Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Hao Hizbollah Iko siku wataipindua hiyo serikali ya LebanonHizbullah wakiingia vitani na Israel watailetea maafa nchi ya Lebanon, sidhani kama wapo tayari kwa hilo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao Hizbollah Iko siku wataipindua hiyo serikali ya LebanonHizbullah wakiingia vitani na Israel watailetea maafa nchi ya Lebanon, sidhani kama wapo tayari kwa hilo.
Mnafuatiliia mabomu yanavyopiga watoto na shule sasa mabwana zenu wanapiga mabomu mpaka magari ya wagonjwa eti Hamas wamo humo wakiambiwa waonyeshe ushahidi hamna.
Danny Yatom, former head of the Mossad, in an article today in Yedioth Ahronoth:Sisi tunapiga kila gaidi, awe mtoto,mwanafunzi etc.
Washia ndio adui namba moja hapo Mashariki ya kati.Hao Hizbollah Iko siku wataipindua hiyo serikali ya Lebanon
Aaaah,umemaliza kazi " Ujerumani ile ilikua na maafisa classic " huwa naangalia sana documentary za wanazi unachosema ni sahihi kabisa Adolf alileta ujuaji tu ila angewaamini maofisa wake ingekua tunachat kijerumani tu hapaTiger zilikuwa useless kwenye unforgiving environment ya Urusi. Zilikuwa zinafleeze na kukwama kwenye tope. Na zilikuwa chache sana hazikuleta impact kubwa.
T-34 ilikuwa simple, affordable, rahisi kusafirisha na mass produced.
Alafu Rommel hakupigana Eastern front na kilichokuwa kinaendelea kule alikuwa anahadithiwa kwa propaganda na Waffen-SS na Gestapo za Heinrich Himmler. Rommel kapigana Misri kidogo, Tunisia zaidi kwenye African campaign uko akakutana na Field Marshall Bernard Montgomery 'Monty' na ndiko alipata jina la Desert Fox.
Akaja kupanga beach fortifications kuzuia allied landing kule France. Akaja amliwa ajiue alipopanga njama na maofisa wengine kumuua Hitler nadhani kwenye July plot au plot nyingine iliyofuata.
Eastern front kulikuwepo kina Kluge, Jodl na Keitel nao walifelishwa na mbinu za kiwendawazimu za Hitler aliyeleta ujuaji. Ujerumani ile ilikuwa na maofisa classic huwezi wapata jeshi lolote hadi dunia iishe
Acha kashfa kwa imani za watu.Mungu wa nyoko. allah sio mungu
Kwa sababu anga ni eneo lenye usalama mdogo zaidi (vulnerable) kwa nchi kuliko maeneo mengine. Kutokana na hilo, air superiority ni nyenzo muhimu zaidi ya utekelezaji wa majukumu ya kivita/kijeshi kuliko zote.Military doctrine ya majeshi ya magharibi (ambayo Israel hutumia pia) inategemea mno 'air power'.
Hao Hizbollah Iko siku wataipindua hiyo serikali ya Lebanon
Kwa nchi zisizo kuwa na air defenses ndio salama (mf Gaza).Kwa sababu anga ni eneo lenye usalama mdogo zaidi (vulnerable) kwa nchi kuliko maeneo mengine. Kutokana na hilo, air superiority ni nyenzo muhimu zaidi ya utekelezaji wa majukumu ya kivita/kijeshi kuliko zote.
Huyo oustadh aende akapigane na Israel na ikitokea amekufa vitani, atakutana na offer ya wanawake 72 wasiotokwa na damu za hedhi huko ahera.Kama ni wewe uliyepo kwenye avatar njoo PM, kuna Oustadh anatafuta mke, tena kama uki convert kuwa muislamu anakupa nyumba.
Ndio sababu ya ufisadi na udumavu wa nchi umeendelea toka tujitawale kwakujazwa serekalini wapuuzi wanaodanganywa kwenye nyumba zao za ibada kuwa wamesoma zaidi kuliko waislamu!!Kuna majamaa majinga umu yana okota video za kwenye Games na picha zilizo tengenezwa kwa AI tools kisha zina leta kama uthibitisho ukisikia ukilaza si ndo huu??
wakati wenzetu tuna pambana na shule nyie mlikua mna pambana na madrasa sasa hapa ndo tofauti unapo iona
Unasikia ustaadh uwa mimi sipendi ligi na wewe, Hezbollah ni kundi la kidini nielewe tatizo lako moja tu ni elimu, hivi kundi la shia hata wasuni hawapo pale, sasa unashupaza shingo ya nini?Hezbollah ni kundi la Kishia ila lina Wakristo kibao humo ndani yake. Sababu Lebanon ina Wakristo kama 30%+ hivi, zamani walikuwa wengi zaidi ya 60% ila Wapalestina walivyoingia wote Waislamu. Alafu Waislamu wanazaliana sana.
Alafu Wakristo wa Lebanon wengine wana majina ya Kiislamu. So usipumbazwe kwa kusoma jina.
😂😂😂😂😂😂unajua ukifuatilia siasa za mataifa ya kiarabu utashangaa Sana 😅😅.
Yaani kule utakuta hiyo hizbollah ni chama Cha siasa na kimesajiliwa na kinashiriki uchaguzi lakini wakati huohuo ni kikundi Cha kijeshi na kinamiliki siraha . Tena inafikia Hadi kikundi Cha kijeshi kinakua na nguvu ya kijeshi kuzidi jeshi la nchi. Yaani chukulia CHADEMA wawe na jeshi na lina nguvu kuzidi JWTZ 😅😅😅
Huyu hapa chini ni waziri nchini Afghanistan na hapo Yuko ofisini 😂😂😂
View attachment 2803628
Inafikirisha sanaunajua ukifuatilia siasa za mataifa ya kiarabu utashangaa Sana 😅😅.
Yaani kule utakuta hiyo hizbollah ni chama Cha siasa na kimesajiliwa na kinashiriki uchaguzi lakini wakati huohuo ni kikundi Cha kijeshi na kinamiliki siraha . Tena inafikia Hadi kikundi Cha kijeshi kinakua na nguvu ya kijeshi kuzidi jeshi la nchi. Yaani chukulia CHADEMA wawe na jeshi na lina nguvu kuzidi JWTZ 😅😅😅
Huyu hapa chini ni waziri nchini Afghanistan na hapo Yuko ofisini 😂😂😂
View attachment 2803628