LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
We muimba kwaya hivi unadhani vita ni nini wewe, unapoingia vita lazima uwe u a target, sa target ya Israel ni kitu gani.

Kuwamaliza Hamasi na kurudisha matekwa si ndio hajafanikisha hata moja na hata fanikisha.

Target ya Hamasi ni kuwaonyesha watu Israel si super power na anaweza kupigika si kama alivyo kuwa anakuzwa na vyomba vya Western na US na haiwezi vita bila kusaidiwa na US na Western

Target ya Hamasi ni kuiangusha economy ya Israel kafanya, target kuonyesha watu anaye jidai ndio ana democracy pale Middle East ni muwaji wanawake, watoto, wagonjwa na upumbafubwa kila aina anao.

Democracy gani mnayosema anayo Israel? Wao na America vita hawaviwezi zaidi ya kupiga watoto, wanawake, vunja majumba navyo fahamu unapoingia vitani pigana na wanao kusumbua si kuoneavwatu hawana silaha afu bado mnajisifu 😄 Akili Mali kweli. Ingekuwa vita nikutumia silaha zilizoharamishwa na UN kuwauwa wanawake, watoto, wagonjwa ndio vita ɓasi haina haja kuwekwa sheria ya UN na Human rights ambazo zote US na Israel wanazivunja na bado Hamasi anawadunda.
Kakufundisha Mudy hii story yako? maana ni kama ile ya Alexander the Great the Man with two Horn alipofika eneo la jua linapozama kwenye matope Koran imewaharibu sana Muslim habari za Kusadikika tu eti anataka kuangusha uchumi??? upo makini kweli wewe ? hao Watoto wanaoneshwa na Hamas wa Maigizo waulize Wanajeshi wao Wangapi wamededi? maana Gaza kila mtu ni raia hadi Hamas na Islamic Jihad wao hawafi wala taarifa zao za vifo ni siri
 
Huenda Israel inafanya mashambulizi ya nguvu yenye kuleta maafa ili kuonyesha dunia bado ina nguvu.

Hili shambulio la October 7 limewafedhehesha mno, hata waarabu waliokuwa wanaiona Israel kama inaweza kutegemewa kuizuia Iran, wamerudi nyuma.

Raia wengi wa Palestine wamekufa na watazidi kuuawa ila kuitokomeza Hamas haitakua rahisi, Hamas imeshakuwa ' ideology' haimalizwi kwa bunduki pekee.
Intelligence pekee ambayo ilikua inafahamu mpango wa Hamas ni Egpty. Na wakawaonya Israel siku 3 Kabla ila Netanyahu na Ego yake akapuuzia, yakatokea Yaliyotokea.

Netanyahu akatweet (uongo wa kisiasa) kwamba walikua hawafahamu tukio, USA na maafisa wengine wakapingana na Netanyahu na ndio hapo baadhi ya maafisa Wa Israel kutaka Ajiuzulu sababu Failure yake ndio iliosababisha Hio fedheha.


So Netanyahu kwake hii ni Politics, ndio maana yupo busy kwenye PR kuliko results.
 
Ni ushindi? Na uko serious kabisa?
Ni ushindi mkubwa sana.

Dunia nzima iliwasahau wapelestina waliopo kwenye kambi ya mateso (concentration camp) ya Ghaza. Sasa dunia nzima inawaongelea.

Ni ushindi mkubwa sana huo.
 
Kakufundisha Mudy hii story yako? maana ni kama ile ya Alexander the Great the Man with two Horn alipofika eneo la jua linapozama kwenye matope Koran imewaharibu sana Muslim habari za Kusadikika tu eti anataka kuangusha uchumi??? upo makini kweli wewe ? hao Watoto wanaoneshwa na Hamas wa Maigizo waulize Wanajeshi wao Wangapi wamededi? maana Gaza kila mtu ni raia hadi Hamas na Islamic Jihad wao hawafi wala taarifa zao za vifo ni siri
Yani hilo ndio jeshi lenu wakristo kweli mashoga mtabaki kuwa mashoga tu, una kifaru jamaa anawafata peke yake, anakirupua na nyie mnajinyea kwenye kifaru 😄

Aibu hi mtaificha wapi ma super power wa kishoga wauwaji watoto, wanawake, wavunja mahospital na mashule.


