Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Miracles are events that do not have a natural explanationSafi sana.
Wewe thibitisha unao ubongo.
Mkuu wengi humu fuata upepo tu wala hawajui kiini cha mgogoro huu. Mfano kila lawama ni Hamas ila ukiwauliza mbona West Bank hakuna Hamas na bado palestines wanauwawa kila siku hawana jibu.Ungeweza kuishi mateso kama hayo kwenye Nchi yako mwenyewe? Sisi hatukupitia mateso kama hayo ila unaona kulikua na Vita vya Majimaji, kina Mkwawa, kimweri na wengine wakapigana sembuse wao?
Historia ina mambo mengi yenye kuleta maudhi, mafunzo na majuto!Usiangalie kilichoanza tarehe 7, angalia miaka 75 iliopita, hayo ya tarehe 7 ni matokeo ya mateso ya zaidi ya miaka 70 imagine wewe ni mpalestina
Hivi mkuu leo wairan waende Un then Tanzania igawanywe pasu pasu, nusu wapewe wao nusu waliobakia kutakalika hapa? Doesn't make Sense huo uamuzi, Walivyokuja Wayahudi wa Ulaya Wapalestina waliwapokea, Kasome History ya baba yake Bela na Gigi Hadidi utaelewa What happened.Historia ina mambo mengi yenye kuleta maudhi, mafunzo na majuto!
Ni sababu zipi za msingi ziliwafanya Waarabu wa Kipalestina (Wapalestina) kuukataa mpango wa Umoja wa Mataifa wa mwaka 1947 (UN partition plan)?
Hoja kwamba West Bank hakuna Hamas sio sahihi!Mkuu wengi humu fuata upepo tu wala hawajui kiini cha mgogoro huu. Mfano kila lawama ni Hamas ila ukiwauliza mbona West Bank hakuna Hamas na bado palestines wanauwawa kila siku hawana jibu.
Lakini, kwa mujibu wa historia na sheria ya kimataifa, hakujawahi kuwepo nchi huru inayoitwa Palestina kwenye ardhi ambayo inahusisha Israel ya sasa. Kwa miaka mingi hata kabla ya Israel kupata uhuru mwaka 1948, hilo eneo limekuwa milki ya madola mengi ya kizamani.Hivi mkuu leo wairan waende Un then Tanzania igawanywe pasu pasu, nusu wapewe wao nusu waliobakia kutakalika hapa? Doesn't make Sense huo uamuzi, Walivyokuja Wayahudi wa Ulaya Wapalestina waliwapokea, Kasome History ya baba yake Bela na Gigi Hadidi utaelewa What happened.
Unamuona mtu katoka Ulaya kachoka ana utapiamlo unamkaribisha kwako unamsaidia unampa chakula, then mtu huyo huyo anakuja kukutoa kwako anafunga Nyumba na wewe mwenye Nyumba unakua Homeless.
Issue Mkuu si Uyahudi na Palestina, Issue ni Zionism na wanaoleta Fujo hilo eneo ni Hao Settlers, kila siku wanajiongezea maeneo, hata hio Nchi inge pigwa pasu still wanajiongezea Eneo.
Kwamba mkuu hujui kama West Bank watu wanauliwa kimakusudi tu?Hoja kwamba West Bank hakuna Hamas sio sahihi!
Hamas ipo pia West Bank. Ina wafuasi wanaoiunga mkono. Tofauti ya Hamas ya West Bank na ile ya Gaza ni kwenye ngazi ya utawala. Hamas inatawala Gaza pekee ambako ndiko ngome yake iliko, lakini ina ushawishi na wafuasi ndani ya West Bank vilevile.
Labda kuwepo na hoja na ushahidi kwamba hayo mauaji yanayofanyika West Bank ni ya makusudi (kitu ambacho hakipaswi kuungwa mkono, kulingana na sheria ya kimataifa) na sio matokeo ya vurugu (violence) ambapo pande zote zinaweza kudhurika.
Hawa ni washenzi hawana hata chembe ya utu ila utakuta kuna mswahili huku kashiba gongo zake anakwambia taifa teule, huku wazungu wengi wakiandamana kulaani udhalimu , watu weusi tuna roho mbaya sanaKwamba mkuu hujui kama West Bank watu wanauliwa kimakusudi tu?
West Bank: Spike in Israeli Killings of Palestinian Children
The Israeli military and border police forces are killing Palestinian children with virtually no recourse for accountability.www.hrw.org
Hio ni report ya UN kati ya Nov 2022 na March 2023 Wapalestina 614 ambao ni Civilian wameuliwa na Jeshi la Israel
West Bank: Spike in Israeli Killings of Palestinian Children
The Israeli military and border police forces are killing Palestinian children with virtually no recourse for accountability.www.hrw.org
Kuna watoto 34 na majina yao wa west Bank wameuliwa
Ukitaka hadi na Video Zipo, kuna video Askari wa Israel wana Sniper wanacheka kabisa wanalenga watoto wa Palestina wanawaua. Na wenyewe Israel ndio wanazi upload hizo video.
