LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Naomba kuelimishwa kwa nini MAKOMBORA yaliyorushwa na Hamas idadi 5,000 kwa Dk 20, yameleta uharibifu Israel?

Sababu Media zinasifia KINGA YA ANGA YA ISRAEL.
Haya nayo mataifa makubwa huwa yanakuzwa kwa propaganda Tu, ukisikiliza makala za kijasusi wanavyoelezeag Ulinzi wa hizo nchi Tajiri,

Unaweza kujihis nchi yenu haina jeshi kabsa ila nao tu kumbe ni kam nchi zetu hizi za kina Ccm za daraja la Tatu.
 
Kuna kitu aliwafanya alipokuwa Waziri wa Ulinzi. Sasa alipokuja kuwa waziri mkuu ndiyo wakaona huyu mwehu wamempa nchi sijui wanataka atufanyeje?

Uko sahihi, aliwahi endesha harakati Moja matata sana alipokua waziri wa ulinzi, alikua maarufu kama "The Bulldozer"
 
Israel ina uwezo wa kupigana na Ayatollah mwenyewe sembuse Hezbollah. Maofisa wangapi wa Ayatollah na wanasayansi wake Israel imeua
ayatola anaiogopa israel kuliko hata marekani. nani anatamani nchi yake iwekama gaza au iraq?
 
Israeli muda wote imejiandaa kumbuka imezingirwa na maadui wake
IDF leo wameniangusha sana.
Kwanza wamekuwa wazito sana kurespond.
Pia wengine wamekutwa wamelala kwenye vifaru.

Pia hata ile combat yao kuwadhibiti madogo wa hamas sio ya kiproo sana. Kuna footage moja inaonyesha liko kundi la wanajeshi wamerundikana kama kwa juu Hamas anawaona anatupa kiazi wote chali. Wachambuzi wameshamgaa pia.
 
kama wamerusha rockets 7,000 na bado israel maisha yanaendelea, unategemea watashinda vita? naona waliamini kuwa wakirusha rockets 7,000 watakuwa wamewasha moto nchi nzima. wengine wakapitia baharini wamechinjwa kama popo.
Iron dome zikirushiwa roketi nyingi kwa mkupuo ni rahisi nyingi kupenya.....bado hakuna mfumo wa anga ambao ni 100% accurate.

Ina maana siku Hezbollah yenye roketi zaidi ya 100,000 wakiingia vitani na Israel, miji mingi ya Israel itadhurika.

T14 Armata
 
Pia jamaa wanaruka na kama mapikipiki yenye parachute spidi yao hilo dude ndi ndogo. Iron dome iko designed kwa vitu vya kasi. Wamepaa na kuingia nila shida na kusababisha madhara bila kuwa detected na Aair defence syste.
 
Hamas noma umeiyona ile video wanavuka mpaka kwa parachute utafikiri movie
 
Andika kwa mbwembwe laKini, usije ukafungua Uzi wa kuwaombea wapalestina watakachofanyiwa
 
Hamas noma umeiyona ile video wanavuka mpaka kwa parachute utafikiri movie
Hahaha jamaa linaenda mdogomdogo hata raia mwenye pistol akimuwahi anamtoa upepo. Tatizo walikuwa zaidi ya 1000. Sasa hivi wanajisifu wamejam mawasiliano hahahaha
 
Ina maana kuna roket za hamas zinafika tel avivi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…