View: https://youtu.be/92mWcBXlF14?si=6-tjaZRrM9aPGYU8



View: https://youtu.be/LDHJ9lHmZzA?si=c2ok9fyw5jJuR4Ug

Live sasa hivi vitu vimeshuka Tel Aviv
 
Intelligence pekee ambayo ilikua inafahamu mpango wa Hamas ni Egpty. Na wakawaonya Israel siku 3 Kabla ila Netanyahu na Ego yake akapuuzia, yakatokea Yaliyotokea.

Netanyahu akatweet (uongo wa kisiasa) kwamba walikua hawafahamu tukio, USA na maafisa wengine wakapingana na Netanyahu na ndio hapo baadhi ya maafisa Wa Israel kutaka Ajiuzulu sababu Failure yake ndio iliosababisha Hio fedheha.


So Netanyahu kwake hii ni Politics, ndio maana yupo busy kwenye PR kuliko results.
Huenda anguko la Netanyau kisiasa lipo njiani.
 
Hezbollah walisema mwanzo Israel ikiingia Gaza wanaingia vitani. Leo nikajua watatangaza vita kumbe hotuba ya salamu
Kiongozi gani wa Hizbulah alisema hayo maneno hebu tuwekee ushahidi.
 
"This decision to launch operation was 100% Palestinian.
They kept it secret and Hamas didn't tell anyone about it. This secrecy is what made October 7 successful.

This secrecy didn't bother us. We congratulated them for keeping it secret and this didn't affect our decision making"

Nasrallah kasema hivyo basi Hamas inawezekana hawana chao. Na confrontation iliyopita kabla ya hii Hamas walifyatua maroketi wakawacontact Hezbollah vizuri alafu baadae Hezbollah chinichini ikapita ikadai haihusiki na mashambulizi yale.

Ninawaza labda Iran anataka aiache Hezbollah ikiwa intact ili imsaidie endapo atavamiwa. Hata hivyo Hezbollah ni Wasuni sidhani kama wataona urahisi kuitetea Iran kuliko PalestinaView attachment 2802781
Kumbe ww mweupe kiasi hicho ?

Lini Hizbulah likawa kundi la kisuni?
 
Hamna loote, Hizbullah mgambo tu wa suma jkt wanawakalisha, vita haipigwi mdomoni maustadh ok

Na Israel alishagundua kwamba nyie ni maneno mengi bila vitendo, aise nimeamini Israel ni kiboko
Kama vile kanga zenu za mombasa 😄


View: https://youtu.be/LDHJ9lHmZzA?si=c2ok9fyw5jJuR4Ug

We kapime akili zako kama unadhani vita ni kuwauwa watoto, wanawake, wagonjwa, kuvunja majumba.

Nakuliza Hamasi wapo au mmeisha wamaliza?

Na vipi matekwa wenu mmeisha wakomboa?

Pole sana leo Tela Aviv imepigwa hata Iron dome imelala haikushtuka 😄
 
Mbona kaongea utumbo tu
America nasikia katuma ujumbe nchi za kiarabu atafanya kila njia kusimamisha vita hataki vita.

Na watalipa yeye na Saud Arabia ghara zote za kujenga Gaza, kabla ya masaa 24 ujumbe alifikishiwa Nasurlah na Qatar.

Na pili Natanyahau ndio bye bye na Hamasi ataendeleza kichapo mpaa Israel awache vita kwa masharti ya Hamasi.

Akiendelea kupiga civilian Hezbullah ataingia na Israel total war
 
Tutajie silaha ya jeshi la Marekani inayotumika na Israel vitani Gaza
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] yaani mkuu saa nyingine unaikuza Israel mpaka unatia kinyaa aisee.

