LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
[emoji117]Uzi umejaa chuki tupu sishangai kuona Kenya ukabila hauishi.

[emoji117]Wewe jamaa huko kwenu Kenye hakuna forums mpaka kutwa ushinde forums za bongo unasambaza chuki na kushabikia vita

[emoji117]Kwa taarifa yako unayoyaona hapa jukwaani siyo yaliopo mtaani. Tanzania watu wa dini zote tumaheshimiana na kuishi kwa upendo lengo lako la chuki halitofanikiwa chuki zako peleka kwenu Kenya

Nionyeshe wapi amechochea udini kati ya watanzania,we kaa kutulia.
 
Jameni kama kuna siku Wapalestina watarudi Gaza lazima watakua na ugomvi baina yao maana panaendelea kugeuzwa shamba, itagua vigumu kujua mipaka ya viwanja vya watu, ulikua ujinga sana kuichokoza Israel.

Israeli troops operate inside the Gaza Strip on November 1, 2023. (IDF)
IDF Spokesman Rear Adm. Daniel Hagari says ground forces have broken through Hamas’s front lines of defense in the northern Gaza Strip.

“The ground operation is progressing as planned,” he says. “With advance planning, precise intelligence, and joint attacks [from the land, air, and sea], our forces broke through Hamas’s front lines of defense in the north of the Gaza Strip,” Hagari says.

Times of Israel
Ukinzani unaweza kuwepo na upo, kwa kuwa Hamasi walijiandaa na majibu ya Israel. Kwa hiyo watapamabana lakin mwisho Hamas watashindwa tu.

Sababu, wanapigana na mtu ambaye yupo juu ya ardhi wewe upo chini, ni swala la kujua ulipo chini ya ardhi unamwagiwa silaha za sumu utatoka tu ukiwa hai au mfu. Lengo lazima litimie
 
HAMAS waona isiwe tabu, waachia ngome na kukimbia, sasa sielewi kwanini watelekeze ahadi ya mabikira.

Jameni kama kuna siku Wapalestina watarudi Gaza lazima watakua na ugomvi baina yao maana panaendelea kugeuzwa shamba, itagua vigumu kujua mipaka ya viwanja vya watu, ulikua ujinga sana kuichokoza Israel.

[IMG alt="Israeli troops operate inside the Gaza Strip on November 1, 2023.
(IDF)"]https://static.timesofisrael.com/www/uploads/2023/11/WhatsApp_Image_2023-10-31_at_14.50.42-e1698864203169-640x400.jpeg[/IMG]

Israeli troops operate inside the Gaza Strip on November 1, 2023. (IDF)
IDF Spokesman Rear Adm. Daniel Hagari says ground forces have broken through Hamas’s front lines of defense in the northern Gaza Strip.

“The ground operation is progressing as planned,” he says. “With advance planning, precise intelligence, and joint attacks [from the land, air, and sea], our forces broke through Hamas’s front lines of defense in the north of the Gaza Strip,” Hagari says.

Mkenya, wayahudi wanatafutana saa hizi huko:

View: https://youtu.be/MrpZ4cVvQpU?si=N2u_SiIgqTN8x-Os
 
BREAKING NEWS:[emoji599]

Al-Qassam brigade Lebanon branch claimed the responsibility for attack on Qiryat Shemona city of Israel, according to them, we fired 12 missiles on the city.

Simply, it wasn't Hezbollah.
IMG_20231102_213548.jpg
IMG_20231102_213553.jpg
IMG_20231102_213556.jpg
 
Una uwezo gani kupambana na majeshi ya Mungu?
Wale waisraeli waliosemwa kwenye vitabu vitakatifu sio hawa waliopo sasa,,

Hivi Kuna kitabu gani cha Dini umewahi kusikia muisrael anaitwa NETANYAHU?

Hao waliopo sasa huko Israel ni wahuni wa USA,,na EU.
 
Mwongo hao ni siyo Hamas, Hawa ni Hezbollah
Kuna vikundi vitatu au vinne vya Kipalestina huko chIni ya mwamvuli ,(command) ya Hizbullah.

Haijalishi ni nani katwanga, wote ni wapalestina.

Kimbembe kingine kinatokea kusini huko kwa wa Yemen. Saudi Arabia nayo inaonesha msimamo wa kuiunga mkono Palestina kwa kuwachia anga yao ipitishe misiles na drones za Wayemen kwenye anga yao bila kuzitunguwa na uwezo huo wanao.
 
Wale waisraeli waliosemwa kwenye vitabu vitakatifu sio hawa waliopo sasa,,

Hivi Kuna kitabu gani cha Dini umewahi kusikia muisrael anaitwa NETANYAHU?

Hao waliopo sasa huko Israel ni wahuni wa USA,,na EU.
Kwenye wale watoto wa yakobo kumi na mbili akiwepo benyamini/benjamin. Mmekuwa mkisema hawa waisrael si orijino. Sasa hao orijino wapo wapi?
 
View: https://youtu.be/DXkHJpKZfzA?si=a06fFCAdKEAZCfdm

Ajabu wananza kuwacha watoa habari warushe wanavyo pigwa lakini bado wanaficha mengi.

Leo kikosi cha vifaru kimepigika sawa sawa, Hamasi wanasema Israel kaingia sehemu walizo vunja hazina watu ili ajionyeshe yuko Gaza, Abu Obeida anasema Israel wanajisifu kama wanapigana na Superpower kumbe wanapigana na Hamasi yani hata kunusa Gaza hawajanusa wako 4km kutokea boder na Hamasi anawafata na kuwatandika 😄
 
Kuna vikundi vitatu au vinne vya Kipalestina huko chIni ya mwamvuli ,(command) ya Hizbullah.

Haijalishi ni nani katwanga, wote ni wapalestina.

Kimbembe kingine kinatokea kusini huko kwa wa Yemen. Saudi Arabia nayo inaonesha msimamo wa kuiunga mkono Palestina kwa kuwachia anga yao ipitishe misiles na drones za Wayemen kwenye anga yao bila kuzitunguwa na uwezo huo wanao.
Nimeona taarifa saudia na Jordan wamewapiga marufuku houthi kupitisha makombora na drone zao anga zao
 
Back
Top Bottom