LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Sio benki tu, hadi misikiti, shule na hospitalo zimepigwa mabomu na sasa hospitali kubwa ya Gaza yenye HQ za Hamas underground soon itafuatiliwa kuharibu mtandao wa mahandaki chini yake.
Idf washaishiwa hawana plan B wao na nyau wanahangaika tuuu
 
Baraza la Vita la Israel limesema kuna uwezekano wa kuipiga Gaza kwa bomu la Nyuklia

Waziri aliyezungumza asimamishwa

Source Al jazeera news

Nimeogopa sana!
Israhell hii hii tunayo sifiwa Ina jeshi bora na hio ndio njia pekee inayoweza wapa ushindi hapo ghaza T14 Armata
 
Hello team JF
Naomba kuuliza , hivi vita Kati ya Hamas na Israel , ni nini wanagombania , miaka yote anzia naanza kuwa na akili Gaza , Palestine , West Bank na Israel wako kwenye ambush tuu , mwenye kujua historia hapo atujuze please.
 
unawaza ujinga ndugu. kama una tabia za kukumbatia wanaume wenzio ni wewe, manake naona umeng'ang'ania sana, pengine ndio mchezo wako.
unawaza ujinga ndugu. kama una tabia za kukumbatia wanaume wenzio ni wewe, manake naona umeng'ang'ania sana, pengine ndio mchezo wako.
Meza vidonge vyako vya kupunguza hiyo dementia ya kiakili uliyonayo ,then vua nenda kamkumbatie mmeo
Sina muda wa kujibizana na mataahira kama wewe
 
sasa ngoja ufurahi, tuamini kwamba ni kweli, IDF ndio waliua raia wao.and so what? hamas hawana hatia?
Meza vidonge vyako vya kupunguza hiyo dementia ya kiakili uliyonayo ,then vua nenda kamkumbatie mmeo
Sina muda wa kujibizana na mataahira kama wewe
 
Meza vidonge vyako vya kupunguza hiyo dementia ya kiakili uliyonayo ,then vua nenda kamkumbatie mmeo
Sina muda wa kujibizana na mataahira kama wewe
wewe utakuwa ndio yule aliyekula ban jana, utakuwa umekuja kwa jina jipya. naona unahangaika sana. kwa habari ya hamas, tunajua mioyo inawauma, lakini mtatuwia radhi, hamas lazima wateketezwe ndio maisha mengine yaendelee. hata mkichukia mkatukana mpendavyo haiwezi kuwaacha hamas salama. jiangalie, wenzako wote wanatoa hoja ila wewe umekazana kutukana. vipi, moyo wako umejaa uchafu kiasi gani kwamba ukitukana unajisikia vizuri?
 
Meza vidonge vyako vya kupunguza hiyo dementia ya kiakili uliyonayo ,then vua nenda kamkumbatie mmeo
Sina muda wa kujibizana na mataahira kama wewe
kwahiyo hapa ndio akili yako yote umejitahidi kutoa hoja? pole ndugu.
 
Inasikitisha sana kuona watoto watu wazima wote Wana majeraha makubwa kichwani wakibubujikwa na damu, ili hali makosa si yao. Hakuna watu wa ajabu kama hamas wamesababisha mji kuwa wa huzuni sidhani kama mateso haya watayasahau, tuwaombee wasio na hatia.
 
Bahati mbaya raia wengi wanawaona Hamas ni watetezi wao
 
Wakiwepo Hamas wanauliwa, wasipokuwepo Hamas wanauliwa, utofauti ni kwamba Vifo hivi vinatangazwa zaidi kuliko vingine that's it.

West Bank sio Hamas na wao wanauliwa sababu Gani?
Inasemekana wanamgambo wa Hamas wamejichanganya maeneo mengi ya mijo.
 
Wale ni MAKOMANDOO WA HAMAS, ni freedom fighters, na sio chadema hao. Tena usirudie kupost na kuandika HAMAS WAMESABABISHA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…