LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Una uwezo gani kupambana na majeshi ya Mungu?
Jeshi la Mungu?[emoji13][emoji13][emoji13][emoji23][emoji23][emoji23]hebu acha matusi bhana
Screenshot_20231026-150530.jpg
 
Wewe tatizo lako unaandika kiushabiki ulio jaa chuki dhidi ya Dini zingine.......wa Kenya wengi hawanaga upuuzi wako economic oriented tafauti na wewe, wewe ni mpuuzi sana hazijengi au kuelimisha mtu zaidi ya kueneza chuki tu.
Ametoa taarifa kama Hali halisi ilivyo..ww ulitakaje Kwan?
 
Tujitahidi kuvumiliana wajameni.

Lugha za staha ni muhimu.

Pia, usijibizane na mpumbavu maana mwisho wa siku nawe utafanana.
 
Israel atashinda na sababu ziko wazi, ni support kubwa sana kutoka USA( Tech USA anapiga vita) lakini unajuliza, hivi hawa Hamas ndio wangekuwa kama ni nchi au tuseme wana silaha na jeshi kama nchi na pesa au tuseme wangekuwa na 50% ya resource za Israel hii vita ingekuwaje? kwa sasa ni kama boxing basi heavyweight kapanda ulingozi na Featherweight ila wako round ya 3. Israel and pewa pesa, misaada mikubwa ya kijeshi na mpaka ulinzi ila hawa Hamas wana watu yaani wapiganaji na mshujaa. Hii vita ndani ya Ghaza ina maafa makubwa sana kuliko ushabiki wetu humu, Nentanyau emekiri kisha waandaa wa Israel, hii vita ndefu na gharama itakuwa kubwa kimali na hasara ya binadamu. Kazi bado haijaanza.
Unaamini hiyo misaada anayopewa Israel ni ya bure?Hayo ni malipo ya utaalamu na teknolojia aliyonayo.Hamas wengi waliogopa kwenda shule wamewekeza kwenye kusambaza dini kwa mtutu wa bunduki angali wenzao wamewekeza kwenye tafiti katika kila nyanja.
 
Wewe tatizo lako unaandika kiushabiki ulio jaa chuki dhidi ya Dini zingine.......wa Kenya wengi hawanaga upuuzi wako economic oriented tafauti na wewe, wewe ni mpuuzi sana hazijengi au kuelimisha mtu zaidi ya kueneza chuki tu.
Yeye ameripoti kama ilivyoandikwa wewe unamtukana.Hivi ndivyo mnafundishwa kwenye dini yenu?
 
Unaamini hiyo misaada anayopewa Israel ni ya bure?Hayo ni malipo ya utaalamu na teknolojia aliyonayo.Hamas wengi waliogopa kwenda shule wamewekeza kwenye kusambaza dini kwa mtutu wa bunduki angali wenzao wamewekeza kwenye tafiti katika kila nyanja.
Na nchi yako inayo pokea misaada kutoka kwa wazungu ni malipo ya nn?
 
Wewe tatizo lako unaandika kiushabiki ulio jaa chuki dhidi ya Dini zingine.......wa Kenya wengi hawanaga upuuzi wako economic oriented tafauti na wewe, wewe ni mpuuzi sana hazijengi au kuelimisha mtu zaidi ya kueneza chuki tu.
Siyo kiushabiki, bali moyo wako haukubaliani na ukweli, habari hii haijakifurasha hata kidogo.
 
👉Uzi umejaa chuki tupu sishangai kuona Kenya ukabila hauishi.

👉Wewe jamaa huko kwenu Kenye hakuna forums mpaka kutwa ushinde forums za bongo unasambaza chuki na kushabikia vita

👉Kwa taarifa yako unayoyaona hapa jukwaani siyo yaliopo mtaani. Tanzania watu wa dini zote tumaheshimiana na kuishi kwa upendo lengo lako la chuki halitofanikiwa chuki zako peleka kwenu Kenya
Acha uongo bwana, watanzania gani wanapendana wakati kuna video hapo juu Wapemba wanapinga ujenzi wa kanisa pemba kwani pemba ni Kenya au ni Uganda.

Tatizo watu ni wanafiki sana, utamtambuaje mtu humu kwa utaifa wake? Kwa hiyo wewe unachotaka kuona humu ni kila moja kuiunga mkono Hamas, wewe mbona hujalazimishwa kuiunga mkono Israel..?? Very hopeless.
 
Mkuu wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francisco anayeketi Kitini pake Petro Mtume amesema katika migogoro wa Israel Mataifa Mawili yaliyofafanuliwa vyema ndio Suluhisho la Busara

Source BBC news
 
Wewe tatizo lako unaandika kiushabiki ulio jaa chuki dhidi ya Dini zingine.......wa Kenya wengi hawanaga upuuzi wako economic oriented tafauti na wewe, wewe ni mpuuzi sana hazijengi au kuelimisha mtu zaidi ya kueneza chuki tu.
mbona hujaainisha upuuz wake ? nahisi ww ndo utakuwa mpuuz
 
Acha uongo bwana, watanzania gani wanapendana wakati kuna video hapo juu Wapemba wanapinga ujenzi wa kanisa pemba kwani pemba ni Kenya au ni Uganda.

Tatizo watu ni wanafiki sana, utamtambuaje mtu humu kwa utaifa wake? Kwa hiyo wewe unachotaka kuona humu ni kila moja kuiunga mkono Hamas, wewe mbona hujalazimishwa kuiunga mkono Israel..?? Very hopeless.
Keyword: Imeloa
 
Unaongea kuhusu chuki, hivi haya maandamano ya waislamu kupinga ujenzi wa kanisa yalifanyika nchi gani, hii ni chuki ya aina gani yaani

View: https://www.youtube.com/watch?v=pcwvILodCKM

Narudia tena. Watanzania hatupo hivyo masaa 24 unashabikia vita mara Urusi mara wapi. Hizi chuki zako zinawakilisha jinsi gani wakenya walivyo jamii ya hovyo na chuki za ukabila.

👉 Watanzania hatuna chuki za kidini wala ukabila kila kona watu wanaishi kwa upendo na kuheshimiana chuki zako peleka huko huko Kenya
 
Israel imevuka defensive line iliyokuwa na vizuizi kama mines na firing positions za anti tank missiles. Haijavunja ngome zile hazikuwa ngome.

Ila kwa muendelezo wao natarajia kufikia kesho asubuhi watakuwa wameitenga North Gaza na Gaza nyingine. Jana walibakiza 3km kuitenga, leo walikuwa wamebakiza kama 1km waungane upande wa ufukweni. North Gaza ikiwa cut off hakuna kitu kitaingia na kutoka bila IDF kujua unless maandaki yaliyosalia yatumike.

After that, wanajeshi wanajaa hapo N. Gaza then next move itapangwa wanaelekea wapi. Nilitarajia resistance kubwa ya Hamas ila sijaona, pendekezo la Marekani la kutaka IDF ifanye movements ndogondogo taratibu naona linafanya kazi. Hamas ni kama waitarajia makumi ya maelfu ya wanajeshi kwa pamoja waingie.

North Gaza ndio ina miundombinu mingi ya mortars, rockets zenye range ndogo na ATGM. Khan Younis kuna makazi mengi pamebanana zaidi. Rafah hamna silaha kabisa uko
View attachment 2801186
Gaza inageuzwa kifusi
 
Back
Top Bottom