Jeshi la Mungu?[emoji13][emoji13][emoji13][emoji23][emoji23][emoji23]hebu acha matusi bhanaUna uwezo gani kupambana na majeshi ya Mungu?
Porojo gani kusoma hujui hata picha huoni?
Kila alilolifanya si kwa nguvu zake Bali aliyemtumaUpo serious kweli?
Yesu hakutoa mapepo?
Yesu hakufufua wala kuponya?
Atasema vipi kwa jina la Yesu wakati yeye ndiye?View attachment 2801294
Ametoa taarifa kama Hali halisi ilivyo..ww ulitakaje Kwan?Wewe tatizo lako unaandika kiushabiki ulio jaa chuki dhidi ya Dini zingine.......wa Kenya wengi hawanaga upuuzi wako economic oriented tafauti na wewe, wewe ni mpuuzi sana hazijengi au kuelimisha mtu zaidi ya kueneza chuki tu.
Unaamini hiyo misaada anayopewa Israel ni ya bure?Hayo ni malipo ya utaalamu na teknolojia aliyonayo.Hamas wengi waliogopa kwenda shule wamewekeza kwenye kusambaza dini kwa mtutu wa bunduki angali wenzao wamewekeza kwenye tafiti katika kila nyanja.Israel atashinda na sababu ziko wazi, ni support kubwa sana kutoka USA( Tech USA anapiga vita) lakini unajuliza, hivi hawa Hamas ndio wangekuwa kama ni nchi au tuseme wana silaha na jeshi kama nchi na pesa au tuseme wangekuwa na 50% ya resource za Israel hii vita ingekuwaje? kwa sasa ni kama boxing basi heavyweight kapanda ulingozi na Featherweight ila wako round ya 3. Israel and pewa pesa, misaada mikubwa ya kijeshi na mpaka ulinzi ila hawa Hamas wana watu yaani wapiganaji na mshujaa. Hii vita ndani ya Ghaza ina maafa makubwa sana kuliko ushabiki wetu humu, Nentanyau emekiri kisha waandaa wa Israel, hii vita ndefu na gharama itakuwa kubwa kimali na hasara ya binadamu. Kazi bado haijaanza.
Mkuu usjli ukiwa na mipaka hakuna MTU anaweza kukushambulia.Tujitahidi kuvumiliana wajameni.
Lugha za staha ni muhimu.
Pia, usijibizane na mpumbavu maana mwisho wa siku nawe utafanana.
Hao jamaa sio wazembe hata Mossad isingelala. Bila kuwapiga kijeshi utawalaumu Mossad bure.Mossad ililala sana hadi hao jamaa wakajipanga hivyo, baada ya vita kuna kashkash kibao zitatokea
Yeye ameripoti kama ilivyoandikwa wewe unamtukana.Hivi ndivyo mnafundishwa kwenye dini yenu?Wewe tatizo lako unaandika kiushabiki ulio jaa chuki dhidi ya Dini zingine.......wa Kenya wengi hawanaga upuuzi wako economic oriented tafauti na wewe, wewe ni mpuuzi sana hazijengi au kuelimisha mtu zaidi ya kueneza chuki tu.
Sawa kabisa!Kila alilolifanya si kwa nguvu zake Bali aliyemtuma
Na nchi yako inayo pokea misaada kutoka kwa wazungu ni malipo ya nn?Unaamini hiyo misaada anayopewa Israel ni ya bure?Hayo ni malipo ya utaalamu na teknolojia aliyonayo.Hamas wengi waliogopa kwenda shule wamewekeza kwenye kusambaza dini kwa mtutu wa bunduki angali wenzao wamewekeza kwenye tafiti katika kila nyanja.
Siyo kiushabiki, bali moyo wako haukubaliani na ukweli, habari hii haijakifurasha hata kidogo.Wewe tatizo lako unaandika kiushabiki ulio jaa chuki dhidi ya Dini zingine.......wa Kenya wengi hawanaga upuuzi wako economic oriented tafauti na wewe, wewe ni mpuuzi sana hazijengi au kuelimisha mtu zaidi ya kueneza chuki tu.
Acha uongo bwana, watanzania gani wanapendana wakati kuna video hapo juu Wapemba wanapinga ujenzi wa kanisa pemba kwani pemba ni Kenya au ni Uganda.👉Uzi umejaa chuki tupu sishangai kuona Kenya ukabila hauishi.
👉Wewe jamaa huko kwenu Kenye hakuna forums mpaka kutwa ushinde forums za bongo unasambaza chuki na kushabikia vita
👉Kwa taarifa yako unayoyaona hapa jukwaani siyo yaliopo mtaani. Tanzania watu wa dini zote tumaheshimiana na kuishi kwa upendo lengo lako la chuki halitofanikiwa chuki zako peleka kwenu Kenya
mbona hujaainisha upuuz wake ? nahisi ww ndo utakuwa mpuuzWewe tatizo lako unaandika kiushabiki ulio jaa chuki dhidi ya Dini zingine.......wa Kenya wengi hawanaga upuuzi wako economic oriented tafauti na wewe, wewe ni mpuuzi sana hazijengi au kuelimisha mtu zaidi ya kueneza chuki tu.
kwamba ni marekan tu ndo kuwamzungumzia vibaya?Jamaa anachuki sana huyu
Keyword: ImeloaAcha uongo bwana, watanzania gani wanapendana wakati kuna video hapo juu Wapemba wanapinga ujenzi wa kanisa pemba kwani pemba ni Kenya au ni Uganda.
Tatizo watu ni wanafiki sana, utamtambuaje mtu humu kwa utaifa wake? Kwa hiyo wewe unachotaka kuona humu ni kila moja kuiunga mkono Hamas, wewe mbona hujalazimishwa kuiunga mkono Israel..?? Very hopeless.
Narudia tena. Watanzania hatupo hivyo masaa 24 unashabikia vita mara Urusi mara wapi. Hizi chuki zako zinawakilisha jinsi gani wakenya walivyo jamii ya hovyo na chuki za ukabila.Unaongea kuhusu chuki, hivi haya maandamano ya waislamu kupinga ujenzi wa kanisa yalifanyika nchi gani, hii ni chuki ya aina gani yaani
View: https://www.youtube.com/watch?v=pcwvILodCKM
Gaza inageuzwa kifusiIsrael imevuka defensive line iliyokuwa na vizuizi kama mines na firing positions za anti tank missiles. Haijavunja ngome zile hazikuwa ngome.
Ila kwa muendelezo wao natarajia kufikia kesho asubuhi watakuwa wameitenga North Gaza na Gaza nyingine. Jana walibakiza 3km kuitenga, leo walikuwa wamebakiza kama 1km waungane upande wa ufukweni. North Gaza ikiwa cut off hakuna kitu kitaingia na kutoka bila IDF kujua unless maandaki yaliyosalia yatumike.
After that, wanajeshi wanajaa hapo N. Gaza then next move itapangwa wanaelekea wapi. Nilitarajia resistance kubwa ya Hamas ila sijaona, pendekezo la Marekani la kutaka IDF ifanye movements ndogondogo taratibu naona linafanya kazi. Hamas ni kama waitarajia makumi ya maelfu ya wanajeshi kwa pamoja waingie.
North Gaza ndio ina miundombinu mingi ya mortars, rockets zenye range ndogo na ATGM. Khan Younis kuna makazi mengi pamebanana zaidi. Rafah hamna silaha kabisa uko
View attachment 2801186