LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums

Nionyeshe wapi amechochea udini kati ya watanzania,we kaa kutulia.
 
Ukinzani unaweza kuwepo na upo, kwa kuwa Hamasi walijiandaa na majibu ya Israel. Kwa hiyo watapamabana lakin mwisho Hamas watashindwa tu.

Sababu, wanapigana na mtu ambaye yupo juu ya ardhi wewe upo chini, ni swala la kujua ulipo chini ya ardhi unamwagiwa silaha za sumu utatoka tu ukiwa hai au mfu. Lengo lazima litimie
 
Mkenya, wayahudi wanatafutana saa hizi huko:


View: https://youtu.be/MrpZ4cVvQpU?si=N2u_SiIgqTN8x-Os
 
Una uwezo gani kupambana na majeshi ya Mungu?
Wale waisraeli waliosemwa kwenye vitabu vitakatifu sio hawa waliopo sasa,,

Hivi Kuna kitabu gani cha Dini umewahi kusikia muisrael anaitwa NETANYAHU?

Hao waliopo sasa huko Israel ni wahuni wa USA,,na EU.
 
Mwongo hao ni siyo Hamas, Hawa ni Hezbollah
Kuna vikundi vitatu au vinne vya Kipalestina huko chIni ya mwamvuli ,(command) ya Hizbullah.

Haijalishi ni nani katwanga, wote ni wapalestina.


Kimbembe kingine kinatokea kusini huko kwa wa Yemen. Saudi Arabia nayo inaonesha msimamo wa kuiunga mkono Palestina kwa kuwachia anga yao ipitishe misiles na drones za Wayemen kwenye anga yao bila kuzitunguwa na uwezo huo wanao.
 
Wale waisraeli waliosemwa kwenye vitabu vitakatifu sio hawa waliopo sasa,,

Hivi Kuna kitabu gani cha Dini umewahi kusikia muisrael anaitwa NETANYAHU?

Hao waliopo sasa huko Israel ni wahuni wa USA,,na EU.
Kwenye wale watoto wa yakobo kumi na mbili akiwepo benyamini/benjamin. Mmekuwa mkisema hawa waisrael si orijino. Sasa hao orijino wapo wapi?
 

View: https://youtu.be/DXkHJpKZfzA?si=a06fFCAdKEAZCfdm
Ajabu wananza kuwacha watoa habari warushe wanavyo pigwa lakini bado wanaficha mengi.

Leo kikosi cha vifaru kimepigika sawa sawa, Hamasi wanasema Israel kaingia sehemu walizo vunja hazina watu ili ajionyeshe yuko Gaza, Abu Obeida anasema Israel wanajisifu kama wanapigana na Superpower kumbe wanapigana na Hamasi yani hata kunusa Gaza hawajanusa wako 4km kutokea boder na Hamasi anawafata na kuwatandika 😄
 
Nimeona taarifa saudia na Jordan wamewapiga marufuku houthi kupitisha makombora na drone zao anga zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…