Sasa siyo wakati wa kunyoosheana vidole wale wote mnaoamini Mungu wa Kweli na Yule Yesu wa kweli wa Biblia aliye mwana wa Mungu. Hawa Waislam siasa kali wakimalizana na Israel watakuja kwenu kama wakiristo bila kujali dhehebu lenu, wakimaliza hapo watenda kwa wahindu nakadhalika
Agenda yao ni kubwa na ya kutisha kinyume na mnavyofikiri
 
Wana JF mnamjua CP, kwa wakati wako unaweza sikiliza YouTube jinsi anavyochambua siasa za mashariki ya kati. Hapa chini anachambua UNAFIKI wa Waislam kuhusiana na suala la Palestina. Je mlipata kujua kuwa Quran yao yenyewe inasema kuwa Allah favors the Jews more than any mankind and jinni? Quran 2:47 Je mlipata kujua kuwa Allah aliwaambia Waisrael kuingia nchi ya ahadi aliyowatengea na wasirudi nyuma ama sivyo watakuwa losers Quran 5:21. Haya maandiko yote viongozi wao hawaonyeshi.
Hii video clip ni ndefu kidogo lakini nakuhakikishia kuwa baada ya kuiangalia itakufungua uelewa wako sana

View: https://www.youtube.com/live/ilL3AgMts74?si=yYKY-vtIv9lZTTcE

Mbona una uongo ? sio Allah favours the Jew bali ni Allah favoured....
 
Insider nikwambie kitu? Tunaishi nyakati mbaya sana ambapo Shetani kwa kupitia Agents wake hapa Duniani anafanya kazi ya ziada akiwa kama Simba soma 1 Peter 5:8 kwa bahati mbaya sana Allah ndiye yule Shetani MKUBWA mwenyewe. No wonder, utashitushwa na kinachoendelea nchi za Magharibi baada ya Uvamizi wa Hamas huko Israel na mauaji na ubakaji waliofanya. Sasa siyo wakati wa kunyoosheana vidole wale wote mnaoamini Mungu wa Kweli na Yule Yesu wa kweli wa Biblia aliye mwana wa Mungu. Hawa Waislam siasa kali wakimalizana na Israel watakuja kwenu kama wakiristo bila kujali dhehebu lenu, wakimaliza hapo watenda kwa wahindu nakadhalika
Agenda yao ni kubwa na ya kutisha kinyume na mnavyofikiri
Yaani Mimi sipo kote huko..mi naishi tu ndugu yangu....... Na Mimi sio insider..... Nikishajitoa huko katika maimaninya kuletwa...
 
Back
Top Bottom