LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Kweli Mzee hata yyesu alikua shoga akawa na mabwana zake kumi na mbili wakimla mzigo mpka wayahudi wakaona hili shoga lisituletee ushetani wakaliua. Sasa hiv mashoga wezake wanalipigania choko mwezoa ndio maana mnabahashina kwenye makanisa mbw* nyinyi lahana imewajaa na yesu wenu hanis*
 
Wewe ni kipofu na mtumwa mwema wa Mzungu. Jikomboe fikra zako ndg. Please have a free mind. Ukikubali kuendelea kuwa mtumwa hata hiyo mbingu unayoiwaza hautafika maana hujali hata haki za kuishi za watoto wa Palestine.
 
Lakini mnatuambia Yesu Ni muislamu na alitumwa na Allah.
 
Gaidi mwingine wa Hamas,kiongozi wa makombora ya kushambulia vifaru na magari ya Deraya(Anti -tank & armored vehicles missiles) ,aelekezwa Jongomeo kwenda kupokea mabikira 72🤔
 
Sina muda wa kubishana na islamist.
Mimi Mr evidence, huwa nawakamataga watu wengi wanapofanya udanganyifu na upotoshaji ndio maana nakimbiwa coz wanajua huyu mwamba huwa akikosa mahali lazima awe na evidence na ukijaribu kushindana utadhalilika na kuonekana mjinga kama mwenzako Marco Polo alivyonikimbia baada ya kumpa KO kali.

Umefanya busara kubwaga manyanga maana ungeendelea ungekuja kudhalilika vibaya mno.
 
Lakini mnatuambia Yesu Ni muislamu na alitumwa na Allah.
Mkuu achana na huyo asiyejitambua hata kidogo. Alichokiandika ni matope tu. Kwa maana hata kama sheikh wake akisoma hiki alichokiandika, anajua huyu ni maamuma na sheitwani kabisa.
 
Jameni kama kuna siku Wapalestina watarudi Gaza lazima watakua na ugomvi baina yao maana panaendelea kugeuzwa shamba, itagua vigumu kujua mipaka ya viwanja vya watu, ulikua ujinga sana kuichokoza Israel.

Israeli troops operate inside the Gaza Strip on November 1, 2023. (IDF)

IDF Spokesman Rear Adm. Daniel Hagari says ground forces have broken through Hamas’s front lines of defense in the northern Gaza Strip.

“The ground operation is progressing as planned,” he says. “With advance planning, precise intelligence, and joint attacks [from the land, air, and sea], our forces broke through Hamas’s front lines of defense in the north of the Gaza Strip,” Hagari says.

Times of Israel
 
Kuna ushahidi kwamba Hamas wanapora petrol kwenye hospital Huko Gaza 🤔
Mytake:UN wanadai Gaza ipelekewe misaada ya kibinadamu ikiwemo petrol,wanataka kuwanufaisha Hamas?
.....
 
Wewe tatizo lako unaandika kiushabiki ulio jaa chuki dhidi ya Dini zingine.......wa Kenya wengi hawanaga upuuzi wako economic oriented tafauti na wewe, wewe ni mpuuzi sana hazijengi au kuelimisha mtu zaidi ya kueneza chuki tu.
 
Wewe tatizo lako unaandika kiushabiki ulio jaa chuki dhidi ya Dini zingine.......wa Kenya wengi hawanaga upuuzi wako economic oriented tafauti na wewe, wewe ni mpuuzi sana hazijengi au kuelimisha mtu zaidi ya kueneza chuki tu.

Jamaa anachuki sana huyu
 
Wewe tatizo lako unaandika kiushabiki ulio jaa chuki dhidi ya Dini zingine.......wa Kenya wengi hawanaga upuuzi wako economic oriented tafauti na wewe, wewe ni mpuuzi sana hazijengi au kuelimisha mtu zaidi ya kueneza chuki tu.
Dini! Mbona sioni aliposema dini! Au kwako wewe Hamas ni dini,i think no,.
Israel ni dini! Hapana ,au wewe ndo unaona haya machafuko ni ya kidini?
 
Israel imevuka defensive line iliyokuwa na vizuizi kama mines na firing positions za anti tank missiles. Haijavunja ngome zile hazikuwa ngome.

Ila kwa muendelezo wao natarajia kufikia kesho asubuhi watakuwa wameitenga North Gaza na Gaza nyingine. Jana walibakiza 3km kuitenga, leo walikuwa wamebakiza kama 1km waungane upande wa ufukweni. North Gaza ikiwa cut off hakuna kitu kitaingia na kutoka bila IDF kujua unless maandaki yaliyosalia yatumike.

After that, wanajeshi wanajaa hapo N. Gaza then next move itapangwa wanaelekea wapi. Nilitarajia resistance kubwa ya Hamas ila sijaona, pendekezo la Marekani la kutaka IDF ifanye movements ndogondogo taratibu naona linafanya kazi. Hamas ni kama waitarajia makumi ya maelfu ya wanajeshi kwa pamoja waingie.

North Gaza ndio ina miundombinu mingi ya mortars, rockets zenye range ndogo na ATGM. Khan Younis kuna makazi mengi pamebanana zaidi. Rafah hamna silaha kabisa uko
 
Ila jua kuwa Mungu wa kweli hayupo kwa waislam wala wayahudi.
Wote hawa wameukataa ukweli na kupungukiwa Neema ya Mungu.
Hawa ni watu wamachafuko
 
👉Uzi umejaa chuki tupu sishangai kuona Kenya ukabila hauishi.

👉Wewe jamaa huko kwenu Kenye hakuna forums mpaka kutwa ushinde forums za bongo unasambaza chuki na kushabikia vita

👉Kwa taarifa yako unayoyaona hapa jukwaani siyo yaliopo mtaani. Tanzania watu wa dini zote tumaheshimiana na kuishi kwa upendo lengo lako la chuki halitofanikiwa chuki zako peleka kwenu Kenya
 
Picture[emoji1313][emoji1313]Elderly Palestinian couple look at their house that they were kicked out of which is now inhabited by settlers from Brooklyn.

Hawa wapumbavu wangeletwa Uganda sahizi TZ na Kenya zisingekuwepo maana wangekua washachukua ardhi wakidai wana agano na Mungu upumbavu mtupu hadithi za kwenye makaratasi hizo hazina mashiko yoyote .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…