LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Abu Obeida added that Hamas fighters destroyed 24 Israeli vehicles during the past 48 hours, stressing that the Israeli enemy will be certainly defeated in this battle.
Acheni stori hapa, Abu Obeida yuko ndani ya shimo na hawezi tia pua nje, sasa taarifa zake kaibuka nazo toka shimoni🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wakati mwingine weka utu mbele, ambulance na magaidi wapi na wapi? Mlishasema hamas wapo kwa handaki sasa hayo mabomu kwa wagonjwa na watoto ni nini?

Hivi unajua zaidi ya 40% ya waliouwawa so far ni watoto ? Na ni mjinga tu anayeamini hamas ikimalizwa ndio upinzani utaisha obvious hao watoto watalipiza kisasi tu iwe hamas iwe jina lingine
 
Sasa mkuu zitto junior watoto wenyewe Hawa unaowatetea ndo hao wanarusha mawe Kwa wanajeshi wa Israel unategemea waachwe tu?😂😂😂
 
LUKA 19: 41 - 44
(YESU aililia Yerusalem)

"
Alipokaribia zaidi na kuuona ule mji, Yesu aliulilia akisema: “Laiti ungelijua leo hii mambo yaletayo amani! Lakini sasa yamefichika machoni pako. Maana siku zaja ambapo adui zako watakuzungushia maboma, watakuzingira na kukusonga pande zote. Watakupondaponda wewe pamoja na watoto wako ndani ya kuta zako; hawatakuachia hata jiwe moja juu ya jingine, kwa sababu hukuutambua wakati Mungu alipokujia kukuokoa"
 
Magaidi popote walipo wanapigwa tu.. kwenye watoto, wanawake, hospitali,shuleni au msikitini watapigwa tu.
 
Hakuna kitu Israel itafanya kuwa defeat Hezbollah, labda kupiga majengo na madaraja ndicho kabakiza, Israel hata Tanzania tu tunamchapa.
Mahaba kwa dini yako pamoja na stori za gahawa zimekupofusha ndugu yangu.Kinachonishangaza mbona waarabu tulioambiwa kuwa wanaingia vitani hawajafanya lolote?
 
Ndo maana hukupinga wala kukemea.yaliyotokea tarehe 07/10
 
Ndo maana hukupinga wala kukemea.yaliyotokea tarehe 07/10
Nilifurahi sana na niliandika mtazamo wangu.

Vijana wanaendeleza kichapo huko, mdogo mdogo:

Your browser is not able to display this video.
 
Nani kakudanganya Wapalestina wote ni waisilamu? hapo Chile pekee kuna Wapalestina kama laki 5 Karibia wote Wakristo, hapo Lebanon kuna Wapalestina Wakristo kibao.

Na si useme tu kweli Usa ndio kasababisna Wakristo wengi wakimbie Lebanon? Huyo Bwana wako unaemtetea kila siku na kipenzi chake Israel ndio wameua Wakristo wengi na kuwafanya wakimbilie South America, walipotoka hapo wakaenda Iraq kupeleka Democracy wakaua Wakristo wa Kutosha walioishi kwa Amani chini ya Sadam na sasa hivi wanawamaliza wengine Assyrian Christians huko Syria.

Maneno ya Michael Amon Raisi wa Lebanon ambaye ni kiongozi wa hao Wakristo.

"We chose this long-term political option, because we knew that the interests of the West do not lie with us. Its interests lie with Israel, on one hand, and with the oil, on the other hand. We are not included among its interests at present. The only thing it cares about is resolving the problem of Israel at our expense, through the naturalization of the Palestinians in Lebanon, and pleasing the oil-producing countries, because its material interests lie there. Therefore, we had to choose a policy of coordination with all elements of Lebanese society, and with our neighboring countries, in order to build strong, solid, and mutual relations. Lebanese society in general, and the Christians in particular, are not used to this, and therefore, it has aroused fear and concern. However, our confidence in ourselves, in the choice we made, and in our views have made it possible for us to stand before you, and to ask you to give the efforts we are undertaking a chance. A short while ago, in Doha, we saw the results. All the Christians in the Middle East, all the Christians in the Middle East are fleeing, while the Christians of Lebanon are returning. The forecasts of the entire world. For 25–35 years, we have been reading that the Christians in the Middle East are becoming extinct. Western policies have led the Christians in the Middle East towards extinction. Western policies have not left a single Christian in Palestine and the holy places. Western policies have not left a single Christian in Iraq. They intended to get rid of us by marginalizing us, and by treating us as a superfluous element in society."[91]
 

Zab 122:6-8 SUV​

Utakieni Yerusalemu amani; Na wafanikiwe wakupendao; Amani na ikae ndani ya kuta zako, Na kufanikiwa ndani ya majumba yako. Kwa ajili ya ndugu zangu na rafiki zangu Niseme sasa, Amani ikae nawe.

SUV: Maandiko Matakatifu ya Mungu,ndio maana USA yupo bize sana na israel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…