LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Hata Israel akiuwa watu wote wa gaza Hamas haitokufa na wataendelea kuwasumbua
 
Huo ni uongo wa wazi kabisa.

Taifa lenyewe la Israel limeanzishwa mwaka 1948.
 
Kila la heri kwenu
Ukiua Myahudi Mmoja ni sawa Umeua Wayahudi Mia Moja hivyo Israel kama Taifa si tu tumepata Pigo la ghafla bali na Hasara Kibwa ambayo hawa Wahuni Waarabu wa Hamas watailipa kwa Gharama ya Fundisho letu la milele tunaloenda Kuwafunza na Wataisimulia dunia na hao Iran, Iraq na Lebanon waliowatuma Kutushambulia.
 
Mi naona poa sana, watu wazima wale waachwe wachapane mpaka waheshimiane. Utoto ni kuchokoza mwenzio wakati huna ubavu kupigana naye. Kama huna ubavu tulia kwako, lakini sio kujimwambafy na huwezo huna.
Wapigwe gizani au kwenye mwanga wapigwe tu.
 
Shida ni moja Israel inapambana na kikundi cha Hamas na si serikali ya Palestina sasa hao jamaa mara nyingi wanatumia raia kama kinga kwao ndo maana inakuwa ngumu sana kuwamaliza na ukumbuke hapo Israel akijibu na bahati mbaya akaua raia ni skendo kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…