Kwa Historia ya Tanzania hakuna Nchi inayoitwa Tanzania kabla ya mwaka 1964, Je Iran wakija na Excuse hii ili wapewe Tanzania utawaelewa?Lakini, kwa mujibu wa historia na sheria ya kimataifa, hakujawahi kuwepo nchi huru inayoitwa Palestina kwenye ardhi ambayo inahusisha Israel ya sasa. Kwa miaka mingi hata kabla ya Israel kupata uhuru mwaka 1948, hilo eneo limekuwa milki ya madola mengi ya kizamani.
Hiyo ni tofauti kabisa na Tanzania ambayo ni nchi huru na "mwenye nyumba" ni Mtanzania.
Eneo linaloitwa "Palestine" kabla ya ugomvi wa mwaka 1947, lilikuwa likikaliwa na watu wa jamii mbalimbali. Ndio maana kuna watu wanaitwa "Waarabu wa Kipalestina", pia kuna "Wayahudi wa Kipalestina". Jamii zote hizo zinadai kuwa hilo eneo ni makazi yao ya kihistoria.
Kwahiyo mtu yeyote atakayejitokeza kujimilikisha eneo lote, lazima ugomvi uwepo. Ndio maana ya kuletwa kwa pendekezo la UN partition ambalo Waarabu wa Kipalestina walilikataa.
Nafikiri tunapaswa kuutazama huu mgogoro katika perspective zote!
Kichapo kipo pale paleAmbulance iliyobeba magaidi wa Hamas huko Gaza yashambuliwa na Vikosi vya Israeli 🤔
Mytake:Kama raia wanashirikiana na magaidi na Wao ni sehemu ya magaidi🤔
Aljazeera inadai Israeli itoe ushahidi ni upuuzi, Israeli iendelee kuiamini intelejensia yake na kufyeka vikundi vya kigaidi huko Gaza 🤔
.....
Israel strikes ambulance near Gaza hospital, 15 reported killed
An Israeli air strike on an ambulance being used to evacuate the wounded from besieged northern Gaza killed 15 people and injured 60 others on Friday, the Hamas-controlled enclave's health ministry said.www.reuters.com
Kwa mujibu wa sheria ya kimataifa, mauaji dhidi ya watu wasio na hatia ni haramu. Pia nimesema, mauaji ya namna hiyo, kulingana na sheria ya kimataifa, hayapaswi kuungwa mkono.Kwamba mkuu hujui kama West Bank watu wanauliwa kimakusudi tu?
West Bank: Spike in Israeli Killings of Palestinian Children
The Israeli military and border police forces are killing Palestinian children with virtually no recourse for accountability.www.hrw.org
Hio ni report ya UN kati ya Nov 2022 na March 2023 Wapalestina 614 ambao ni Civilian wameuliwa na Jeshi la Israel
West Bank: Spike in Israeli Killings of Palestinian Children
The Israeli military and border police forces are killing Palestinian children with virtually no recourse for accountability.www.hrw.org
Kuna watoto 34 na majina yao wa west Bank wameuliwa
Ukitaka hadi na Video Zipo, kuna video Askari wa Israel wana Sniper wanacheka kabisa wanalenga watoto wa Palestina wanawaua. Na wenyewe Israel ndio wanazi upload hizo video.
Iran haiwezi kupata chochote Tanzania kwa sababu, kwa mujibu wa sheria ya kimataifa, Tanzania ni sovereign state. Hata kabla ya uhuru wa Tanganyika, Iran haikuwahi kuwa na mandate ya eneo lolote lile lililokuwa likikaliwa na wazawa wenye asili ya Tanganyika.Kwa Historia ya Tanzania hakuna Nchi inayoitwa Tanzania kabla ya mwaka 1964, Je Iran wakija na Excuse hii ili wapewe Tanzania utawaelewa?
Palestina ipo maelfu ya miaka, Sababu ilikuwa ni Koloni la Nchi X, Y, Z haiondoi uhalali kwamba hapo waliishi watu. Hii ni Hela ya Palestina mwaka 1927.
View attachment 2805076
Hii ni Ramani ya National Geography kabla ya 1948 na Physical copies zipo
View attachment 2805077
Kuna Barua kibao Kuanzia Napoleon miaka ya 1700, Mpaka Ottoman miaka ya 1800 iki refer hilo eneo kama Palestina, ni propaganda za Zionist karibuni kwamba hilo eneo halikua Palestina na hakukua na Nchi ya Palestina.
Letter to the Jewish Nation From Napoleon
Encyclopedia of Jewish and Israeli history, politics and culture, with biographies, statistics, articles and documents on topics from anti-Semitism to Zionism.www.jewishvirtuallibrary.org
Hio Barua ya Napoleon kwa Jews akitaka kuwapa Palestina.
jana hizbullah walifanya vitu vyao miji ya karibu na mpaka kwa kutumia kombora jipya na droni.Leo huenda ni zamu ya Tel Aviv.Fuatilia utujuvye,Taarifa kupitia vyombo vya habari vya Isreal mlipuko mkubwa umetokea Tel Aviv .
Tunaendelea kufatilia zaidi
The Times of IsraelMkuu,chombo gani kimeripoti nikacheki kabisa nilale,ukizingatia 5g kwa mkapa
Ngoja niendeThe Times of Israel
Mkuu,chombo gani kimeripoti nikacheki kabisa nilale,ukizingatia 5g kwa mkapa