Kwa hiyo hizo ndege anazo tumia zinatengenezwa tz?

Leo Marekani kapitisha msaada ya $ billion 14 za msaada kwa Israel kuendesha vita kwenye ukanda wa gaza.
 
Kwani South walituhumiwa kusaidia vita ya Urusi kwa kutoa silaha. Au kufanya mazungumzo na kuendeleza mahusiano ya kidiplomasia waziwazi.

Sasa si wapigane nalo hilo jeshi hapo mpakani kama walivyotoa ahadi.

Na ulitaka Navy ya Israel iende wapi wakati wa vita. Ni ama ichunge upande wa Misri au upande wa Lebanon. Tufanye kweli nusu imechunga Lebanon, kuna shida? Na hilo halizuii Navy kushiriki operation pale Gaza. Pounding kila siku inafanyika na warships.

Basi Israel haijiwezi vamia sasa visingizio vya nini. Haina jeshi kubwa tumekubali, ni ombaomba tumekubali. Aya mnaogopa ombaomba na adui dhaifu?

Leta hao Algeria unaosema, leta Hamas, Hezbollah, Iran, Jihad wa pale Syria changanya wote wapigane na ombaomba Israel.
Kinachokuuma nini Israel ikitafuta washirika wake, mbona Hamas inao washirika pia.

Kipigo cha mbwa koko kinasubiriwa kwa hao wanamgambo wanaodekezwa. Hezbollah ikiishinda Israel vitani nipigwe ban ya maisha. Waite hata mods. Mlizoea ile 2006 mnapigwa kwa kuogopa raia, sasa hivi Israel itabomoa hata hizo hospitali zenu endapo zina makazi ya wanyang'anyi.

Hamas hii hapa na ramani yao ya mahandaki ya 2021 waliyochora Israel. Mashambulizi yanayofanywa Kaskazini mwa Gaza ni kuharibu mahandaki. North Gaza ndio kama nusu ya uwezo mzima wa Hamas na imezingirwa. Sasa na Hezbollah ilete makombora yake Lebanon warudi Middle Stone AgeView attachment 2802837
Wangekuwa wanaya jua hayo mahandaki wange kuwa wamesha jua mateka walipo.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] yaani mkuu saa nyingine unaikuza Israel mpaka unatia kinyaa aisee.
Israel ni dhaifu kama mnavyosema. Ipige sasa mbona maneno mengi.
Kwa hiyo hizo ndege anazo tumia zinatengenezwa tz?
Ndege wanazotumia Israel ni za jeshi la Marekani?
Ni lini USAF ilitumia F-35I Adir?
Lini USAF ikatumia F-15I Thunder?
Lini USAF ikatumia F-16I Soufa?

Kutengenezwa na kuwa za Marekani ni vitu viwili tofauti sana. Kwamba kwa sababu Tanzania tuna J-7G maana yake tunatumia silaha za jeshi la China. Si tulinunua. Yani nikuuzie gari alafu niseme ni langu?
Leo Marekani kapitisha msaada ya $ billion 14 za msaada kwa Israel kuendesha vita kwenye ukanda wa gaza.
Kama ambavyo Iran inapitisha silaha kwenda Hamas na Hezbollah na makundi mengine.

Silaha zipi za jeshi la Marekani zipo pale Gaza?
 
Israel ni kama jimbo la 51 la US, misaada ya US inawabeba sana.
Sasa mwenzako Almata 14 hataki kukubali hilo ila yeye ana amini Israel inasimama kwa uwezo wake.
 
Wangekuwa wanaya jua hayo mahandaki wange kuwa wamesha jua mateka walipo.
Si ndio wanayabomoa. Au unadhani kukaa na mateka kutawasalimisha na kipigo cha mbwa koko. Mahospitali yenu yaliyopo juu ya maandaki nayo yatapigwa.
 
Back
Top Bottom